CCM kwachafuka,mchawi anatafutwa

CCM kwachafuka,mchawi anatafutwa

Matokeo yenu yalitangazwa na Nape na DC wa Kilindi kuwa mmepata ushindi wa mezani wa vijiji 2,700.

Bali matokeo ya ukweli yanatagazwa na wasimamizi wa uchaguzi vituoni.

Nyimbo zinaanza kubadilika, tofauti na jana usiku.
 
View attachment 211277
Wananchi wanataka kuondokana na ugonjwa!

Pamoja na hayo, mwenyekiti ccm taifa amelinyamazia sana swala la escrow. Alitaka kulinda watu badala ya kulinda chama na matokeo sasa ndiyo hayo - irreversible damage to ccm-escrow

Mchawi wenu yuko nyumbani katulia anakula breeze akijitanua kwenye sofa!
 
Mapingamizi kwani yalikuwa siri mpaka yasijulikane?
Halafu nasikia wazungu wa MCC wamewakamata tezi dume mpaka Mr dhaifu kalivuruga baraza la mawaziri kujinusuru.

Naona nyimbo zinaanza kubadilika kwa haraka sana kuliko nilivyotegemea.

Kulikoni?
 
PHP:
Siku zote nipo kazini. Hivi hapa mtu anaganda? haya mawasiliano hayajawaingia akilini? amma kweli.

Hapa jukwaani kuna ajira gani kwa mtu wa umri wako? Fanya kazi halali ulijenge taifa lako kwani kazi ni kipimo cha utu, sio kila siku watoto na wajukuu zako wanaona unarudhi nyumbani na kutoka lakini hawajui unafanya kazi gani. Kuwa mfano mzuri kwa jamii kwa kufanya kazi halali na sio kushinda hapa jukwaani kutetea wahujumu uchumi wa taifa letu. Nakuomba sana mama na kila nitakapota nafasi nitafuatilia post zako umepost saa ngapi na interval ya muda gani. Mnaishi kiujanja ujanja hapo Dar huku mkijifanya kujuana na watu ii mpewe deal za kitapeli huko kwenye ofisi za umma eti mnawasaidia mambo yao yaende haraka kumbe ni matapeli mnaozidisha urasimu usio wa lazima. Kwa taarifa yako sasa hiyo kazi ya kuwa vishoka hapo mjini inakaribia ukingoni kwani kila kitu kitakuwa kwa mtandao na wewe elimu ya kuiba kwa mtandao huna.
 
Bwamdo element zako zina matatizo nani kakwambia matokeo ya metoka kushinda mtaa moja tu imekuwa kelele ccm inashinda kwa elimu yao kubwa nyinyi vilaza hamna elimu kazi yenu kupiga kelele tu

hahahaha eti elimu, my nose elimu IPI uliyonayo kijana !!?
MTU mwenyewe elimu ya kutosha hawezi argue jinsi unavyo argue.yaani wewe haki ka elimu ka kata kanakuoa jeuri eeeehh!
 
hao wa kukalishwa wamerudi lini toka mikoani mpaka wakalishwe kama sio uzandiki wako na kiherehere kudakia usiyoyajua.. hakuna wanaolalamikiana na tunafanya tathmini za kisayansi kabla ya kuamua hatua inayofuata. hakuna aliyesimangwa wala hatasimangwa mtu kwani bado tumeshinda maeneo mengi tu na tunaongoza
Hebu jitahidi kufikirisha akili, usikurupuke. Tatizo mmezoe kutafuniwa kila kitu, sasa nikuulize umemwelewaje Vuta nikuvute aliposema "Vikao vyenyewe sio vya kukaa ni vya kukalishwa na kusimangwa" Kwani CCM mna vikao rasmi vya kukalishwa na kusimangwa? Kama hamna basi ujue kuwa Vuta nikuvute anashuhudia pale ofisini watu wamechanganyikiwa wanalalamiana na kutupiana lawama mradi tu wapate wa kumbebesha mzigo, na si vikao rasmi.
 
Hapa ukawa wanajifariji tu na ukweli wanashindwa kuusema, ngoja takwimu zitoke uone watakavyoingia mitini.

CCM imechukuwa tena ushindi wa kishindo Tanzania nzima.

We Faiza wewe!!! Ni takwimu zipi unangoja? Unadhani it will just be business as usual ee subiri
 
CHADEMA huwa mnajisifu hapa kila siku kuwa UMMA uko na ninyi.

Nashangaa leo mnashangilia ushindi kiduchu namna hii! tena chini ya mwamvuli wa UKAWA.

Hiyo NGUVU ya UMMA iko wapi sasa? Mkiwa na NGUVU ya UMMA na CCM inayopata ushindi wa "Tsunami" kila uitishwapo uchaguzi isemeje?
 
....Cc: Msalani, Laki Si Pesa, Faiza, Ritz, Lizaboni Na Vilaza Vingine
 
Back
Top Bottom