CCM kumchukulia hatua za kinidhamu mbunge Catherine Magige na wenzie kwa kuvamia msiba na kukosa utu

Tumeshatangaziwa kwamba CCM itakuita na kukuhoji kwa nini umevamia msiba.

Usijihangaishe na majibu marefu wakikuletea barua ya kujieleza.

Jibu ni fupi sana.

Wajibu kwamba tangu umezaliwa hujawahi kuvamia msiba usiokuhusu.

Sasa kama wao wanaujua msiba usiokuhusu na ukauvamia wakitajie na walete ushahidi.

Kesi itaishia hapo

Akiusikiliza na Kuufuata huu Ushauri wako atakuwa ni Mmoja wa Mbunge Mpumbavu kuwahi kutokea katika Historia ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
 
Kwenu publicity matter a lot lakini kwa Me, kitanda ndicho mwisho wa lami. Ulishasikia msemo kuwa ‘mwanaume roho yake hailali anapolaza kiwiliwili chake bali hulala inapolala k anayoipenda sana’ . Hivyo tulivyo tofauti kimaumbile hata kimtizamo. Mchepuko unaonipenda kwa dhati ni wa maana kuliko mwanamke wangu wa ndoa ya kikatoliki asiyenithamini.
 
... why not? Msiba hauna kadi.
Ndio mkuu msiba hauna kadi......lakini kwa mazingira yaliyopo kwenye msiba huu ni dhahiri kuwa uwepo wa Magige kwenye huo msiba ni kutafuta shari.......

Wewe unaweza kuhudhuria msiba wa mwanaume mwenzako ambaye umekuwa ukitembea na mkewe huku akiwa anajua......??
 
Chama cha Mapinduzi (CCM) kimechukizwa na kulaani kitendo kilichofanywa na baadhi ya viongozi wa umoja wa wanawake wa chama hicho Mkoa wa Arusha wakiongozwa na mbunge wa viti maalum, Catherine Magige.

Mbunge huyo jana Alhamisi Mei 27, 2021 alikwenda makaburini yalikokuwa yakifanyika mazishi ya mfanyabiashara Kuzula Madoda inayedaiwa kuwa ni mchumba wake. Madoda alifariki dunia Mei 24, 2021 na ameacha mke, Aziza Msuya na watoto.

Kitendo cha Catherine kwenda makaburini kiliibua hali ya sintofahamu kutokana na watu waliokuwa naye kuvunja geti na kuingia katika makaburi hayo ya familia.

Taarifa ya chama hicho iliyotolewa na katibu wa itikadi na uenezi, Shaka Hamdu Shaka leo Ijumaa Mei 28,2021 inaeleza kuwa CCM inaheshimu katika kujenga uimara wa familia, kuheshimiana ndani ya jamii na kuendeleza upendo katika familia halali badala ya mivutano na uvurugaji usiokuwa na sababu.

"Chama kinatafakari kwa undani kwa mujibu wa kanuni za maadili na katiba ya CCM na kuchunguza kwa kina ili kuchukua hatua za kimaadili kwa wote watakaothibitika kuwa sehemu ya matukio yaliyojenga kukiuka kwa katiba, kanuni na utamaduni wa kuheshimu na kuheshimiana uliojengeka ndani ya CCM," inaeleza taarifa hiyo.

PIA, SOMA=> Pole Catherine Magige, hii iwe fundisho kwa wadada maarufu nchini

=====

Chama cha Mapinduzi (CCM) kimechukizwa na kulaani kitendo kilichofanywa na baadhi ya viongozi wa UWT Mkoa wa Arusha wakiongozwa na Mbunge wa Viti Maalum Catherine Magige.

CCM inaamini katika kujenga uimara wa familia, kuheshimiana ndani ya jamii na kuendeleza upendo katika familia halali, badala ya mivutano na uvurugaji usiokuwa na sababu.

Chama kinatafakari kwa undani kwa mujibu wa kanuni za maadili na Katiba ya CCM, na kuchunguza kwa kina ili kuchukua hatua za kimaadili kwa wote watakaothibitika kuwa sehemu ya matukio yaliyojenga kukiuka kwa katiba, kanuni na utamaduni wa kuheshimu na kuheshimiana uliojengeka ndani ya CCM.

Shaka Hamdu Shaka
Katibu wa Halmshauri Kuu ya Taifa Itikadi na Uenezi
28 Mei 2021
Kama akina Mh. Catherine Magige walikwenda mazishini "KAMA CCM" basi nami naunga mkono wachukuliwe hatua kali na CCM. Lakini kama alikwenda "KAMA MCHUMBA ALIYECHANGANYIKIWA" basi naomba apewe ushauri nasaha na watu wenye uweledi na mambo hayo kama Dr. Chris Mauki na Mch. Mugogo!!!
 
Ndio mkuu msiba hauna kadi......lakini kwa mazingira yaliyopo kwenye msiba huu ni dhahiri kuwa uwepo wa Magige kwenye huo msiba ni kutafuta shari.......

Wewe unaweza kuhudhuria msiba wa mwanaume mwenzako ambaye umekuwa ukitembea na mkewe huku akiwa anajua......??
... naweza Mkuu; si anakuwa amekufa tayari?
 
Serikali nijuavyo ina ukubali "mfumo zinaa" maana mahawara wakikiwa pamoja miezi kadhaa (sina uhakika )wanaheesabika ni wake wa ndoa Kiserikali.

Kama ndio hivyo, kwanini na yeye si mke Kiserikali? CCM si ndio yenye dhamana ya kuendesha serikali, sasa mnapatwa mchechetu wa nini akinsa Shaka?


Kubalini tu matokeo au ufuteni mfumo zinaa uliopo nchini.
Ww mama upo?
 
Kilchompata Catherine kinaweza mpata mwanamke yeyote yule, hata Mimi nilianzisha mahusiano na mwanaume aliniambia Hana mke walishaachana. Na akawa haishi nae. Nikiwa na mimba ya miezi Saba mke alikuja kwangu na vyeti vya ndoa,,, mke ni mkatoliki, mume mkatoliki na Mimi mkatoliki.
Haraka Sana nilivunja hayo mahusiano simply because
1. nilijua kwa Sheria ya dini yetu ni ngumu Mimi KUISHI kwa amani.
2. Nilifikiria mistakabal wa watoto na familia ya yule baba.
3. Niliona ujinga Mimi KUISHI na mwanaume ambae ndoa yake Bado haijavunjika na mkewe Bado anampenda, na nliwaza mbali hivi akifa ntakua mgeni wa Nani mimi??? Mpaka Leo yule mwanamke tunaheshimiana na anamtambua mwanangu na wanae wananiheshimu na nilimpata mwanaume wangu ambae sio mume wa MTU na maisha yanasonga.

Sasa najiuliza kama Mimi raiya wa kawaida niliweza kufanya hivi, mbunge kwanini alishindwa kujitambua??? Na mbaya zaidi yeye ni mbunge wa Wanawake,,, yeye analo JUKUMU la KUTETEA WANAWAKE na maslahi yao,,, sasa amefanya nini??? Na sio kwamba hajijui, Kuna video inasambaa anaomba Mungu ili awe official Mrs madodo, anakua kabisa yeye sio official wife, why alete taharuki misibani??
Kibaya zaidi kinachonikera Mimi ni wale viongozi wa Wanawake wakiongozwa na mwenyekiti walishindwa kutumia busara na hekima na kufanya mambo kistaarabu?? Je waliwawaza wale watoto wadogo wa marehemu pale msibani??? JASMIN BACHU TOKA HADHARAN UTUTAKE RADHI WANAWAKE WA ARUSHA.
Vipi KUHUSU ile ibada??? Kwa nini hawakuheshimu?? Na mbunge kama anampenda marehemu na alitaka azikwe kwa heshima anafahami SHERIA za kanisa katoliki?? Hawaziki MTU MWENYE mitala, YAni they are very strict kwenye hili, sasa anajuaje waliogopa kumshirikisha Ili marehem azikwe kwa heshima???
Kamwe usiskilize blabla za mwanaume eti oo nimeachana na mke wangu kisa malaya na WEWE unashkilia Hicho unajiaminisha kwamba HUYU wangu.
CATHERINE NI MBUNGE MTUNGA SHERIA, WAKATI MWINGINE ANAWAJIBIKA KUSIMAMIA SHERIA. KUISHI NA MUME WA MTU TENA MWENYE NDOA YA KIKATOLIKI AMBAYO HAIVUNJIKA HAKUKUFANYI UWE MKE KAMILI NA UWE NA HAKI YA KUMZIKA MUME AKIFA.
Aweee i love u sister sister
You are blessed. Mimi niko kimawazo kama wewe. Naogopa sana kumuumiza mwanamke mwenzangu hasa kuingilia mji wake. Na hasa sheria za ndoa. Huu msalaba ni mzito sana kuubeba. Kamwe huwezi kuwa na amani. Hongera sana na ubarikiwe sana sana sana.
 
Kama hujui unachokiandika muwe mnakaa Kimya
Catherine Ruge na Catherine Magige ni watu wawili tofauti.
Catherine Ruge ni katibu mkuu BAVICHA

Catherine Magige ni mbunge viti maalum CCM-Arusha, among the most prostitute in Arusha.
yani ana mlolongo wa wanaume huyo mkerewe tukutaja humu mtakimbiana.
 
Ningeweza kulike hii hata mara 10.Comment of the Day
Kweli kabisa Mkuu. Tatizo kubwa ninalo liona ni kuwa wanawake wengi wa mjini hawataki kutengeneza wanaume zao wanao watakao wawe. Wao Wana taka mwanaume 'ready made and successfull'. Wengi wa type hiyo kiukweli they are already taken. Hapa ndiyo shida inaanzia. Hawataki mwanaume wa kuanza naye from the scratch.
 
Serikali nijuavyo ina ukubali "mfumo zinaa" maana mahawara wakikiwa pamoja miezi kadhaa (sina uhakika )wanaheesabika ni wake wa ndoa Kiserikali.

Kama ndio hivyo, kwanini na yeye si mke Kiserikali? CCM si ndio yenye dhamana ya kuendesha serikali, sasa mnapatwa mchechetu wa nini akinsa Shaka?


Kubalini tu matokeo au ufuteni mfumo zinaa uliopo nchini.

Kutoka JF 2012

Wasifu wa ndani Mh. Catherine Magige na nia yake ya 2015​


Inasemekana hata hili jina analotumia sio lake....
Alinunua cheti cha Form IV kwa mwenye jina hilo ambaye ana udugu naye, yeye hakumaliza baada ya kutundikwa mimba na wajanja akiwa shuleni!
Inasemekana alipata chance hiyo kutokana na kuwa mke mdogo wa Waziri!
Kwa hiyo mhe. Waziri alimua kwenda bungeni akiwa na mke mdogo, akafanya mpango akafanikiwa.

 
Back
Top Bottom