nderingosha
JF-Expert Member
- Mar 20, 2011
- 4,285
- 3,254
..Dr. Salim alitakiwa awe rais mwaka 2005 akafanyiwa fitna na kambi ya JK....kwasababu za kidini na rangi..na anakotoka....Dhambi ya kumtupa Dr. Salim hapo 2005 ndio imeendelea kuitafuna ccm hadi leo....na sasa wamechelewa kwani hata Dr.Salim sidhani kama atakubali kugombea wakati chama chao (CCM)kimechafuka mithili ya tambara bovu la kutupwa....Ilikua vema kumpa DR.Salim kugombea mwaka 2005...na nin hakika TZ ya leo ingekua tofauti sana...maana huyu mtu ni safi na anakubalika si tu TZ bali duniani kote....Kama huamini fatilia status yake kule Mo Ibrahim Foundation.....
....Nina hakika hata wale NEC waliomfanyia fitna Dr. Salim mwaka 2005 leo wanajutia maamuzi yao...haswa wale ambao walifanya maamuzi kwa kufata mkumbo ama shibe ya matumbo yao.....
...Ndio maana Dr. Salim leo anawaambia hivi: Dk Salim, Warioba waonya kuhusu amani - Kitaifa