CCM kumenoga, Nabii Tito ndani ya sare ya Chama

ila chechemee mnazingua mnunulieni basi nabii tito hata shati la chechemee, chekini sasa anaenda shonea maandishi kama tulivokuwa tunaandika majina kwenye nguo zetu enzi za boarding
 
Kuna mahojiano fulani anasema alikuwa anaishi kinondoni enzi hizo alikuwa anabandua na yeye anabanduliwa vile vile kwa sababu eti ana sura nzuri aliyorithi kwa mama yake
 
Mi huwa najiuliza hela huwa anatoa wapi manake hana kazi maalum. Aafu hapo governers nasikia iyo bar ina mademu wazuri hatari
 
Kwa hio mguo aliyovaa tu hapo juu anaweza sasa akamuamrisha kamanda Mroto na akatii bila shida.
 
Back
Top Bottom