Mingoi
JF-Expert Member
- Jul 21, 2012
- 11,715
- 6,126
Kichwa cha VUTA-NKUVUTE kilibeba sana ndoo za maji alipokuwa mdogo ndio maana ana shida ya kufikiri sawasawa kwa kutumia kichwa.
Last edited by a moderator:
Magufuli naye ndoto za kuwa raisi labda wa yanga
Mwaka huu Lowasa atawapeleka ICU
Kiukweli wagombea wote wanamuogopa Magufuli.wanajua anapendwa na wananchi..mengine ni unafiki tu
Dah! sitaki kuamini.Ahmed Salim awe raisi ili waislamu muendeleze mambo tenu?
Wananchi wa Familia yako.
Sisi huku Tunajiandaa kuelekea kwenye Safari ya Matumaini.
Wananchi wa Familia yako.
Sisi huku Tunajiandaa kuelekea kwenye Safari ya Matumaini.
Alipokuwa waziri wa ardhi nyumba na makazi waligawana Nyumba za serikali naye alituhumiwa kuwapa naninooo zake,alipokuwa confronted bunge ni akadai mnatuonea wivu.Hayo ndiyo maneno kwa mtu anayekubalika kama maghufuli, wenye hofu lazima mjinyee kwa kujipa matumaini.
Mpe neno huyo kwenda Dodoma ni utaratibu tu kama Lori au bus kupita mizani.Lowassa ndio rais wa JMT 2015
Mpe neno huyo kwenda Dodoma ni utaratibu tu kama Lori au bus kupita mizani.Lowassa ndio rais wa JMT 2015
Kwa Dkt. Salim mimi sina pingamizi, huyu jamaa ndo alipaswa awe Rais tangu mwaka 2005, sema basi tu!
Na staring wa ule mtandao ndio anausaka urasi kwa udi na uvumba. Mpaka sasa ameshatumia mabilioni kuusaka urais. Na kwakuwa chama hakina maadili tena, si ajabu ukasikia akapitishwa kama alivyopitishwa the current oneUle mtandao ndo unakivuruga chama hadi leo.