CCM kwachafuka,mchawi anatafutwa

CCM kwachafuka,mchawi anatafutwa

Hapa ukawa wanajifariji tu na ukweli wanashindwa kuusema, ngoja takwimu zitoke uone watakavyoingia mitini.

CCM imechukuwa tena ushindi wa kishindo Tanzania nzima.
 
CCM hizi laana alianza kuzileta SAMWELI SITTA alipowatusi viongozi wa DINI...na hii laana ipo tu inafuta vivuli vyenu mpaks mtakapoanguka
 
hapa ukawa wanajifariji tu na ukweli wanashindwa kuusema, ngoja takwimu zitoke uone watakavyoingia mitini.

Ccm imechukuwa tena ushindi wa kishindo tanzania nzima.

umeamka mamitooo!!! Haya njoo nikunawishe uso afu nikuvalishe nape yako
 
Hapa ukawa wanajifariji tu na ukweli wanashindwa kuusema, ngoja takwimu zitoke uone watakavyoingia mitini.

CCM imechukuwa tena ushindi wa kishindo Tanzania nzima.

Naona umeamka na mning'inio wa kutosha... Katafute supu kwanza...
 
Hapa ukawa wanajifariji tu na ukweli wanashindwa kuusema, ngoja takwimu zitoke uone watakavyoingia mitini.

CCM imechukuwa tena ushindi wa kishindo Tanzania nzima.

Sikia wewe mama.

2009 ccm ilishinda 85% mwaka huu mkipata 70% pamoja na uhuni na mapingamizi yenu ya kijinga nakuja kukutolea mahari nione hata kama uajuza.
 
Unafiki tu...

Mkuu angalia, kama wanazistukia ziara za mhe. Kinena kwamba hazina matunda what about hiyo project ya B7? Nina wasiwasi sana hata nyie mtaguswa and hence mkawa jobless kama vijana wengine, za ukuu wa wilaya ndio hizo zimeisha buma, Shonza, Habib Mchange n.k, well anza kujenga mtandao huku, kwasasa ndio nimeelewa kwanini hata nyie mnajiita kwa majina ya bandia kama sisi!
 
Kwa haya mamb niliyo yashuhudia Kyela kwa CCM kupigwa kama mbwa mwizi nakuhakikishia mkuu HAKUNA KURA ZA MAONI za KATIBA MPYA April 2015~

Kuna kijana ana miaka 19 kashinda uenyekiti wa Kijiji Kyela anaitwa Timth Kimwaga,huyu kijana kila mkutan yy alikuwa anamshambulia Mwakyembe tu kwa kukana maandiko yake kuhusu serikali tatu wakati anachukua PhD yake!

Katiba mpya hii Kyela inayo husishwa na Chenge mla rushwa HAIWEZI pita Mbeya!!

Asante Malafyale! Tuko pamoja nchi nzima kuhakikisha CCM wanakuwa chama bora sana cha upinzani ndani ya miezi 11 kuanzia leo!!! Tunakihitaji sana CCM kuwa chama cha upinzani. kitatusaida sana kuleta maisha bora kwa kila mtanzania kikiwa kwenye upinzani. Tunairudisha nchi yetu kwetu!!!
 
Last edited by a moderator:
Unafiki tu...

Ha ha ha ha a hahahahahahahahahaha mayoooooooooo mweeeeeeeeeeeeeee Kalumbu!!! Hujambo lakini mkuu? Mbona sioni ukitupia angalao matokeo aneo moja tu!!! Salaaams kwa Lizaboni, Faizafoxy, Chama, Simiyu Yetu na Mamndenyi!!! Sorry Mandenyi kumbe ameshaokoka hayuko tena nanyi, Amerudu kundini na jana alitumia demokrasia kumchagua aliyemtaka bila kufungamana na chama cha siasa!!! Safi dada na shemeji Mandenyi.
 
Hapa ukawa wanajifariji tu na ukweli wanashindwa kuusema, ngoja takwimu zitoke uone watakavyoingia mitini.

CCM imechukuwa tena ushindi wa kishindo Tanzania nzima.

Hongera Umefanya ugunduzi .. wa kishindo. In fact you're genius .. isn't. ?

TUNAOGELEA CCM KABLA YA UCHAGUZI NA BAADA YA UCHAGUZI .. ! Get It!!
 
Hapa ukawa wanajifariji tu na ukweli wanashindwa kuusema, ngoja takwimu zitoke uone watakavyoingia mitini.

CCM imechukuwa tena ushindi wa kishindo Tanzania nzima.
Last year 2009 CCM ilishinda uchaguzi huu kwa asilimia 96, this time tunataka kuona mmeongeza asilimia ngapi, uje kwa data sio kuhororoja kwa maneno ya mitaani.
 
hapa ukawa wanajifariji tu na ukweli wanashindwa kuusema, ngoja takwimu zitoke uone watakavyoingia mitini.

Ccm imechukuwa tena ushindi wa kishindo tanzania nzima.

haya nikuswaaalike swali...
Vipi kile kitabu chenu cha hadithi za katiba mpya bado mtaendelea kukipigia debeee?? Sioni tbc wakikionyesha tena. Ila wanaweka taarabu tu.

Baada ya hili gharika la serikali za mitaa kuwapitia. Sasa tunawasubiria hukoo kwenye timbwili la kupitisha hicho kitabu chenu cha hadithi za abuuun chenge/sita
 
Hivi huyu PM aka Tupa Tupa si alisema kuwa amehama CCM? Inakuwaje anaendelea kutoa habari za CCM? PM bana!
 
Last year 2009 CCM ilishinda uchaguzi huu kwa asilimia 96, this time tunataka kuona mmeongeza asilimia ngapi, uje kwa data sio kuhororoja kwa maneno ya mitaani.
Haijalishi tutashinda kwa asilimia ngapi ila ushindi ni ushindi tu
 
Tungesubiri matokeo yatangazwe yote kwanza wakuu.....binafsi nitafurahi ukawa wakishinda viti vingi ili mwakani mwezi may kusiwe na mizengwe kupitisha mgombea ndani ya CCM
 
Hapa ukawa wanajifariji tu na ukweli wanashindwa kuusema, ngoja takwimu zitoke uone watakavyoingia mitini.

CCM imechukuwa tena ushindi wa kishindo Tanzania nzima.
Mkuu upo!!!! Tulia dawa iingie taratibu daktari asije akaweka katika flesh badala ya vain. Inaitwa intravenous fluid hiyo inauma balaa. Pole.
 
Hapa ukawa wanajifariji tu na ukweli wanashindwa kuusema, ngoja takwimu zitoke uone watakavyoingia mitini.

CCM imechukuwa tena ushindi wa kishindo Tanzania nzima.

hapo ndipo ninapokukubali mheshimiwa Asumpta
 
Hapa ukawa wanajifariji tu na ukweli wanashindwa kuusema, ngoja takwimu zitoke uone watakavyoingia mitini.

CCM imechukuwa tena ushindi wa kishindo Tanzania nzima.
Nakubaliana na wewe dada. Wametulisha sana ugoro wao. Kuna siku tutaheshimiana. Tusubiri matokeo kamili
 
Ulitegemea kura zitapatikane wapi kwa mbinu kama hizi zilizopitwa na wakati.

th
Hii imeongeza kura,lakini ile ya kun'goa meno ya wanyama pori
imepunguza kura zaidi.
 
Back
Top Bottom