Lengo lako ni kumnadi Lowasa.Tungesubiri matokeo yatangazwe yote kwanza wakuu.....binafsi nitafurahi ukawa wakishinda viti vingi ili mwakani mwezi may kusiwe na mizengwe kupitisha mgombea ndani ya CCM
umeamka mkuu?leo huna hata maneno mengi naona...Unafiki tu...
Leo hapa Lumumba hakukaliki.Hakusemeki jema. Hasira zimetanda. Nyaraka kalikali zinapita kutoka huku kwenda kule. Ofisi zetu hapa leo zinakuwa chungu.Kisa,UKAWA kushinda vijijini na kwenye ngome za CCM kama Monduli. Makada wanalaumiana,vikao visivyoisha.Lakini,ni vikao kwa kukalishwa na si kukaa.Kukalishwa na kusimangwa. Kukemewa. Kushambuliwa.
Inasemwa hapa kuwa lengo la CCM halijatimia.Iitakiwa CCM ishinde kwa asilimia 90. Hadi sasa,hali ni tete.Mikoa yetu tuliyokuwa tunaitegemea imetuangusha. Majimbo yetu yaliyokuwa imara,yamesambaratika. Wabunge wetu wanaojitutumua Bungeni kama majembe ya chama, hawajasaidia kupatikana asilimia 90. Mambo ni shaghalabaghala. Mchafukoge!
Kambi za Urais na Escrow zinatajwa kama sababu kuu. Ziara za Katibu Mkuu wa chama nazo zinapondwa kwa kukosa matunda ya maana. Hakuna pa kushika,hakuna wa kumtupia lawama za moja kwa moja. Lakini,wakuu wanamtafuta wa kumwangushia 'jumba bovu'.Mchawi wa matokeo haya.
Kwani ni dhambi wapinzani kushinda vijijini na kwenye ngome za CCM?
Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
Haijalishi tutashinda kwa asilimia ngapi ila ushindi ni ushindi tu
Last year 2009 CCM ilishinda uchaguzi huu kwa asilimia 96, this time tunataka kuona mmeongeza asilimia ngapi, uje kwa data sio kuhororoja kwa maneno ya mitaani.
Muendelee na upofu huo huo hadi mtakaposhtuka mnapata 45%.Haijalishi tutashinda kwa asilimia ngapi ila ushindi ni ushindi tu
Unafiki tu...
Leo hapa Lumumba hakukaliki.Hakusemeki jema. Hasira zimetanda. Nyaraka kalikali zinapita kutoka huku kwenda kule. Ofisi zetu hapa leo zinakuwa chungu.Kisa,UKAWA kushinda vijijini na kwenye ngome za CCM kama Monduli. Makada wanalaumiana,vikao visivyoisha.Lakini,ni vikao kwa kukalishwa na si kukaa.Kukalishwa na kusimangwa. Kukemewa. Kushambuliwa.
Inasemwa hapa kuwa lengo la CCM halijatimia.Iitakiwa CCM ishinde kwa asilimia 90. Hadi sasa,hali ni tete.Mikoa yetu tuliyokuwa tunaitegemea imetuangusha. Majimbo yetu yaliyokuwa imara,yamesambaratika. Wabunge wetu wanaojitutumua Bungeni kama majembe ya chama, hawajasaidia kupatikana asilimia 90. Mambo ni shaghalabaghala. Mchafukoge!
Kambi za Urais na Escrow zinatajwa kama sababu kuu. Ziara za Katibu Mkuu wa chama nazo zinapondwa kwa kukosa matunda ya maana. Hakuna pa kushika,hakuna wa kumtupia lawama za moja kwa moja. Lakini,wakuu wanamtafuta wa kumwangushia 'jumba bovu'.Mchawi wa matokeo haya.
Kwani ni dhambi wapinzani kushinda vijijini na kwenye ngome za CCM?
Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
Huyu amekalia kuti kavu,kamwulize jimbo lake la nkenge kama ana uhakikahapo ndipo ninapokukubali mheshimiwa Asumpta
Mkuu upo!!!! Tulia dawa iingie taratibu daktari asije akaweka katika flesh badala ya vain. Inaitwa intravenous fluid hiyo inauma balaa. Pole.
Leo hapa Lumumba hakukaliki.Hakusemeki jema. Hasira zimetanda. Nyaraka kalikali zinapita kutoka huku kwenda kule. Ofisi zetu hapa leo zinakuwa chungu.Kisa,UKAWA kushinda vijijini na kwenye ngome za CCM kama Monduli. Makada wanalaumiana,vikao visivyoisha.Lakini,ni vikao kwa kukalishwa na si kukaa.Kukalishwa na kusimangwa. Kukemewa. Kushambuliwa.
Inasemwa hapa kuwa lengo la CCM halijatimia.Iitakiwa CCM ishinde kwa asilimia 90. Hadi sasa,hali ni tete.Mikoa yetu tuliyokuwa tunaitegemea imetuangusha. Majimbo yetu yaliyokuwa imara,yamesambaratika. Wabunge wetu wanaojitutumua Bungeni kama majembe ya chama, hawajasaidia kupatikana asilimia 90. Mambo ni shaghalabaghala. Mchafukoge!
Kambi za Urais na Escrow zinatajwa kama sababu kuu. Ziara za Katibu Mkuu wa chama nazo zinapondwa kwa kukosa matunda ya maana. Hakuna pa kushika,hakuna wa kumtupia lawama za moja kwa moja. Lakini,wakuu wanamtafuta wa kumwangushia 'jumba bovu'.Mchawi wa matokeo haya.
Kwani ni dhambi wapinzani kushinda vijijini na kwenye ngome za CCM?
Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
Unafiki tu...
Nakubaliana na wewe dada. Wametulisha sana ugoro wao. Kuna siku tutaheshimiana. Tusubiri matokeo kamili