CCM kwaiva: Kama si Salim ni Mwandosya

CCM kwaiva: Kama si Salim ni Mwandosya

Ingawa nipo Arusha,naendelea kudokezwa yanayochomoza vikaoni (ndani ya CCM) na katikati ya makada wa haja. Nimedokezwa kuwa CCM inaelekea kugeukia kwa wanachama wawili ambao kura zao hazikutosha mwaka 2005 na 2010, Dr. Salim Ahmed Salim na Profesa Mark Mwandosya. Nikaambiwa kuwa makada hawa wawili wana kila sifa za kuwa Rais wa Tanzania na hawana makuu wala makundi. Pia,wako mbali na kashfa ya aina yoyote iliyoitafuna taifa.

Ninaaminishwa kuwa ripoti mpya ya CAG imempiga mweleka Dr John Pombe Magufuli kwakuwa Wizara yake ililidanganya Bunge na kufisidi mamilioni ya fedha (bilioni 262). Dr. Salim na Prof. Mwandosya sasa wanatazamwa kama dawa pekee ya kuiponya CCM katika kipindi ambacho chama na Serikali yake kimeandamwa na kashfa za kifisadi za kila aina na rangi. Nikaambiwa kuwa Salim na Mwandosya watashawishiwa kuchukua fomu za kugombea kipenga kitakapopulizwa.

Hatimaye CCM yetu imepata pakutokea. Walionidokeza na kuniambia ni wabobezi wenzangu chamani na nawaamini. Afadhali papoe jamani!

Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Arusha)
Tena uko Arusha!!
Unatska kumwua mzee EL kwa pressure!!!
 
dr. salim alifaa sana. tatizo umri umekwenda sana. pia mwandosya kiafya hayuko vizuri sana.
 
japokuwa naishi mombasa lakini asili ya wazazi ni mbeya japokuwa sijawah kufika huko, kura kwa mwandosya.

watu kama nyie ndio mwalimu alikuwa anawatolea kama mfano.ukiulizwa kwanini umemchagua fulani jibu unasema ahh huyu ni mtu wa kwetu.chaguwa mtu kwa sifa zake siyo kabila lake.usituletee mambo ya kenya hapa.
 
tuache ushabiki na mahaba Dr. Salim ndo mwanaccm haswa aliebak anaeishi unyerere na falsafa zake tukumbuke kuwa kiongoz mzuri ni yule ambaye ana falsafa anayoiamini na kuiishi sio kuongea tu and let me put this straight Dr. Salim na Jaji Augustino Ramadhan ndio watu pekee kwenye tume ya Jaji Warioba waliosimamia na kueleza waziwazi kuunga mkono serikali mbili lakini kwa kuwa wengi wape basi waliamua kukubaliana na wengi na hii ndio maana halisi ya demokrasia ambayo Dr. Salim ni muumini. Pia kwa wenzangu ambao hawaelewi kwa mtu wa calibre ya Dr. SAS(yuko pekee aliebaki) huwezi kutegemea kumwona akisimama na kupinga serikali tatu kwa kuwa kufanya hivo ni kwenda tofauti na dhana nzima ya majority rule(wengi wape).

umechambua standard mkuu,japo mi sio gamba
 
Ingawa nipo Arusha,naendelea kudokezwa yanayochomoza vikaoni (ndani ya CCM) na katikati ya makada wa haja. Nimedokezwa kuwa CCM inaelekea kugeukia kwa wanachama wawili ambao kura zao hazikutosha mwaka 2005 na 2010, Dr. Salim Ahmed Salim na Profesa Mark Mwandosya. Nikaambiwa kuwa makada hawa wawili wana kila sifa za kuwa Rais wa Tanzania na hawana makuu wala makundi. Pia,wako mbali na kashfa ya aina yoyote iliyoitafuna taifa.

Ninaaminishwa kuwa ripoti mpya ya CAG imempiga mweleka Dr John Pombe Magufuli kwakuwa Wizara yake ililidanganya Bunge na kufisidi mamilioni ya fedha (bilioni 262). Dr. Salim na Prof. Mwandosya sasa wanatazamwa kama dawa pekee ya kuiponya CCM katika kipindi ambacho chama na Serikali yake kimeandamwa na kashfa za kifisadi za kila aina na rangi. Nikaambiwa kuwa Salim na Mwandosya watashawishiwa kuchukua fomu za kugombea kipenga kitakapopulizwa.

Hatimaye CCM yetu imepata pakutokea. Walionidokeza na kuniambia ni wabobezi wenzangu chamani na nawaamini. Afadhali papoe jamani!

Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Arusha)

Navyofahamu mimi dr salim hawezi maana wanae wamemkataza kujishughulisha na mambo ya siasa,anayebakia hapa ni Mwandosya na pia yeye ni dhaifu hana tofauti na fastjet
 
Majitaka ya hayaaa unaleta thread za kipuuzi kabisaa lowasa anawapasua vichwa ehee

hivi inamaana tumekosa watu wa kujadili mpaka tumjadili huyo lowasa anayetumia mapesa yake kununuwa urais.hebu nyamaza aisee.
 
Ingawa nipo Arusha,naendelea kudokezwa yanayochomoza vikaoni (ndani ya CCM) na katikati ya makada wa haja. Nimedokezwa kuwa CCM inaelekea kugeukia kwa wanachama wawili ambao kura zao hazikutosha mwaka 2005 na 2010, Dr. Salim Ahmed Salim na Profesa Mark Mwandosya. Nikaambiwa kuwa makada hawa wawili wana kila sifa za kuwa Rais wa Tanzania na hawana makuu wala makundi. Pia,wako mbali na kashfa ya aina yoyote iliyoitafuna taifa.

Ninaaminishwa kuwa ripoti mpya ya CAG imempiga mweleka Dr John Pombe Magufuli kwakuwa Wizara yake ililidanganya Bunge na kufisidi mamilioni ya fedha (bilioni 262). Dr. Salim na Prof. Mwandosya sasa wanatazamwa kama dawa pekee ya kuiponya CCM katika kipindi ambacho chama na Serikali yake kimeandamwa na kashfa za kifisadi za kila aina na rangi. Nikaambiwa kuwa Salim na Mwandosya watashawishiwa kuchukua fomu za kugombea kipenga kitakapopulizwa.

Hatimaye CCM yetu imepata pakutokea. Walionidokeza na kuniambia ni wabobezi wenzangu chamani na nawaamini. Afadhali papoe jamani!

Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Arusha)

mkuu unamsemaa dr. salimu yupi atakaye wakoa ccm? au ni yule wa 1995/2000mliye mtuhumu kwamba alimuuwa KARUME? AU ni yule mliyesema ni mwarabu,sio mzanzibar na maana yake ni kuwa SALIMU ni mkimbizi?
 
Hapa ndio kitanzi cha ma-ccm na hakika shetani ameshawatema wamebaki necked....
 
Maghufuli hachafuliki kwa porojo kama hizi.
Sasa mdau alomchafua Magufuli ni nani?je alolidanganya Bunge ni nani?ofisi ya CAG haifanyi kazi kisiasa,na haijawahi kutokea ikatupiwa lawama kwa kumchafua mtu,hivi katika maisha yako umeshawahi kukaguliwa na AUDITOR yeyote wewe?
 
Mpe neno huyo kwenda Dodoma ni utaratibu tu kama Lori au bus kupita mizani.Lowassa ndio rais wa JMT 2015
Lowasa hauziki mkuu.watanzania tumeshtuka huyu mtu kwa nguvu ya pesa anayoitumia kuingia ikulu Si atatuuza huyu.lowasa hapana kwa kweli aendelee tu na cheo cha laigwanani awaongoze wamasai wenzie inatosha.
 
mwandosya ni mtu pekee anayeweza kuiongoza tanzania ila sio yule jamaa wa monduli
 
Ingawa nipo Arusha,naendelea kudokezwa yanayochomoza vikaoni (ndani ya CCM) na katikati ya makada wa haja. Nimedokezwa kuwa CCM inaelekea kugeukia kwa wanachama wawili ambao kura zao hazikutosh7a mwaka 2005 na 2010, Dr. Salim Ahmed Salim na Profesa Mark Mwandosya. Nikaambiwa kuwa makada hawa wawili wana kila sifa za kuwa Rais wa Tanzania na hawana makuu wala makundi. Pia,wako mbali na kashfa ya aina yoyote iliyoitafuna taifa.

Ninaaminishwa kuwa ripoti mpya ya CAG imempiga mweleka Dr John Pombe Magufuli kwakuwa Wizara yake ililidanganya Bunge na kufisidi mamilioni ya fedha (bilioni 262). Dr. Salim na Prof. Mwandosya sasa wanatazamwa kama dawa pekee ya kuiponya CCM katika kipindi ambacho chama na Serikali yake kimeandamwa na kashfa za kifisadi za kila aina na rangi. Nikaambiwa kuwa Salim na Mwandosya watashawishiwa kuchukua fomu za kugombea kipenga kitakapopulizwa.

Hatimaye CCM yetu imepata pakutokea. Walionidokeza na kuniambia ni wabobezi wenzangu chamani na nawaamini. Afadhali papoe jamani!

Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Arusha)

Hao wawili hawana makundi? Maana yake ni nini? Ndio kusema hawana itikadi? Ninamfahamu Popo peke yake. Ni mnyama na ndege! Kwa hiyo CCM mtamleta mtu asiye na itikadi ili apigiwe kura siyo? Na mpaka leo hamjui kama hili ndio kosa lenu la kwa nini marais wa nchi hii toka chama chenu wanashindwa kuliletea Taifa maendeleo? Mnambeba yoyote na kumbebesha itikadi ya chama mtu asye na macho. Mtu asiye na maono. Itikadi inafanya kazi vizuri kwa mtu mwenye macho. Itikadi ni sawa na gari. Mpe gari Dreva deiwaka. Kwa hiyo mnaenda tena kumtoa deiwaka?
 
Ccm ni chama imara chaku walaghai kina mama kwa kanga, kofia na vijisent ili wapate kura za ushindi. Kina mama amkeni!.
 
Back
Top Bottom