Nduka
JF-Expert Member
- Dec 3, 2008
- 8,552
- 2,360
Lets unite kwa mitego, mawe na pinde tuuwe joka hili linakuwa kwa kutoa magamba.
Rev Fr Masanilo
Toaga basi na mbadala wajameni
Lets unite kwa mitego, mawe na pinde tuuwe joka hili linakuwa kwa kutoa magamba.
Rev Fr Masanilo
Wakati mwingine nyoka hutoa gamba kama ameumia ama kama kuna vilemea vinavyoweza mletea magonjwa (Parasites), basi nyoka hutoa gamba hilo. Kitendo cha kujivua gamba wakati mwingine huwa si kirahisi, Nyoka hulazimisha kujisugua kwenye mawe ama sehemu nyingine ngumu, na kama gamba likibakia kwenye macho basi nyoka huyo huwa kipofu kwa muda hadi gamba lile la kwenye macho (eye cap) litoke. Lakini Nyoka anavyozidi kukuwa sumu huwa inaongezeka ukali. Kujivua magamba hakuna uhusiano na ukali wa sumu. Sumu hubaki ile ile kama nyoka atapendeza kuwa na ngozi mwororo na kuongezeka hubakia na sumu ile ile.
Rev Fr Masanilo
Hujui kwamba sheria zetu hapa africa zina makengeza na matege? Be warned!
Mchungaji Masanilo nimeipenda analysis yako. ila nina swali moja "CCM waliongelea magamba sawa? Mbona hawajawahi kuzungumzia SUMU? na hapo kwenye wekundu umeeleza vizuri kuhusu gamba lakini kwa makusudi unaendelea kufocus analysis yako kwenye sumu. gamba na sumu wapi na wapi? kuna uhusiano wowote kati ya gamba la nyoka na sumu yake kama unayoongelea?
naona kama problem statement, objectives, methodology na conclusion hazifanani hahahahahhahahha
- Wamtaka atangaze mali zake, wadai naye ni fisadi
"Ingawa kwa juujuu anajifanya kupambana na ufisadi, Nape hana uwezo wala uadilifu wa kukemea mafisadi kwa sababu hata Rais Kikwete anayemtetea ametajwa kwenye orodha ya mafisadi kule Mwembeyanga. "…Ningependa kumuuliza Nape katika orodha ya mafisadi 16 waliotajwa na Dk. Slaa, yeye anamtetea fisadi yupi? Anajua kwamba hata Rais Kikwete alitajwa? Ni lini Nape amepewa ajira ya kutetea udhaifu binafsi wa Rais na familia yake?" alihoji Heche kupitia taarifa hiyo.
Tanzania Daima
ukienda kwenye you tube vhdeo utamuona mdudu triop wa kwenye majaruba ya mpunga akipitia hiyo hatua! Ila madhani ni lugha ya picha ambayo ccm kufikisha ujumbe wa walichodhamiria. Ni mapema kuwahukumu! Mengi ya yaliyotokea zamani kama azimio la Arusha, tujisahihisha. Tathmini ya miaka kumi ya azimio. Kuwaengua Malima. Jumbe na Maalim Seif na chama kushika hatamu yote yalikuwa kujivua gamba: ecdysis haitokei mara moja ni mchakato wa makuzi
Huyu ndiye Lipumba niliyemjua mimi miaka ya nyuma..Sijui kilimwingia kitu gani hivi majuzi akapoteza hata mwelekeo.
Kumbuka ukijivua gamba unavaa lingine wakati huohuo.
- wamtaka atangaze mali zake, wadai naye ni fisadi
[
baadhi ya viongozi na makada wa ccm na vyama vya upinzani wamedai jitihada za rais kikwete kushambulia na kuadhiri wanasiasa wenzake kwa kumtumia katibu wa itikadi na uenezi wa ccm, nape nnauye, ni za kinafiki, kwani naye (kikwete) yu miongoni mwa mafisadi.
tanzania daima
Ni vigumu kuvua gamba hilo!