Elections 2010 CCM kuunguruma Jangwani kesho Jumamosi

Mahesabu

JF-Expert Member
Jan 27, 2008
5,972
3,830
:juggle: KAMPENI KUANZA KESHO KTK VIWANJA VYA JANGWANI.....MAANDALIZI NI KABAMBE.....TUFIKE TUSIKIE SERA ZAO...KAMA NI PUMBA AMA MCHELE.....nadhani personaly ntakuwepo kusikiliza namna walivyojipanga kwa miaka 5 ijayo.....WE SHOULD NOT JUDGE A BOOK BY ITS COVER.....BALI TWENDE TUJIONEE WENYEWE....!
 
Tobaaaa!! Huna habari kuna fundi mmoja katabiri mwezi uliuopita.... Kifaulongo ataanguka tena........ puu!!!!
 
:juggle: KAMPENI KUANZA KESHO KTK VIWANJA VYA JANGWANI.....MAANDALIZI NI KABAMBE.....TUFIKE TUSIKIE SERA ZAO...KAMA NI PUMBA AMA MCHELE.....nadhani personaly ntakuwepo kusikiliza namna walivyojipanga kwa miaka 5 ijayo.....WE SHOULD NOT JUDGE A BOOK BY ITS COVER.....BALI TWENDE TUJIONEE WENYEWE....!

What are you broda talkin about?
We ni mgeni na utamu wa maneno ya CCM?
wHAT NEW THaNG DO YOU EXPECT TO GRASP FROM them?
Hujui watakayoongea kesho ni comedy waliyoiandaa kwa miezi kadhaa nyuma?
BTW, nenda bana, may be there will be free t-shirts thrown to blind the blinds!
 
:juggle: KAMPENI KUANZA KESHO KTK VIWANJA VYA JANGWANI.....MAANDALIZI NI KABAMBE.....TUFIKE TUSIKIE SERA ZAO...KAMA NI PUMBA AMA MCHELE.....nadhani personaly ntakuwepo kusikiliza namna walivyojipanga kwa miaka 5 ijayo.....WE SHOULD NOT JUDGE A BOOK BY ITS COVER.....BALI TWENDE TUJIONEE WENYEWE....!
hakuna jipya huko sera ni zilzile, chama ni kile kile, sare ni zile zile, bendera ni ile ile, watu ni wale wale.
labda kwenda kusiliza njama na mipango mipya ya uhujumu uchumi,.......lol!
 
:juggle: KAMPENI KUANZA KESHO KTK VIWANJA VYA JANGWANI.....MAANDALIZI NI KABAMBE.....TUFIKE TUSIKIE SERA ZAO...KAMA NI PUMBA AMA MCHELE.....nadhani personaly ntakuwepo kusikiliza namna walivyojipanga kwa miaka 5 ijayo.....WE SHOULD NOT JUDGE A BOOK BY ITS COVER.....BALI TWENDE TUJIONEE WENYEWE....!
Namna walivyojipanga kukaa benchi?
 
Mahesabu bwana!

Uje hapa jamvini baada ya huo mkusanyiko wenu jangwani utueleze kilichojiri, na kutuwekea picha mbili tatu.
 
:juggle: KAMPENI KUANZA KESHO KTK VIWANJA VYA JANGWANI.....MAANDALIZI NI KABAMBE.....TUFIKE TUSIKIE SERA ZAO...KAMA NI PUMBA AMA MCHELE.....nadhani personaly ntakuwepo kusikiliza namna walivyojipanga kwa miaka 5 ijayo.....WE SHOULD NOT JUDGE A BOOK BY ITS COVER.....BALI TWENDE TUJIONEE WENYEWE....!
Kwanza hapo tu unaonesha kuwa wewe ni mwanachama,ambaye unajua kabisa kuwa maandalizi yakoje halafu unajidai ni independent ambaye unataka ukusanye watu wengine mkasikilize jinsi ccm walivyojipanga kwa miaka mitano ijayo.

Kama haitoshi unawapigia kampeni kuwa tusiwahukumu kwa kusikia maneno ya watu bali tuende kusikiliza wenyewe kwa masikio yetu.Labda nikuulize swali, ccm mlijipangaje 2005 na uchumi wetu mmeupeleka wapi?Kwa mtu ambaye ni timamu na ambaye ni independent kwa chama chochote hawezi hata kupoteza muda kwenda kusikiliza sera za ccm,maana kusema ni jambo jingine na kutenda ni jambo jingine pia.

Mlisha sema sana watu wakaawaamini,lakini matendo hayakuaonekana.
 
Mahesabu tayari mmeshashindwa. Lichama lenu lina makundi sasa eti nasikia kelele majukwaani kuwa yavunjwe. Nani aliwaambia makundi uvunjwa majukwaani?

CCM-chadema.jpg
 
kila mtu ana haki ya kusema...cha kuzingatia havunji sheria.....kwa ushauri wenu ...HII KURA YANGU MOJA.....NIMPIGIE NANI?Nitajaribu kuzingatia ushauri wenu kwa hoja zenye nguvu
 
Yaani CCM inaweza kusema "kama mkitupa miaka mingine 5 tutajenga uchumi"? Wameshakuwa na miaka 50 bila kuweza, sasa miaka mingine 5 ya nini?

CCM haiwezi kuwa na hoja wakati huu. Lazima itakuwa on the defence ALL the time. CHADEMA should soon take the fight to them. CCM owes us a lot of explanation.
 
Kusikiliza nini kwenye huo mkutano maana ya uchumi kukuwa huku bei za bidhaa juu?

au kwa nini wezi wanaaiba bilioni naombwa warudishe huku wanaoiba kuku wanfungwa?

au kwa nini wengine uraia unahojiwa na wengine tena wanaingia bungeni wanaachwa bila kuhohiwa wakati mashaka yaleyale ?

au kusikiliza anavyosema hajaoa mke mwingine?

au kusikiliza anavyosema mwanae hausiki na anguko la Bashe?

Ama kusikiliza walivyotimiza ahadi alizo ahidi 2005,ambazo wote tunaona ametimizaje?

Au kusikiliza bilion wamezipataje za kampeni?na watafikiaje lengo la bilioni 50?

Mkwere anakazi kweli kweli na nyie vibaraka kazi mnayo pia wapeni watu tshirt pikeni pilau ,muwasombe kwenye malori na kuwapeleaka jangwani ahaaaaaaaaaaaaaaaaaa chama cha mafisadi bwana .
 
Hawa watu sijui hawana hata aibu wanataka kuwaambia watu jinsi wanavyokumbatia ufisadi, lakini acha wao waanze Chadema itamaliza.
 
Issue sio kunguruma jangwani issue ni kuanika yale waliofanya na walioshindwa katika miaka 5,wananchi kazi yetu ni audit (kukagua taarifa zao) na kutoa alama za ndio na hapana.
 
haya MAHESABU tupe updates za mkutano

mmeshaanza huo mkutano???
 
Back
Top Bottom