CCM kwachafuka,mchawi anatafutwa

CCM kwachafuka,mchawi anatafutwa

Una roho ngumu dada FF. Kwa mtu makini, wa chama tawala lazima ajiulize, nini kimetokea.Mfano, Mtwara mjini ngome ya CCM tangu tupate Uhuru leo matokeo yawe viti 53 upinzan na 58 CCM( wastani wa angalau 49%/51). Wewe hii haikuatui kweli kama wewe ni makini lazima utajiuliza kulikoni.

Hii ni mwanzo wa threat mbaya kwa CCM hivyo waondoe dosari. Matokeo yakiwa hivyo kwa ubunge kwa mfano, ni pigo kubwa tena sana, maamuz ya Bungeni kwa utaratibu wa Ndiyooooo hautakuwepo na hivyo kazi itakuwa ngumu sana. Wenzio wanapanga mikakati hawabweteki.

Hiyo haina wasi wasi kabisa, ukipiga hesabu kama unavyopiga wewe uakuwa unajidanganya, chukuwa matokeo ya Tanzania nzima halafu useme mna asilimia ngapi?

Usijidanganye, upinzani umeangukia pua.
 
Hivi chama kinategemea heti wasira ndo jembe lao si uchizi huo,yaani mi mfano nisimame jukwaani na wasira,na bado mwezi wa tatu tunaanza kupiga kampeni dhidi ya katiba ccm
 
Hiyo haina wasi wasi kabisa, ukipiga hesabu kama unavyopiga wewe uakuwa unajidanganya, chukuwa matokeo ya Tanzania nzima halafu useme mna asilimia ngapi?

Usijidanganye, upinzani umeangukia pua.

Hadi unatia huruma ulivyotepeta ngebe zote kwisha.
 
yaani bangi za bavicha ni za kiwendawazimu haswaaaa. yaani asiyekuwepo tanzania na anasoma huu uhoro toka ughaibuni anweza kudhani UKAWA wamepata ushindi wa kishindooooo. kumbe ni mbwembwe tu kama za vigori wasaka mabwana.
tunafarijika mkijitia ujinga kwani nasi twapitia humohumo
 
Aghhe escrow,mauaji ya tembe,sethi,ruge,tezi dume,nepi,wasira wa gombe mnafiki 6 lazma kuchafukoje
vipi umeshawasilisha fedha kwa bosi wako anayemiliki bodaboda unayopigia deiwaka???
thanks JF kwa kutukutanisha na hata wehu kama huyu. eti na yeye ni miongoni mwetu GREAT THIKERS!!!!! HAHAHAHAHAHAHAHHAAAAAAAAAAAAAAAA
 
Leo hapa Lumumba hakukaliki.Hakusemeki jema. Hasira zimetanda. Nyaraka kalikali zinapita kutoka huku kwenda kule. Ofisi zetu hapa leo zinakuwa chungu.Kisa,UKAWA kushinda vijijini na kwenye ngome za CCM kama Monduli. Makada wanalaumiana,vikao visivyoisha.Lakini,ni vikao kwa kukalishwa na si kukaa.Kukalishwa na kusimangwa. Kukemewa. Kushambuliwa.

Inasemwa hapa kuwa lengo la CCM halijatimia.Iitakiwa CCM ishinde kwa asilimia 90. Hadi sasa,hali ni tete.Mikoa yetu tuliyokuwa tunaitegemea imetuangusha. Majimbo yetu yaliyokuwa imara,yamesambaratika. Wabunge wetu wanaojitutumua Bungeni kama majembe ya chama, hawajasaidia kupatikana asilimia 90. Mambo ni shaghalabaghala. Mchafukoge!

Kambi za Urais na Escrow zinatajwa kama sababu kuu. Ziara za Katibu Mkuu wa chama nazo zinapondwa kwa kukosa matunda ya maana. Hakuna pa kushika,hakuna wa kumtupia lawama za moja kwa moja. Lakini,wakuu wanamtafuta wa kumwangushia 'jumba bovu'.Mchawi wa matokeo haya.

Kwani ni dhambi wapinzani kushinda vijijini na kwenye ngome za CCM?

Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam


Mzee tupatupa angalia tukaja kukukuta kesho upo Mabwepande kwa Ulimboka,mana jama wana hasira sana!
 
Hadi unatia huruma ulivyotepeta ngebe zote kwisha.

Hamna ujanja hata mseme nini, ukiwa hata 30% hamkufikisha? sasa ngojeni kipigo kingine takatifu 2015.

Kama kuna chama zaidi ya CCM kitaendesha Tanzania hii basi itakuwa kwenye uhai wa wajukuu zako uzeeni, si wewe wala wanao.
 
Hamna ujanja hata mseme nini, ukiwa hata 30% hamkufikisha? sasa ngojeni kipigo kingine takatifu 2015.

Kama kuna chama zaidi ya CCM kitaendesha Tanzania hii basi itakuwa kwenye uhai wa wajukuu zako uzeeni, si wewe wala wanao.

Si bure mdada utakua kwenye zile tarehe zako.
 
Back
Top Bottom