CCM kumenoga, Nabii Tito ndani ya sare ya Chama

Jackal

JF-Expert Member
Apr 10, 2012
9,539
12,654
Screenshot_2019-10-24-10-56-46.png
 
Hivi huyu baba ana wazazi...

Ana ndugu waliozaliwa tumbo moja...

Ana watoto wa kuwazaa....

Waliompoteza Pierre mabia kwenye jamii, wampoteze na huyu, hatoi burudani yeyote bali ananakisi watu waone kufanya tabia kama yake si jambo baya....

Nilishaonana nae Mlimani City yaani hadi huruma anavyotembea utasema kawekewa vyuma huko nyuma khaaa....

Mungu aniepushie mbali.
 
Back
Top Bottom