dawa yenu
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 2,833
- 3,751
We VUTA-NKUVUTE kwani huyo Salim mliisha msafisha lile tope mlilomwagia mwaka ule?
Last edited by a moderator:
lusinde,nkamia,mr.f**k you(serurope),mnyoa zungu la unga a.k.a mwizi wa pepa makamba,gaidi nchemba etc etc etcUmetumwa wewe, hao vikongwe wa nini! Kuna hazina kubwa CCM zaidi ya hawa ajuza..... tunawaka viongozi sio makapi!
We VUTA-NKUVUTE kwani huyo Salim mliisha msafisha lile tope mlilomwagia mwaka ule? Mmeridhia uraia wake? Vipi kuhusu kuhusika kwake na kifo cha yule kiongozi wa zanzibar? Maana haya yote mliyasema ninyi wenyewe, au mliteleza ulimi? Ila kama haya yatatimia, ukawa wajipange
huku ni sawa na kuishi kwa matumaini.Yeyote atakayepitishwa na CCM ndiye Raisi wa Tanzania. Raisi bora atatoka CCM.
Yeyote atakayepitishwa na CCM ndiye Raisi wa Tanzania. Raisi bora atatoka CCM.
Mtando wa akina EL wa kumpeleka ikulu JK ndio uliomchafua sana Salimu hadi kumsingizia kuwa sio mtanzaniaKwa Dkt. Salim mimi sina pingamizi, huyu jamaa ndo alipaswa awe Rais tangu mwaka 2005, sema basi tu!