CCM London na viongozi wao

Nilikuwa maeneo ya Shirati wakati wa mchakato wa CCM kumpata mgombea wa Rorya. Huyu Maina Owino alikuwa katika wale waliokuwa wanamtia kitimutimu Prof. Sarungi. Wengine wakati huo walikuwa Prof. Bwathondi wa Taasisi ya Utafiti wa Uvuvi Tanzania (TAFIRI), na mwingine kama kumbukumbu zangu alikuwa mfanyakazi ama lecture wa institute moja.

Sasa kuwa Maina Owino alijitoa sababu ya kashfa hilo napingana nalo, na sipingani nalo kuwa namtetea. La hasha sijuani naye, na vile vile sikipendi chama tawala kwa kinachotufanyia, nadhani sina haja ya kuyataja hapa yanayofanywa na CCM.

Ila makubaliano yalikuwa Maina Owino ajitoe, ampishe Mzee. Ili miaka ijayo, yaani 2010, Mzee naye atamsaidia Maina kwa kampeni. Ikumbukwe kuwa wakati wa mchakato huu, kulikuwa na ugomvi wa dhahiri kati ya Sarungi na Bwathondi. Maina akiwa kundi la Sarungi.

Ninayo zaidi, lakini fedha tu za kumwaga, huyu kijana alikuwa nazo. Hivyo kujitoa kwake kulikuwa ni kuwa anasubiri akabidhiwe kijiti.


Wanabodi, nathani wote tunaona jinsi gani JF ilivyosambaa na jinsi watu wengi wasivyopenda udaku.

Mkuu Makelele heshima mbele kwa kusimamia ukweli kama unavyoufahamu wewe.


Tunasubiri kujua iwapo alichemsha huko Daruso...kama ilivyo hili la Ubunge ukweli utawekwa wazi.
 
Tutajua mengi mwaka huu...

Tanzanianjema: sema tu kwamba hao washikaji hawana nafasi ya kuingia humu, lakini kusema wapo too high and by implication wanaoingia humu ni wale walio "low" is an unecessary display of arrogance and self-importance, which I very much doubt if the said individuals would wish to be seen as such!

Kwa nini Owino asijitokeze ajitetee hapa? Kwa nini watu wahangaike wakati mwenyewe yupo?

Ningetoa wito pia kwa viongozi wengine waliokubuhu na wanaoibukia kuwa wawe wanakuja kujibu mashambulizi hapahapa JF. Wasiidharau JF maana kashfa zote nzito so far zote zilianzia hapa.

Natoa wito pia kwa wafurumshaji wa kashfa kuwa jitahidi kuzifanyia kazi kashfa zenu kabla hamjazileta hapa. Hii ya kusikia tu watu wameongea pembeni na kuzibeba mkuku na kuzimwaga hapa haitusaidii sana mwishowe JF tutaonekana wambeya. Unapoweka kashfa ya mtu hapa hakikisha angalau basi umeifanyia kazi kwa kiwango fulani na umeshapata some elements za ushahidi. Tukumbuke kuwa unapozushia mtu jambo bila credible evidence na baadaye ikajulikana ni uongo huwezi kufuta damage ambayo anakuwa ameipata huyo mtu psychologically, socially and otherwise. Tutumie vizuri anonymity identity hapa kwa nia njema ya kumwaga mambo kwa uhuru lakini sio kutoa mabifu tuliyo nayo na watu wengine. Ni ombi na ushauri tu.
 
Na huo ushahidi inabidi uwe kwa format ipi? ile iliyomtoa Lowasa au ile ya Abacha wa Nijeria?


Mwafrika wa Kike

Naona unaonyesha dalili za kuwa na lengo la kuonyesha kuwa mimi nakuwa mbishi (natetea ili mradi kutetea); la hasha, sina ubishi wowote, napenda haki itendeke. Weka ushahidi ulio nao mimi pamoja na wanabodi wengine tutachambua na kutoa maoni yetu.

Kumbuka kuwa hata ule ushahidi wa Dr Mwakyembe kuna watu na heshima zao wanaupinga akiwamo Jaji Warioba. Sasa tusiende huko wewe weka tu ushahidi, hii forum ina vichwa vya kungamua pumba na mchele.
 
So far,

Baada ya kutopata jibu toka kwa Yeboyebo kama kweli Owino hana kashfa ya pesa ya Daruso, nashawishika kuamini kuwa hili ni swali ambalo Yeboyebo hawezi kujibu.

Kama hili swali la kwanza likijibiwa hapa, nadhani inaweza kuwa ni mwanzo mzuri wa kujua kinachoendelea hapa. Labda nirudie, je wakati Owino akiwa kiongozi wa Daruso, kuna pesa au report yoyote ya kupotea au matumizi mabaya ya pesa hizo?

Yeboyebo unajua hili?
 



Mwafrika wa Kike

Naona una unanyesha dalili za kuwa na lengo la kuonyesha kuwa mimi nakuwa mbishi (natetea ili mradi kutetea); la hasha, sina ubishi wowote, napenda haki itendeke. Weka ushahidi ulio nao mimi pamoja na wanabodi wengine tutachambua na kutoa maoni yetu.

Kumbuka kuwa hata ule ushahidi wa Dr Mwakyembe kuna watu na heshima zao wanaupinga akiwamo Jaji Warioba. Sasa tusiende huko wewe weka tu ushahidi, hii forum ina vichwa vya kungamua pumba na mchele.

Nimeuliza kuwa unataka ushahidi wa aina gani? kama wa Lowasa (circumstantial) au wa Abacha (physical)?
 
So far,

Baada ya kutopata jibu toka kwa Yeboyebo kama kweli Owino hana kashfa ya pesa ya Daruso, nashawishika kuamini kuwa hili ni swali ambalo Yeboyebo hawezi kujibu.

Kama hili swali la kwanza likijibiwa hapa, nadhani inaweza kuwa ni mwanzo mzuri wa kujua kinachoendelea hapa. Labda nirudie, je wakati Owino akiwa kiongozi wa Daruso, kuna pesa au report yoyote ya kupotea au matumizi mabaya ya pesa hizo?

Yeboyebo unajua hili?

Mwafrika wa Kike

Nina yako ni nini sasa?

Mimi nimesema wazi kuwa sina ushahidi kuthibisha lolote hizo tuhuma/kashfa. Yaani kwa lugha nyingine, yote niliyoyasikia kuhusu Maina Owino akiwa pale mlimani ni positive tupu.

Sasa unanigeuzia kibao kusema nimeshindwa kukujibu; lipi hilo sijajibu? Au unataka wote humu bodini tuunge mkono kashfa ambazo wala hatujui undani wake?
 
Nimeuliza kuwa unataka ushahidi wa aina gani? kama wa Lowasa (circumstantial) au wa Abacha (physical)?

Mbona unazunguka, hata ukiweka physical kuna wanabodi watasema haitoshi lakini kuna ambao watakubali, vivyo hivyo ukiweka circumstantial. Cha muhimu ni wewe kuweka ushahidi wanabodi wachambue wenyewe.

Kwanza nikisema uweke physical evidence, utasema nakufunga mikono. JF ipo wazi, ushahidi WOWOTE uliopo tutapima kwa akili zetu.
 
Hii serekali ya Bashiru, Maina, Maimu na Mafuru ina kashfa kubwa katika utoaji tenda wa uendeshwaji wa migahawa na Bar zilizokuwa chini ya DARUSO. Kashfa nyingine kubwa ni uuzaji wa vyumba, hawa jamaa walitengeneza hela ndefu kutokana na fact kwamba wanafunzi walikuwa wengi kuliko idadi ya vyumba so ilkua ni either ukate dau au ukapange mtaani.
 
Tatizo kubwa la Maina ni kupenda madaraka, hata watu waliosoma naye toka elimu za chini wanasema jamaa asipokuwa na cheo chochote anajiskia mgonjwa. Cheo alichokuwa nacho DUSO kilikuwa ni cha kuteuliwa na kama angegombea angekosa kwa kuwa watu wengi walikuwa hawampendi.
 


Tanzanianjema

Nina imani kuwa una nia njema kabisa, lakini kwa nini unatufanya kama watoto wadodo (mtoto ndiye anayeambiwa, usifanye hiki; akiuliza kwa nini, unamwambia ukikua UTAJUA). Hilo dodoso uliloweka ni dogo mno kulishika kwa mikoni miwili na kumlima nalo mtu ambaye ni kiongozi wa jamii tena mwenyekiti (CCM London).

Mbona unawawekea kasoro mashahidi wote...kabla ya kujua wamesema nini? hata kama wana la kusema watasema tena kweli?





Naam Lunyungu,


Mimi sio kiongozi wa kuteuliwa au kupigiwa kura kwenye CCM wala Tanzania Association UK. Lakini kama unavyonifahamu; sikubali kamwe watu wapakwe matope bila sababu.

Siko hapa kumtetea mtu, ila kuna tuhuma zimewekwa (kwa bahati mbaya namfahamu mhusika) na mimi ninachoomba na kusisitiza ni data ziwekwe hapa watu tujue pumba na mchele.

Mtu akija na data zenye mashiko hapa mimi nitakuwa wa kwanza kuwa mpole. Wala msije mkadhani nitaona aibu; Ila mpaka dakika hii ni majungu tu.



Yebo yebo niko hapa London Bridge naenda naenda Gatwick kesho narudi London tukutane tafadhali .Ila kwa kuwa unamjua huyu Owino mpe habari mwambie limesanuka aje ajibu tuhuma akingoja atashindwa kusema baadaye .Slowly naona Tanzanianjema anataka ku sptill the beans .So okoa jahazi la mshikaji aje mapema ajibu .Waliomsemea wanaweza kuwa wamemsemea yale wayajuayo na wakawa kama wewe hujui upande wa pili wa mambo yake.Kaa chonjo mkuuu.
 
Haya Mambo ya Pesa za Daruso, ni kuchafuana na wakati fulani nilipewa habari za ajabu sana nikazileta hapa kuhusu kiongozi mmoja Mwandamizi wa Chadema,kumbe ilikuwa ni mambo ya kuchafuana.naweza kusema kwamba DARUSO kuna ubadhirifu ila si kwa kaisi kikubwa sababu pesa nyingi huwa inatoka Utawala..labda pesa inayohusu matamasha ambyo huwa yanafanyika hapo Mlimani.

naomba nichukue nafasi hii kumuomba msamaha mhe. flani wa CHADEMA!nilidanganywa na watu na hili nalijutia sababu liliharibu image yangu ,nilikuwa namfagamu huyu kiongozi kwa muda mrefu ila kuna watu walinilisha sumu.waje hapa wathibitioshe ila mie nimepima na kulifanyia utafiti na kuona halina ukweli wowote.

Gembe:
What you have stated here is very serious.

Kama una nia ya kweli ya kumsafisha huyo mtu mambo uliyomzushia, basi you can do better than this. Mtu alichafuka kwa uliyoyasema hapa JF kwa uwazi, hujamsafisha kwa lolote ulilolisema hapo juu.

Please, just be brave and recant openly and completely if you indeed have remose on your allegations that you now know not to be true.
 


Mwafrika wa Kike

Nina yako ni nini sasa?


Mkuu wangu Yeboyebo,

mimi sina nia yoyote zaidi ya ile niliyonayo ya kuwasakama mafisadi kuanzia Lowasa na Rostam Azizi hadi kwa yule balozi wa nyumba kumi kumi wa ccm kule kijiji cha weziwalionjeyagereza

Mimi nimesema wazi kuwa sina ushahidi kuthibisha lolote hizo tuhuma/kashfa. Yaani kwa lugha nyingine, yote niliyoyasikia kuhusu Maina Owino akiwa pale mlimani ni positive tupu.

Sasa unanigeuzia kibao kusema nimeshindwa kukujibu; lipi hilo sijajibu? Au unataka wote humu bodini tuunge mkono kashfa ambazo wala hatujui undani wake?

Absolutely not!

Wewe hutakiwi kuunga mkono kashfa yoyote hapa JF na sina nia ya kukulazimisha katika hili maana sio kazi yangu. So far huyu Owino amehusishwa na matumizi mabaya ya pesa za Daruso. Kwa sasa inafuatiliwa kujua kama ni kwa kiasi gani.

Majibu yako kwa kiasi kikubwa yalionekana kupinga kabisa kuwa Owino hajausika na upotevu wa pesa za Daruso
 


Mbona unazunguka, hata ukiweka physical kuna wanabodi watasema haitoshi lakini kuna ambao watakubali, vivyo hivyo ukiweka circumstantial. Cha muhimu ni wewe kuweka ushahidi wanabodi wachambue wenyewe.

Kwanza nikisema uweke physical evidence, utasema nakufunga mikono. JF ipo wazi, ushahidi WOWOTE uliopo tutapima kwa akili zetu.

So far inaonekana sitampata huyu Bashiru kama nilivyoshauriwa. Kwa sasa nafuatilia kujua huyu Maimu yuko wapi. So far hili ndilo linasemwa kuhusu Owino.

Alipokuwa katibu/mtunza fedha wa Daruso, Mapato ya Daruso yalikuwa kama ifuatavyo:

1. Michango ya wanafunzi sh 1,200 kwa kila mtu (times no ya wanafunzi).
2. Pesa ya mapato ya Bar na restaurant ya Daruso
3. Pesa ya kutoka utawala na vyanzo vingine vya mapato.

Inasemekana kuwa hii pesa ni kati ya milioni 5 na milioni 15 (aliyetoa hii habari hajui kulikuwa na wanafunzi wangapi mlimani mwaka 1999-2000).

Inasemekana kuwa, wanafunzi walijaribu sana kupata report ya pesa za Daruso muda wote Owino akiwa madarakani bila mafanikio yoyote. Inasemekana kuwa alipoondoka, hakuaacha chochote kwenye account ya Daruso bila kuonesha kuwa pesa imetumika vipi.

4. Kashfa nyingine hapa ni hiyo iliyosemwa na KKN hapo juu. Wakati wa utawala wa kina Owino, kulikuwa na kashfa kubwa kabisa ya uuzwaji wa vyumba vya wanafunzi katika historia ya Daruso. Bei ya vyumba ilikuwa kati ya 50,000 hadi 150,000.

Owino na wenzake walijipatia kiwango kikubwa sana cha hizi pesa. Nimeambiwa kuwa hata magazeti ya bongo yaliandika hii kashfa ya vyumba mwaka huo. Bado inatafutwa kujua kuwa Owino alipata kiasi gani kama mgawo kwenye hii biashara.

Sasa swali ni kwamba, Owino anakanusha hii habari? Je swali lilioulizwa hapo kuwa Owino alimaliza shule kwa mbinde kutokana na hii kashfa ni kweli?

Huu ni mwanzo tu... PM yangu iko wazi na wale wasio na PM watume kwenye mwafrika at jamboforums dot com! Nitaweka mambo hapa bila kutaja majina kama kawaida.

Bado sijakata tamaa ya kumpata huyu Bashiru wakati pia nikisima tayari kusahihishwa katika haya ninayopewa!
 
Seems viongozi mafisadi wanaanza kujengwa tangu wakiwa wanafunzi...maana wengi wanavyoonekana motive ya kugombea vyeo vyuoni ni ulaji,nina uhakika na hili kwa sababu part of my undergraduate nilisoma TZ na niliona jinsi ufisadi ndani ya viongozi wa wanafunzi,yaani inasikitisha sana maana unategemea nini watu kama hawa wakipewa wizara..lakini glad sasa tumeanza kuwachimbua historia zao.
 



Yes GT

I never left, hizi tuhuma zisizo na kichwa wala miguu hazina nafasi hapa. Hii Forum ina heshima zake.

Hakuna ushahidi wowote wa kusapoti hoja yako kuwa CCM London walipokea £60,000 kutoka kwa jamaa wa Commonwealth. Labda kama hao Commonwealth nao ni mafisadi. Nina imani na Commonwealth maana kama walitoa hela wangetaka pia kujua zilitumikaje; na mimi kwa macho yangu sioni kilichofanyika ambacho kingerithisha Commonwealth. Hivyo, usiwapake matope Commonwealth kuwa wanatoa hela ili zinafanyiwe ufisadi.

Daruso jamani, hakuna mwenye Data?



YEBO YEBO unalizia data lakini unacho kifua cha kubeba hizo data?

sasa lets not hit around the BUSH

hapa kila kitu kiko connected

Jumuiya ya watz UK, SUSAN (mzee) LYMO, ABUU FARAJI,NORA SUMARI,BASIL MRAMBA, RITA MLAKI na bila kusahau Connection ya WANIGERIA KWENYE HILI...ohhh nimemsahau katibu wa Jumuiya ya Abuu Faraji...jamaa anakaa READING anaitwa JOHN LUSINGU ambaye anauchungu kuliko mtu yoyote yule kwenye hili kwani deep down anajua kuwa something happened (kuhusu £60,000 za commonwealth) lakini hajui what went wrong.

sasa ngoja nikufungue macho

In short hili suala la mkutano wa JK london akina OWINO na tawi lao la CCM wanataka ku capitalise lakini.


SUSAN MZEE/OWINO & BASIL MRAMBA


OWINO hasimu wake mkubwa ni SUSAN MZEE (lymo) maarufu kama BBC huko Reading kwani keshajiweka tayari kupewa hicho kikombe alichonacho Owino lakini out of blue Owino keshachukua mikoba yote na kesha jiweka kwenye front line kuchukua uenyekiti wa CCM UK nzima...sasa hii ni strategy lakini kama ataweza ni questionable kwani Susan tayari naye kesha muahidi Mramba ambaye naye yuko kwenye wakati mgumu kwani katika zile milioni 150 zilizoandaliwa hawezi kuwatoza watu wa kwao halafu nafasi achukue huyo Susan ambaye ni Mchagga

Susan mwenyewe ni huyu hapa:

gse_multipart36317.jpg


susan na ABUU FARAJI:

gse_multipart12797-1.jpg


Susan akivaa khanga anakuwa hivi

gse_multipart59264.jpg


bila kusahau na JK

gse_multipart36334.jpg


ALIPOZAA

gse_multipart38531.jpg





JOHN LUSINGU aka katibu


Huyu tatizo lake ni kuishi kijiji aka READING kwani wajanja wa London washampiga chenga bila kujijua sasa anahaha kwenye ma internet kutaka kujua data zaidi kuhusu hizo £60,000 na mara ya mwisho alipohoji hili alipewa bank statement za jumuiya na Abuu Faraji na kaona Jumuiya haina resources sasa sie hapa kuzungumzia mambo ya £60,000 za commonwealth zimamuumiza kichwa sasa usiwe pate taabu kwani nitakupa connection iko wapi

ABUU FARAJI&NORA SUMARI

Abuu ni mtoto wa mjini na ni mhangaikaji kama wengine sema sijui alichelewa wapi lakini so far I am very impressed naye kwani HASIMU wake mkuu bwana SY aka MWAANDISHI aka SAIDI YAKUBU is out of the picture..nasikia mara ya mwisho alionekana HOROHORO,TANGA sina hakika na hili lakini pale BBC SWAHILI service inasemekana nafasi yake ilikuwa apewe SAIDA KILUMANGA ambaye sina hakika kama ana ukaribu wa namna gani na bwana Kilumanga ambaye kama naibu wa MWANAIDI MAJAAR...(by the way nasikia huyu bwana KILUMANGA keshatangaza kuwa anataka mke sasa sijui antaka mkwe wa pili au sijui vipi)

ANYWAY,Abuu pamoja na kuwa na hiyo TZ UK,anatuma mizigo bongo na zaidi ya yote hayo Mama Mjaaar Hapindui kwake kwani Abuu ana pozi ambazo yule mama bado hajamstukia na hii kuwa mwenyekiti wa Jumuiya imezidi kumpa chati...japo akina Lusingu na wenzie wanamsuspect kuwa anawatake for a ride lakini hawajui kivipi....sasa tuliza ball nitakupa picha nzima ikoje hapo chini

NORA SUMARI...huyu siwezi kumsema sana kwani i have a soft spot naye (rijali yoyote yule lazima awe hivyo) sasa mtanisamehe...lakini all i can say she is a wife material sema sijui kama ataweza kukuna nazi..unajua tena sie watu wa Mafia lazima mwanamke ajue kukuna nazi...huyu binti naombeni mnisamehe sitoendelea zaidi ya hayo...



WANIGERIA:

hapa kuna huyu mama anaitwa Dr TITI BANJOKO ambaye ni kaacha udaktari wake akaamua kuwavaa akina Abuu na huyu mama ni MNIGERIA na kesha chukua pesa kule Commonwealth kwa mchongo huuu wa AFRICA RECRUIT...

MAMA MWENYEWE HUYU HAPA:

titibanjoko.jpg


sasa kama YEBO YEBO hujaziona hizo £60,000 kule kwenye jumuiya then mimi nakupa lead...na lead yako ni huyu mama kesha chukua pesa na wenzako utawaona watakavyongara baada ya mkutano kuisha...na huyi mama kesha chukua pesa kwa niaba ya WAKENYA
sasa cha kujiuliza kama ABUU FARAJI angekuwa mjanja hivyo basi yeye angempiga bao huyu Mama Mnigeria na kangewavaa hao Commonwealth siyo kama mwenyekiti wa Jumuiya aya akina Lusingu bali kama SWIFT RECRUIT(kama ipo) hapo sasa ningemuaona kweli ni MANGI anayeijuia pesa.

Huyu mama by the way Keshamweka front RITA MLAKI kwenye mchongo huu huu kwa Meya hapa London na najua kama Rita aliopolea Photo Op tuuu ... sijuimwane NAMBUA kwa nini hakumpa mamayake huu mchongo wa kukusanya mapesa London...labda ndio katika hao wachagga walio lala

Yebo Yebo kama unamaswali zaidi lete lakini nishakupa lead. Ushauri wa bure ni kuwa DONT HATE THE PLAYA, HATE THE GAME
 
I really don't care about whatever you guys are possbily talking about... I'm really interested in the girl in the kanga.. as I continue my quest for jiko... sasa huyo Nora anazungumzika... mbona hujaweka picha ili tuhukumu kama kweli ni 'wife" au "wifey" material...

carryon with your discussion please... nimegee pembeni GT
 
I really don't care about whatever you guys are possbily talking about... I'm really interested in the girl in the kanga.. as I continue my quest for jiko... sasa huyo Nora anazungumzika... mbona hujaweka picha ili tuhukumu kama kweli ni 'wife" au "wifey" material...

carryon with your discussion please... nimegee pembeni GT

....ha ahaha ahaha haha...walafi utawajua tuu!
 
Bana acheni huu ujinga sasa, mara sijui shs 1,200 times na # ya wanafunzi, MBONA HAMSEMI DR. SLAA ALIVYOKULA FEDHA ZA MAYATIMA ??

Sasa nyie wote mnaosema sijui pesa za daruso zimeliwa, nataka niwasikie mkisema kuhusu yale mafedha ya yatima yaliyoliwa na dr. slaa !
 
Back
Top Bottom