Huyu ndiye Lucas Mshamba, au yule mzoga Tlaatlaah!View attachment 3616634
Hii mbatata hata kwa muonekano tu unajua upstairs hakuko sawa, hapa anakenua baada ya kununuliwa na Magufuli na kuvishwa huo ujinga anaondeleza hadi leo.
Niliamini CCM ingemfia mikononi mwa Kikwete; na hili niliiandika humu, lakini kwa miujizaujiza ikabaki hai na kushikwa na Magufuli.Daah !! ccm kwisha kabisa na hawawezi tena kumpata mtu kama magufuli wa kuwabeba maana ufisadi waliofanya 2005-2015 ulifanya chama kiwe kituko Magu as akaja kuokoa jahazi sasa hivi sijui kama watampata mtu kama Magufuli wakuwaokoa.