CCM kwachafuka,mchawi anatafutwa

CCM kwachafuka,mchawi anatafutwa

Hujakosea Matokeo ya ujumla mmeshinda .. LAKINI ... NDIO MATEGEMEO YENU.

PILI Kiujumla Mmefanikiwa zaidi ... linganisha kabla ya uchaguzi na baada ya uchaguzi. ?

Fasta ...Lete jibu kamili hapa. NB hakuna manunguniko na visingizio.

Bottom line mmepigika. Tulieni Maumivu Yapitishe dawa kwenye misuli.

Nilichouliza na ulicho kinyambua ni tofauti kama ilivyo mbingu na nchi...
 
Salaam zako nimezipata, tupo hapa twangoja matokeo rasmi, burdaaan wa sharaba, wala hatuna wasi, tunawaona mnavyohaha kwa kudanganyana.

Viwanda vya uongo kazini.
matokeo ya mwaka huu hatupimi mmepita bila kupingwa ngapi ila tunapima mlikuwa na ngapi mmepoteza ngapi na mmeweza kubakiza ngapi na je mlishinda kwa kura hizo hizo mwaka ulipita.Pia hii ina maana pia kuwa kura ya katiba itakuwa na mshikimshike pia
 
Naona chord zimebadilika, mshaanza kupata matokeo rasmi nini?
 
Naona chord zimebadilika, mshaanza kupata matokeo rasmi nini?

Mkuu Mimi binafsi nitapima hivyo. Ila tukiacha utani safari hii wananchi wameamka na pia kwa mwelekeo huu natumaini utawala bora utakuwepo pamoja na uwajibikaji maana watashindana balaa
 
Naona chord zimebadilika, mshaanza kupata matokeo rasmi nini?

Heeeeeeee!!!!!!! FaizaFoxy

Nilisikia kuwa umezimia baada ya kuona hali imeenda tofauti jana pamoja na mapingamizi yote mliyoweka.

kwani yale maeneo mliyojaza mapingamizi ndio mlikuwa na shaka nayo, sasa mmeangushwa na maeneo tofauti nje ya matarajio yenu.

Mungu mkubwa sana sikutegemea kwani bado mnajikongoja na kufungua JF. Poleni sana

Ni maisha tu msijali. Jitahidini huenda 2015 mkafanikiwa kurudi madarakani.

Mwenzio Lizaboni alikuwa hali hii,

sijui yu hali gani muda huu.

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Last edited by a moderator:
Mshaanza kubadili nyimbo? matokeo rasmi umeyaona nini?

Mapingamizi kwani yalikuwa siri mpaka yasijulikane?
Halafu nasikia wazungu wa MCC wamewakamata tezi dume mpaka Mr dhaifu kalivuruga baraza la mawaziri kujinusuru.
 
Uchaguzi wa mwaka huu umeweka historia kumbe wananchi wameamka mpaka vijijini Mungu ashukuriwe
 
vuta nikuvute muongo mzushi wewe vikao gani vikae halafu saa tatu wewe uturushie taarifa. CCM ina utaratibu wa kuitisha vikao na unachoshangaza ni kuwa umekuwa msemaji wa tume ya uchaguzi au tamisemi...ukawa haijashinda kihivyo unakuza tu .kupata mitaa miwili kati ya mitaa 250 ya ccm sio ushindi bali ni kujikongoja..subiri matokeo kamili acha kurauka
Hebu jitahidi kufikirisha akili, usikurupuke. Tatizo mmezoe kutafuniwa kila kitu, sasa nikuulize umemwelewaje Vuta nikuvute aliposema "Vikao vyenyewe sio vya kukaa ni vya kukalishwa na kusimangwa" Kwani CCM mna vikao rasmi vya kukalishwa na kusimangwa? Kama hamna basi ujue kuwa Vuta nikuvute anashuhudia pale ofisini watu wamechanganyikiwa wanalalamiana na kutupiana lawama mradi tu wapate wa kumbebesha mzigo, na si vikao rasmi.
 
Mshaanza kubadili nyimbo? matokeo rasmi umeyaona nini?
Matokeo yenu yalitangazwa na Nape na DC wa Kilindi kuwa mmepata ushindi wa mezani wa vijiji 2,700.

Bali matokeo ya ukweli yanatagazwa na wasimamizi wa uchaguzi vituoni.
 
Matokeo yenu yalitangazwa na Nape na DC wa Kilindi kuwa mmepata ushindi wa mezani wa vijiji 2,700.

Bali matokeo ya ukweli yanatagazwa na wasimamizi wa uchaguzi vituoni.

Nzuri hiyo ndo mabadiliko hayo
 
Kama serekali za mtaa hivi sipati picha mwakani kuna mtu atalia
 
Back
Top Bottom