CCM kumchukulia hatua za kinidhamu mbunge Catherine Magige na wenzie kwa kuvamia msiba na kukosa utu

Nashangaa munavyomtetea huyo malaya wakati hamumjui vyema
Kwenye sakata hili tuna pande mbili za shilling, Me na Ke. Kwa vyovyote vile hatuwezi kuwa na maoni sawa. Ila kama Magige alichepuka; hilo ni suala lingine. Tulidhani magige alikuwa beneti na marehemu na hakuwa mchepukaji, kama likuwa mchepukaji, basi hakustahili hata kuweka lile shada alishajitoa ulingoni
 
Hebu twende taratibu. Mimi sihalalishi kitendo cha Catherine lakini naomba tuongee uhalisia.
Marehemu akitengana na mkewe tangu 2019 na kuhamia Dodoma kwa Mbunge ambako paractically waliishi kama mke na mume japo hakuna ndoa. Walikula pamoja, wakanywa pamoja wakaoga na kisha kulala uchi pamoja wakifanya tendo rasmi. Jamii iliyowazunguka ikaamini hawa ni mke na mume.
Ninachojiuliza, ungekuwa wewe ungeacha kwenda mazikoni?
Binafsi ninachomlaumu Cathy ni kitendo cha kutokuwa mtulivu maana aliopfika msibani na kuona ukoo wa mume uko parallel naye angetulia na kushiriki kimya kimya na kuondoka. Lakini kama ukoo ulifunga geti sababu ya Cathy tu, walitaka kitokee nini?

Narudia tena,hata wangeishi miaka 10 pamoja,bado huyu ni Hawara tu,hakuna jamii yoyote iliyokuwa inaamini kuwa huyu ni mke na yeye mwenyewe Cathe alijua fika kuwa bado ni kimada,ndiyo maana pana clip moja ya siku ya Birtday yake anamuomba rasmi Mwanaume amuoe.

Catherine ni Mbunge ana heshima yake ktk jamii,kulikuwa na haja gani ya kwenda kwenye msiba ambao tayari ukishakuwa na taharuki kubwa sana tangu mwanzo wa msiba? Alishindwa nini kutumia busara ya kutulia kwake akaomboleza kimya kimya na kupisha wenye familia wazike bila drama? Kumbuka hakupata nafasi ya kumuona Marehemu tangu amefariki mpaka amefukiwa,kama hatua zote hizo hakuweza kuwepo why aje alete drama kwenye hatua ya mwisho kabisa ya process ya mazishi? Kama kweli alitaka si angeenda sasa wakati wanaaga mwili ili amuone? Mbona aliufyata kote huko. Yeye na wapambe wake kwaza ukiwaona walikuwa Wamelewa Chakari,wamejishushia hadhi sana,huwezi kulazimisha kwenda msibani kama Wafiwa hawataki uende,yeye alikuwa Kimada na hiyo ndiyo stahiki yake,kufungiwa geti. Ngoja afunguliwe kesi ya tresspass kwa property ya watu ndiyo atajua hajui.
 
Na ujue aliyemuoa huyu unayemsifu kaoa mke wa mtu. Single maza ni mke wa baba wa mtoto wa kwanza regardless what.

Hiyo utajuwa wewe but as long as yupo kwenye Ndoa halali hongera kwake. Kuwa single mother siyo death sentence kwamba maisha hayawezi endelea. Mama Anna Mkapa aliolewa na Mzee Mkapa akiwa Single Mother,hakuna cha ajabu.
 
Kwenye sakata hili tuna pande mbili za shilling, Me na Ke. Kwa vyovyote vile hatuwezi kuwa na maoni sawa. Ila kama Magige alichepuka; hilo ni suala lingine. Tulidhani magige alikuwa beneti na marehemu na hakuwa mchepukaji, kama likuwa mchepukaji, basi hakustahili hata kuweka lile shada alishajitoa ulingoni
yaan magige anajaza fuso kwa mabwana. Kwamba skendo zake hamzijui ama? Sindo kina kamata hao? Tena muwe makini watu wanatumia malukanga jamani. Mutaenda kupangwa madirishani kila mwezi shauri zenu. Nadhan hamuwajui vzr hawa makahaba. Watawamalizaaaa.
 
Chama cha Mapinduzi (CCM) kimechukizwa na kulaani kitendo kilichofanywa na baadhi ya viongozi wa umoja wa wanawake wa chama hicho Mkoa wa Arusha wakiongozwa na mbunge wa viti maalum, Catherine Magige.

Mbunge huyo jana Alhamisi Mei 27, 2021 alikwenda makaburini yalikokuwa yakifanyika mazishi ya mfanyabiashara Kuzula Madoda inayedaiwa kuwa ni mchumba wake. Madoda alifariki dunia Mei 24, 2021 na ameacha mke, Aziza Msuya na watoto.

Kitendo cha Catherine kwenda makaburini kiliibua hali ya sintofahamu kutokana na watu waliokuwa naye kuvunja geti na kuingia katika makaburi hayo ya familia.

Taarifa ya chama hicho iliyotolewa na katibu wa itikadi na uenezi, Shaka Hamdu Shaka leo Ijumaa Mei 28,2021 inaeleza kuwa CCM inaheshimu katika kujenga uimara wa familia, kuheshimiana ndani ya jamii na kuendeleza upendo katika familia halali badala ya mivutano na uvurugaji usiokuwa na sababu.

"Chama kinatafakari kwa undani kwa mujibu wa kanuni za maadili na katiba ya CCM na kuchunguza kwa kina ili kuchukua hatua za kimaadili kwa wote watakaothibitika kuwa sehemu ya matukio yaliyojenga kukiuka kwa katiba, kanuni na utamaduni wa kuheshimu na kuheshimiana uliojengeka ndani ya CCM," inaeleza taarifa hiyo.

PIA, SOMA=> Pole Catherine Magige, hii iwe fundisho kwa wadada maarufu nchini

=====

Chama cha Mapinduzi (CCM) kimechukizwa na kulaani kitendo kilichofanywa na baadhi ya viongozi wa UWT Mkoa wa Arusha wakiongozwa na Mbunge wa Viti Maalum Catherine Magige.

CCM inaamini katika kujenga uimara wa familia, kuheshimiana ndani ya jamii na kuendeleza upendo katika familia halali, badala ya mivutano na uvurugaji usiokuwa na sababu.

Chama kinatafakari kwa undani kwa mujibu wa kanuni za maadili na Katiba ya CCM, na kuchunguza kwa kina ili kuchukua hatua za kimaadili kwa wote watakaothibitika kuwa sehemu ya matukio yaliyojenga kukiuka kwa katiba, kanuni na utamaduni wa kuheshimu na kuheshimiana uliojengeka ndani ya CCM.

Shaka Hamdu Shaka
Katibu wa Halmshauri Kuu ya Taifa Itikadi na Uenezi
28 Mei 2021
NITASHANGAA AKIENDELEA KUWA MWANACHAMA.WA CCM
MDA MUAFAKA KUSAFICHA UOZOOO
 
Ndugu Shaka.Acha kuchanganya mambo binafsi ya MTU na chama.Umekosea sana.Na pia umekulupuka sana

Inabidi na Naibu Spika nae achukuliwe hatua kwani nasikia yeye alikuwa anaongoza kikundi cha kukusanya michango bungeni
 
Wakati mwingine mnasikitisha. Kwani Catherine kuwa na hati yenye jina la marehemu kutamsaidia nini? Hati iliyo kwa jina la marehemu kwake ni kama karatasi tu maana ni mali ya marehemu na itaingizwa kwenye mirathi yake ambako hana nafasi. Kazi ni kama marehemu aliibadilisha akamwandika Catherine. Hapo mtasumbuana. Ninacho washangaa ni kuwa sioni sababu ya nyinyi kuingia kwenye matope kushindana na Catherine. Mume wenu mmemzika basi mngeendelea na maisha. Kumtukana Catherine kwenye mitandao mnampa kiki ya bure na mwisho wa siku wote mtachafuka mbele ya jamii. Ni ushauri tu kutoka kwa mtu asiyewajua nyinyi wala Catherine.

Amandla....
kuandikwa kwenye wosia kitu gani, aliandikwa Jacqueline Ntuyabaliwe aliyekua akiaminisha hadi wajinga mitandaoni jui ya happy life yao na kujiita Mrs Mengi, ndio sembuse huyo Mh. mgawaji bureer
 
Chama cha Mapinduzi (CCM) kimechukizwa na kulaani kitendo kilichofanywa na baadhi ya viongozi wa umoja wa wanawake wa chama hicho Mkoa wa Arusha wakiongozwa na mbunge wa viti maalum, Catherine Magige.

Mbunge huyo jana Alhamisi Mei 27, 2021 alikwenda makaburini yalikokuwa yakifanyika mazishi ya mfanyabiashara Kuzula Madoda inayedaiwa kuwa ni mchumba wake. Madoda alifariki dunia Mei 24, 2021 na ameacha mke, Aziza Msuya na watoto.

Kitendo cha Catherine kwenda makaburini kiliibua hali ya sintofahamu kutokana na watu waliokuwa naye kuvunja geti na kuingia katika makaburi hayo ya familia.

Taarifa ya chama hicho iliyotolewa na katibu wa itikadi na uenezi, Shaka Hamdu Shaka leo Ijumaa Mei 28,2021 inaeleza kuwa CCM inaheshimu katika kujenga uimara wa familia, kuheshimiana ndani ya jamii na kuendeleza upendo katika familia halali badala ya mivutano na uvurugaji usiokuwa na sababu.

"Chama kinatafakari kwa undani kwa mujibu wa kanuni za maadili na katiba ya CCM na kuchunguza kwa kina ili kuchukua hatua za kimaadili kwa wote watakaothibitika kuwa sehemu ya matukio yaliyojenga kukiuka kwa katiba, kanuni na utamaduni wa kuheshimu na kuheshimiana uliojengeka ndani ya CCM," inaeleza taarifa hiyo.

PIA, SOMA=> Pole Catherine Magige, hii iwe fundisho kwa wadada maarufu nchini

=====

Chama cha Mapinduzi (CCM) kimechukizwa na kulaani kitendo kilichofanywa na baadhi ya viongozi wa UWT Mkoa wa Arusha wakiongozwa na Mbunge wa Viti Maalum Catherine Magige.

CCM inaamini katika kujenga uimara wa familia, kuheshimiana ndani ya jamii na kuendeleza upendo katika familia halali, badala ya mivutano na uvurugaji usiokuwa na sababu.

Chama kinatafakari kwa undani kwa mujibu wa kanuni za maadili na Katiba ya CCM, na kuchunguza kwa kina ili kuchukua hatua za kimaadili kwa wote watakaothibitika kuwa sehemu ya matukio yaliyojenga kukiuka kwa katiba, kanuni na utamaduni wa kuheshimu na kuheshimiana uliojengeka ndani ya CCM.

Shaka Hamdu Shaka
Katibu wa Halmshauri Kuu ya Taifa Itikadi na Uenezi
28 Mei 2021
Hawana ubavu huo,hilo chama limejaa wauza papa tupu hakuna mwenye kujiheshimu...angalia msafara wake wa juzi kajaza uwt arusha,magige muuza utumbo mzoefu tofaiti yke anauzia bungeni
 
Kama alihama akiwa na akili timamu Magige kosa lake nini?
Dawa ya wanawake viburi kama huyo mnayemtaja ni MATALA tu. Halafu kulia lia kinafiki si waume tukifa tutakuja kukuonana wabaya ipo siku atafufuka mtu ooooh

Magige ana Haki kuonyesha hisia zake. 2 yrs in a single bed naked mnaliona dogo.

Ngoja dawa ni kuandika mirathi hata kwa micheuko na kuirithisha tu tena naiweka kisheria zaidi
Hajaishi nae 2years. Na magige anajua kabisa yeye sio mke na ndo maana Kuna video anaonekana anaomba Mungu awe official Mrs madodo. Msijitoe ufahamu. Tena mkumbuke Aziza alishinda kuravza maoni viti maalum. Catherine akakasirika Sana, baadae jina la Aziza halikurud na la Catherine ndo likarud. Akaona adhabu amnyang'anye mwenzie mume.... YAni kachukua ubunge na mume
 
Back
Top Bottom