CCM kumchukulia hatua za kinidhamu mbunge Catherine Magige na wenzie kwa kuvamia msiba na kukosa utu

unaona WATU ni hamnazooo. YAni Mimi ningekua nyinyi ningetulia kabisa nijitafakari. Hivi mnavyoleta hoja mfu zisizo na mashiko ndo mnachokoza WATU waanze kuwafukulia mambo ambayo yashaanza kutulia. Tulieni
MNAKIMBIA HOJA. NA NI KWA SABABU HAMNA HOJA KATIKA HILI LA CATHERINE. NA KWA UHAKIKA NI KWAMBA NYIE NDIO HAMNAZO!
 
Daaaa siasa gani za Arusha?? Hiyo Catherine kwani ni mbunge wa jimbo??? Tulieni, mnaanza kuamsha maswala ambayo yashaanza kutulia
TUNAPOSEMA HAMNAZO TUNAMAANISHA MNAFIKRIA KWENYE ENEO DOGO SANA, KWA KUWA HUNA UELEWA BADO HUONI KAMA CATHERINE YUKO KATIKATI YA SIASA ZA CCM ZA ARUSHA. KAMA MAMBO MADOGO KAMA HAYA HUJUI BASI HAITASHANGAZA KUENDELEA KUMKASHFU CATHERINE WAKATI HUNA HOJA ZA KUMKASHIFU!
 
Back
Top Bottom