Entim
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 4,024
- 2,271
Matokeo yatatolewa lini?
Hadi wachakachue
Matokeo yatatolewa lini?
Ulimtuma nani akutafutie matokeo ya CCM waliposhinda,Hawana jipya hao, ukitazama nyuzi zao walizoleta humu wanazotangaza ushindi utacheka, wanashangaza kwanini hawaoneshi waliposhindwa?
Hapo sasa.
Ulitegemea kura zitapatikane wapi kwa mbinu kama hizi zilizopitwa na wakati.
![]()
Leo hapa Lumumba hakukaliki.Hakusemeki jema. Hasira zimetanda. Nyaraka kalikali zinapita kutoka huku kwenda kule. Ofisi zetu hapa leo zinakuwa chungu.Kisa,UKAWA kushinda vijijini na kwenye ngome za CCM kama Monduli. Makada wanalaumiana,vikao visivyoisha.Lakini,ni vikao kwa kukalishwa na si kukaa.Kukalishwa na kusimangwa. Kukemewa. Kushambuliwa.
Inasemwa hapa kuwa lengo la CCM halijatimia.Iitakiwa CCM ishinde kwa asilimia 90. Hadi sasa,hali ni tete.Mikoa yetu tuliyokuwa tunaitegemea imetuangusha. Majimbo yetu yaliyokuwa imara,yamesambaratika. Wabunge wetu wanaojitutumua Bungeni kama majembe ya chama, hawajasaidia kupatikana asilimia 90. Mambo ni shaghalabaghala. Mchafukoge!
Kambi za Urais na Escrow zinatajwa kama sababu kuu. Ziara za Katibu Mkuu wa chama nazo zinapondwa kwa kukosa matunda ya maana. Hakuna pa kushika,hakuna wa kumtupia lawama za moja kwa moja. Lakini,wakuu wanamtafuta wa kumwangushia 'jumba bovu'.Mchawi wa matokeo haya.
Kwani ni dhambi wapinzani kushinda vijijini na kwenye ngome za CCM?
Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam

leo hapa lumumba hakukaliki.hakusemeki jema. Hasira zimetanda. Nyaraka kalikali zinapita kutoka huku kwenda kule. Ofisi zetu hapa leo zinakuwa chungu.kisa,ukawa kushinda vijijini na kwenye ngome za ccm kama monduli. Makada wanalaumiana,vikao visivyoisha.lakini,ni vikao kwa kukalishwa na si kukaa.kukalishwa na kusimangwa. Kukemewa. Kushambuliwa.
Inasemwa hapa kuwa lengo la ccm halijatimia.iitakiwa ccm ishinde kwa asilimia 90. Hadi sasa,hali ni tete.mikoa yetu tuliyokuwa tunaitegemea imetuangusha. Majimbo yetu yaliyokuwa imara,yamesambaratika. Wabunge wetu wanaojitutumua bungeni kama majembe ya chama, hawajasaidia kupatikana asilimia 90. Mambo ni shaghalabaghala. Mchafukoge!
Kambi za urais na escrow zinatajwa kama sababu kuu. Ziara za katibu mkuu wa chama nazo zinapondwa kwa kukosa matunda ya maana. Hakuna pa kushika,hakuna wa kumtupia lawama za moja kwa moja. Lakini,wakuu wanamtafuta wa kumwangushia 'jumba bovu'.mchawi wa matokeo haya.
Kwani ni dhambi wapinzani kushinda vijijini na kwenye ngome za ccm?
Mzee tupatupa wa lumumba, dar es salaam
Hahaha MSALANI naona hali mbaya leo... Zile 7000 haziingii leo... Ndiyo siasa hiyo. Wananchi wameamka nchi inayeya hiyo...
Una Wazimu!
Unafiki tu...
Haya ndio maneno yaliyobaki mdomoni mwako, pole sana tena mshukuru mbinu mliotumia ya uandikishaji wa siri na mapingamizi ya hovyo
wapi bibi yako FaizaFoxy aje akusaidie
Kamata na hiyo....Salaam zako nimezipata, tupo hapa twangoja matokeo rasmi, burdaaan wa sharaba, wala hatuna wasi, tunawaona mnavyohaha kwa kudanganyana.
Viwanda vya uongo kazini.
By Kimetah![]()
Singida Mashariki, matokeo ni kama ifuatavyo,
Jimbo lina vijiji 50, Uchaguzi umefanyika katika vijiji 43, kwa sababu vijiji 7 uchaguzi umesimamishwa kwa amri ya mahakama, baada ya Lissu kuigaragaza serikali na hila za kuwawekea pingamizi wagombea wote wa Chadema, Katika vijiji 43 ambapo uchaguzi umefanyika Chadema wameshinda vijiji 40, CCM 2, na CUF 1. Katika vijiji 2 walivyoshinda CCM kupata nafasi ya mwenyekiti, wajumbe wa serikali za mitaa wote wanatoka CHADEMA,
Sisi tunangoja matokeo ya nchi nzima halafu tuwaone mtaingilia wapi.
Wala wasi hatuna tunawasoma viwanda vya uongo mkiwa kazini baada ya malipo ya viroba.
Ni yae yale kama Kalenga kama Chalinze kama chopa tatu kata tatu, mlikuwa mkibwabwaja sana, matokeo rasmi yalipotoka, wote mkawa kimya. Na leo hakuna tofauti, wembe ni ule ule tu.
usipoangalia leo utajinyonga kwa urojo wa mlendaUnafiki tu...