CCM: Maazimio ya Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa

Mkuu kwani wenye sifa za uongozi huko CCM na UVCCM wanatoka Iringa/Njombe tu.
Hakuna hilo suala, viongozi wote wana sifa zinazohitajika. Ndiyo maana wanathibitishwa na Halmashauri Kuu ya CCM sambamba na kuteuliwa na Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa.
Katika Chama Cha Mapinduzi binadamu wote ni sawa na cheo ni dhamana.

Sifa Kuu ni hizi hapa chini zingine zinafuata kwa kuzingatia kanuni.

Screenshot_20210622-221913.png
 
Mbona naona kama Iringa/Njombe ndio CCM haswa, makamu mwenyekiti anatoka Mkoa wa Njombe, Katibu Mkuu wa CCM nasikia nae anatoka Mkoa wa Iringa na hili jina la katibu mkuu wa UVCCM ni kama nalo ni mtu wa Iringa /Njombe, kama ndio hivyo basi shughuli ipo.
Kihongosi mbna ni wahaya? Kenani kwao kagera.
 
Back
Top Bottom