CHADEMA huwa mnajisifu hapa kila siku kuwa UMMA uko na ninyi.
Nashangaa leo mnashangilia ushindi kiduchu namna hii! tena chini ya mwamvuli wa UKAWA.
Hiyo NGUVU ya UMMA iko wapi sasa? Mkiwa na NGUVU ya UMMA na CCM inayopata ushindi wa "Tsunami" kila uitishwapo uchaguzi isemeje?
Wewe ni mbumbumbu hujaelewa mada. Vuta nikuvute anaongelea alichokiona ofisini. Sasa kama wewe unasubiri tafiti za kisayansi subiri zifanyike halafu utaanzisha uzi wako utakanao na hizo tafiti. Lakini usibwabwaje kuipinga thread kama humuamini Vuta nikuvute kaa kimya au lete hoja zinazoeleweka. Unaposema hawajarudi toka mikoani kwani ofisi ya Lumumba imefungwa? Nyie inaonesha ndio mlikuwa mnakataa matumizi ya computer maofisini ndio maana sasa hivi unadhani kila taarifa lazima iletwe physically.hao wa kukalishwa wamerudi lini toka mikoani mpaka wakalishwe kama sio uzandiki wako na kiherehere kudakia usiyoyajua.. hakuna wanaolalamikiana na tunafanya tathmini za kisayansi kabla ya kuamua hatua inayofuata. hakuna aliyesimangwa wala hatasimangwa mtu kwani bado tumeshinda maeneo mengi tu na tunaongoza
Ulitegemea kura zitapatikane wapi kwa mbinu kama hizi zilizopitwa na wakati.
![]()
Wewe ni mbumbumbu hujaelewa mada. Vuta nikuvute anaongelea alichokiona ofisini. Sasa kama wewe unasubiri tafiti za kisayansi subiri zifanyike halafu utaanzisha uzi wako utakanao na hizo tafiti. Lakini usibwabwaje kuipinga thread kama humuamini Vuta nikuvute kaa kimya au lete hoja zinazoeleweka. Unaposema hawajarudi toka mikoani kwani ofisi ya Lumumba imefungwa? Nyie inaonesha ndio mlikuwa mnakataa matumizi ya computer maofisini ndio maana sasa hivi unadhani kila taarifa lazima iletwe physically.
Salaam zako nimezipata, tupo hapa twangoja matokeo rasmi, burdaaan wa sharaba, wala hatuna wasi, tunawaona mnavyohaha kwa kudanganyana.
Viwanda vya uongo kazini.
Binafsi taarifa nilizonazo ccm imefanya vizuri maeneo mengi sana! Vijijini na mjini.
Okay! sasa kumbe tatizo lako kubwa ni kuwa humwamini Vuta-nkuvute, hapo hamna jinsi ya kuelewana ila ujue kuwa toka enzi za jamboforum weakness kubwa ya Jamiiforums ni kuwa taarifa zinaletwa kihuni hivihivi na bila ushahidi, lakini uzuri wa Jamii forums ni kuwa taarifa zinathibitika kuwa kweli. Kuhusu swali lako kuwa "atasikiaje yanayozungumzwa kote?" Jibu si la moja kwa moja, ila ni kuwa kama huyo Vuta-nkuvute humfahamu kazi yake basi usihitimishe kuwa kilichoandikwa ni uongo, maana uzuri wa JF ID feki ndio mpango ikitokea siku tumefahamiana wote humu kwa majina halisi na kazi tunazozifanya basi tutashangaana sana. Hapa najaribu tu kukuambia kuwa humu JF kuna watu wana uwezo wa kuaccess taarifa ambazo wewe unaziona haziwezekani. Japo najua hivi karibuni JF imevamiwa na kizazi fulani cha graduates wasiokuwa na kazi ndio maana hata rate ya lugha za matusi zimeongezeka.mumbumbu mzungu wa reli ni wewe kibona kwani vutanikuvute hajasema kweli .ataonaje ofisi yoote ya ccm kila chumba kila korido na atasikiaje yanayozungumzwa kote?? ungeniambia paliitishwa kikao na yeye akawa mjumbe ndio ningekuamini lakini kwa uzushi huu...
Mlichotegemea hakikufikia lengo, endeleeni kusubiri kuumia.
Okay! sasa kumbe tatizo lako kubwa ni kuwa humwamini Vuta-nkuvute, hapo hamna jinsi ya kuelewana ila ujue kuwa toka enzi za jamboforum weakness kubwa ya Jamiiforums ni kuwa taarifa zinaletwa kihuni hivihivi na bila ushahidi, lakini uzuri wa Jamii forums ni kuwa taarifa zinathibitika kuwa kweli. Kuhusu swali lako kuwa "atasikiaje yanayozungumzwa kote?" Jibu si la moja kwa moja, ila ni kuwa kama huyo Vuta-nkuvute humfahamu kazi yake basi usihitimishe kuwa kilichoandikwa ni uongo, maana uzuri wa JF ID feki ndio mpango ikitokea siku tumefahamiana wote humu kwa majina halisi na kazi tunazozifanya basi tutashangaana sana. Hapa najaribu tu kukuambia kuwa humu JF kuna watu wana uwezo wa kuaccess taarifa ambazo wewe unaziona haziwezekani. Japo najua hivi karibuni JF imevamiwa na kizazi fulani cha graduates wasiokuwa na kazi ndio maana hata rate ya lugha za matusi zimeongezeka.
Siyo mlichotegemea nyinyi? kuungana kote na UKIWA juu hata 30% hamkupata, mnategemea matokeo hayo ndiyo mtaipata nchi 2015?
Mawee.
mzee wako vipi mshono wa tezi haujamfumuka kutokana na haya matokeo?Binafsi taarifa nilizonazo ccm imefanya vizuri maeneo mengi sana! Vijijini na mjini.
Chora graph hapa tuone chama chetu pendwa Ccm kinavyozidi kupasua anga!!
Maana usilete vichekesho kama vya Seif Khatib aliyetamba bungeni kwamba ndiye mbunge aliyepata asilimia nyingi kuliko mbunge yeyote wa jamhuri mwaka 2010, watu wenye akili timamu tulipouliza kapata kura ngapi tukaambiwa kura 2000. Hizi ndio akili makalioni za maccm.
Wewe bwabwaja lakini ukweli ni kwamba hata 30% ya viti vya serikali za mitaa hamkupata Tanzania hii.
Na kuungana kote? inasikitisha sana. Nawaonea huruma.
UKAWA imekuwa UKIWA.
Wewe bwabwaja lakini ukweli ni kwamba hata 30% ya viti vya serikali za mitaa hamkupata Tanzania hii.
Na kuungana kote? inasikitisha sana. Nawaonea huruma.
UKAWA imekuwa UKIWA.