CCM kujivua ‘gamba’ Dodoma

BALOZI NDOBOH: KUNAHITAJIKA ZAIDI SUMU KUONDOLEWA KWENYE MFUMO WA
SERIKALI YA CCM KULIKO HATA GAMBA LA JOKA HILI LA KIFISADI NCHINI!!


Namshukuru sana mwenyezi Mungu kwamba sasa Watanzania wengi zaidi, ndani na nje ya CCM, tumeanza kujitokeza na kuongea wazi bila woga kuhusu mustakabali wa nchi yetu bila kutazamana kitu usoni.

Kwa kusema kweli, kila kitu katika huu usanii wote wa watu wenye magamba kudiriki kuona magamba ya wenzao na kuwataka wayavue ndani ya siku 90 yoooote ni katika KUTEKELEZA AGENDA YA SIRI YA URAIS KUBAKIA PWANI na kuja kubatizwa jina la Mgombea wa CCM 'ni sharti atoke Zanzibar safari hii' wakati huyo mgombea dhaifu mwenyewe ni Mzanzibari kwa Kukodishwa (TX) kutoka Kisarawe, Mkoa wa Pwani tu.

Tatizo wengi hatutaki kuamini kitu mpaka kije kionekane juu ya meza wakati ambapo kamwe huwezi tena kubadilisha kitu. Kisingizio cha 'SELECTIVE CCM OPERATION VUA GAMBA BAKISHA SUMU' is a mere ploy and secret pact if not a deliberate technicality to sweep aside all otherwise powerful presidential contenders with CCM corridors to give way to 'The Mighty Prince' to set on the throne as has since been discussed under camera in a number of nightly factional meetings in the country.

And with a single strike of that strategic technicality alone; Lowassa out, Samuel Sitta toka, Magufuli pisha, Mwandosya uliye tu, Prof Tibaijuka muda si wake wala Asha-Rose Migiro kuja kuonekana kutokua na direct touch na electorates on the ground!!! Truely I say to you, if you never ever though that it could ever come to pass; this is the kind of 'Rotten Egg Kikwete Presidential Succession plan' that is just being winnowed down purely of a most delicate and desparate move to create a leadership legacy that stand to backfire on the face of those towing the idea bad time!!!!

Wakati Mzee Wilson NdiaMukama (a political professional of yesterday schools of thought and rather more of a spent force) ameingizwa tu kwenye Pwani Taskfoce into CCM Secretariate merely as a 'MR FIX IT AS WE WANT' type of cadre who is safely containable as he enjoys no political clout on the ground nor an interest of guessing at the now-turning-out sweet help at Magogoni.

Ndio, the only dependable 'John-the-Baptist kind of servants since deployed as a Pwani Taskforce to clear the way for The Political Prince to come and take over leadership through the backdoor tricks are Nape Nnauye and January Makamba. However, owing to the later person's deep connections with a section of the Magambagates, and on the account of the fact that this boy has long been Europeanised in mind to easily swallow the chauvinistic kind of political machination being towed by Old Makamba, Mzee Mwinyi and of course Kikwete, the entire Pwani Surrogates are said to be DEEP COLD AT HEART given what some of them describe as 'a party spoiler' kind of prevailing political atmospheres in the country.

Yote juu ya yote, an all-time gigantic political explotion is more than being around the corner within the CCM semi-families. Suala hapa ni SUMU zaidi kuliko hata gamba lenyewe la Joka CCM kutoka mara moja kwa msukumo zaidi ya Nguvu ya Umma hivi karibuni. Nasema tunawasoma kwa karibu saaaaana katika hili.
 
MWASHAM BABA ASKOFU MHOGOLO:
HUU UFISADI WA KIMFUMO NDANI YA SERIKALI YA CCM NCHINI NDIO ULITEGEMEA DR SLAA NA CHADEMA
KWELI KUUMALIZA BILA YA USHIRIKI WETU WA MOJA KWA MOJA 'SISI NGUVU YA UMMA' KAMA TUNAVYOFANYA HIVI SASA???

Watanzania pindi unapomuona mtu mzima na mwenye kustahili heshima nyingi sana tu katika jamii anapoanza kutoa kauli tata na zenye kupindapinda mbele ya vita vikali kama hivi dhidi ya UFISADI nchini, wala usisubiri kuambiwa kwamba ni 'Askofu Mtafutaji' bali zaidi nenda tu ukaombe kuona mtiririko wa kifedha ndani ya akaunti yake japo kwa kipindi cha miezi sita tu iliyopita na baada ya hapo utapata jibu.

Ugunduaji wa UFISADI au wizi wa mali ya umma wala na mtu fulani kuamua kuipigia kelele kwa Watanzania tunaibiwa tuamke wala hakumfanyi huyo mpiga kelele dhidi ya wizi huo kugeuka kuwa MTUHUMIWA NA AU MTAPELI KWA HAYO MADAI YA UFISADI eti kwa sababu tu hakufungua mashitaka ama kwa BALOZI WA NYUMA KUMI na au katika kile kilichotajwa kama 'Mahakama' nchini.

Isitoshe, jukumu la kulinda mali ya umma ni ya Umma wenyewe wa Tanzania kwa ujumla wetu na wala si jukumu la mpiga kelele dhidi ya wizi husika wala chama fulani tu cha siasa nchini. Katika hili hata Mhasham Baba Askofu yeyote nchini, ambao kazi yao ya kwanza ni kuongoza unyoofu wa mioyo na kulinda Uadilifu katika jamii yetu nzima, angeweza tu kwenda naye mahakamani kufungua mashitaka kwa niaba yetu sote Watanzania tunaoibiwa.

Ni katika misingi hiyo miwili hapo juu ndio maana kidogo napata taaaaabu kweli kweli kusoma kitu kingine chochote kile zaidi ya UNAFIKI wa ajabu katika madai mazito ya Askofu wetu huyu wa Dodoma kuamini kwamba Bora Mfumo wa KIFISADI nchini kuliko kelele za Dr Slaa mnamo 2007 na tena hivi majuzi ambazo huonekana kuelekea kuharibu ULAJI NAFUU WA WENGI WASANYAJI WA KODI ZA UMMA.

Lakini, mbali na yote, Mwasham Baba Askofu Mhogolo, hivyo ndio kusema kwamba kwa kiwango ambacho hata wewe unakubali UFISADI kutanda kila mahali nchini ndio tuseme ya kwamba unataka kutuaminisha ya kwamba HUKO MAHAKAMANI unakoelekeza mkono ndiko ambako huenda MAFISADI walipasamehe kuingilia kwa kupenyeza zao DONAR TATU au ndio tunaambiwa kitu gani hadi hapo?????

Au ndio kusema ya kwamba pengine ni kwake Askofu kukisia ya kwamba HUU UFISADI WA KIMFUMO MZIMA ambao hata Rais Kikwete Mwenyewe amekua akikwepa kuushughulikia (pamoja na nguvu zote za dola tulizompa unaona Dr Slaa tu ndiye angeweza kuumaliza kwa peke yake tu ndani ya Tanzania bila hata kutuhitaji sisi Nguvu ya Umma kumaliza kabisa mchezo mzima kama ambavyo tunavyofanya hivi sasa???

Jamani kule kukitetea Chama Cha Mapinduzi kwa Baba Askofu si kosa, bali ni kwamba kosa lake linaanzia pale ambapo anaanzo kuona ya kwamba UFISADI WA KIMFUMO unaofadhiliwa na serikali ya CCM ni jukumu la Dr Slaa peke yake au CHADEMA bila kutuita sisi Watanzania WENYE MALI ZINAZOKWAPULIWA kushiriki moja kwa moja katika vita hizi.

Hadi hapa Baba Askofu Mhogolo, napenda nijifanye ya kwamba kwanza kabiza haukuwahi kutoa shutuma kama hizi na kwamba wala haukuamini katika haya yanayodaiwa kutoka mdomoni mwako zaidi ya kuwa mzaha tu huko mitaani. Hata na sisi Watanzania Walalahoi na sisi pia tunatamani maisha mazuri na kuendeshwa na magari mazuri kama wewe hapo mwenzetu kwanini uchukie WALALAHOI TUNAPOKOMBOLEWA au ndio kusema unanufaika kitu gani kwa kuendelea kukandamizwa kwetu Baba Askofu????

'Nguvu ya Umma' vita mbeeeele zaidi dhidi ya MAFISADI wa kila aina na kila kona ya nchi yetu bila kuridi nyuma.
 
Well originally Hussein moved from Pwani to Unguja (constituency wise) with the mindset that he should later become the ZnZ President. Well one problem is CUF of course (he could never win against Maalim Seif...who it is hoped his time is now passed). But if they say the next President ought to come from Zanzibar, the it is clear it will be a mainland-dipped-zanzibari and Dr Mwinyi is definitely one of those. He would be able to win on the mainland and ZNZ against the opposition (uchakachuaji pale pale of course). And as a bonus he will honour and protect the Kikweteryte way (hiding anything inappropriate and protecting JK's interests in his absence). One might have thought Membe would be the one to do this. I'm sure he was definitely JK's 1st choice for a puppet as their relationship is a bit like Putin and Medvedev. But Membe has shown himself to be invariably weak and he lacks the charisma, intelligence and political clout to be President. That is why he has fallen out of favour with the King and has now been purged along with the rest of the 666 and Mwandosya (PhD), Pombe Magufuli (PhD). So is Hussein Mwinyi going to be president 2015?? Quite likely as far as CCM is concerned. Sumaye, Mwandosya, Mwakyembe, Edward Lowassa, Magufuli and the rest of those that fancy themselves as would be candidates certainly beg to differ.

So it is definitely going to be an interesting drama. Oh and by the way, judging from ZnZ and what has happened in the last 4 elections the opposition has a snow-ball's chance in hell. Lazima ccm itachakachua, in addition to the obvious fact that they actually control a comfortable majority. My point is that these CCM power plays are going to have some real consequences other than the pure dramatic delight for those of us that have read Machiavelli's The Prince.
 
Hebu jamani nisaidieni, hii dhana ya kujivua gamba bado sijaielewa kabisaaaaa. Kwani huyu anayejivua gamba ni mnyama gani maana kama ni NYOKA, sumu haiko kwenye gamba na kama ni KOBE, gamba ni sehemu ya mwili wake na sioni jinsi atakavyofanikiwa kuvua gamba lake halafu akaendelea kuishi, bora angejiachia akafa kishujaa na gamba lake!
 
Hebu jamani nisaidieni, hii dhana ya kujivua gamba/kuvuana magamba bado sijaielewa kabisaaaaa. Kwani huyu anayejivua gamba ni mnyama gani maana kama ni NYOKA, sumu haiko kwenye gamba na kama ni KOBE, gamba ni sehemu ya mwili wake na sioni jinsi atakavyofanikiwa kuvua gamba lake halafu akaendelea kuishi, bora angejiachia akafa kishujaa na gamba lake!


Mambo ya msingi ya kujadili:
1. Ni mnyama gani tunayemwongelea hapa
2. Hilo gamba alilivaa lini
3. Ameshajivua gamba mara ngapi katika uhai wake
4. Hilo gamba material yake ni WATU (RACHEL) au ni SERA? Kama ni watu, je ni wangapi na kama ni sera ni zipi?
5. Anayeratibu zoezi zima la kuvua gamba ni mnyama mwenyewe au ni mfugaji wake?
6. Je hili gamba ni la asili au siyo la asili? Je, umeshafanyika utafiti kujua liliotaje na je, kuna jinsi ya kuridhibiti ili lisiote tena
7. Je, ni busara kuvuana magamba hadharani au mnyamba angechukua likizo ili akajivue hilo gamba lake mafichoni halafu arudi likishaota jingine au akishapona makovu?
8. n.k
 
Kufuatana na thread yako inaelekea sio msomaji mzuri hata wa threads za JF.Nenda kwenye archives utapata undani wa swala la kujivua gamba.Ni wazo lisilo na mantiki.
Hebu jamani nisaidieni, hii dhana ya kujivua gamba/kuvuana magamba bado sijaielewa kabisaaaaa. Kwani huyu anayejivua gamba ni mnyama gani maana kama ni NYOKA, sumu haiko kwenye gamba na kama ni KOBE, gamba ni sehemu ya mwili wake na sioni jinsi atakavyofanikiwa kuvua gamba lake halafu akaendelea kuishi, bora angejiachia akafa kishujaa na gamba lake!


Mambo ya msingi ya kujadili:
1. Ni mnyama gani tunayemwongelea hapa
2. Hilo gamba alilivaa lini
3. Ameshajivua gamba mara ngapi katika uhai wake
4. Hilo gamba material yake ni WATU (RACHEL) au ni SERA? Kama ni watu, je ni wangapi na kama ni sera ni zipi?
5. Anayeratibu zoezi zima la kuvua gamba ni mnyama mwenyewe au ni mfugaji wake?
6. Je hili gamba ni la asili au siyo la asili? Je, umeshafanyika utafiti kujua liliotaje na je, kuna jinsi ya kuridhibiti ili lisiote tena
7. Je, ni busara kuvuana magamba hadharani au mnyamba angechukua likizo ili akajivue hilo gamba lake mafichoni halafu arudi likishaota jingine au akishapona makovu?
8. n.k
 
Kujivua gamba ni "political gimmics". Ni dhana ya kudandia hoja za cdm ili kujaribu kujisafisha machoni pa wanachi waliopoteza imani na ccm + serikali yake. Ukweli kujivua gamba, ironically, ni kuongezeka kwa sumu (nyoja) au kufa kabisa (kobe). Kucheza ngoma isiyo yako, mwisho unashika mavi; sera ya kuondosha mafisadi ni ya cdm, ccm wamekurupuka mwishoni wataishia kushika mavi!! Maana ukweli ni kuwa viongozi walio wengi wa juu wa ccm+ serikali ni ama mafisadi au ni zao la ufisadi. Na hata mkakati mbinu wa kuimarisha chama cha ccm ni muendelezo wa umafia na ufisadi. Kazi ipo kweli kweli.......
 
Inashangaza kwanini Prof.Lipumba mwenyekiti wa chama
hana jukwaa Zenj japokuwa chama chake kimepewa dhamana ya kuongoza serikali.
 
tuache ushabiki lipumba kuzungumzia magamba ni haki yake suala la serekali ya mseto ni maamuzi ya wazanzibari alafu malimu sefu sio ccm bali yeye ni katibu wa cuf .pia magamba ni ya ccm sio ya serekali ya mapinduzi zanzibar kuzungumzia magamba ndani serekali sio sahihi ni chama kinacho jivua magamba
 
tuache ushabiki lipumba kuzungumzia magamba ni haki yake suala la serekali ya mseto ni maamuzi ya wazanzibari alafu malimu sefu sio ccm bali yeye ni katibu wa cuf .pia magamba ni ya ccm sio ya serekali ya mapinduzi zanzibar kuzungumzia magamba ndani serekali sio sahihi ni chama kinacho jivua magamba

Aangalie asije akavunja muafaka:frusty:
 
  • Wamtaka atangaze mali zake, wadai naye ni fisadi
KAULI mbiu ya ‘kujivua gamba’ ya Chama cha Mapinduzi (CCM) inaendelea kuwa mwiba mchungu kwa chama hicho baada ya wananchi kuhoji nguvu ya kimaadili ya Rais Jakaya Kikwete ambaye anadai kutaka kuondoa mafisadi ndani ya chama huku naye akihusishwa na ufisadi mwingine.


Baadhi ya viongozi na makada wa CCM na vyama vya upinzani wamedai jitihada za Rais Kikwete kushambulia na kuadhiri wanasiasa wenzake kwa kumtumia Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye, ni za kinafiki, kwani naye (Kikwete) yu miongoni mwa mafisadi.

Jana ilikuwa zamu ya Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahimu Lipumba, na Diwani mstaafu wa Tarime (CHADEMA) John Heche, ambao kwa nyakati tofauti walisema CCM haisafishiki. Walisema ili kuisafisha CCM na serikali yake, ingepaswa kuwaondoa wote waliotajwa kwenye ufisadi akiwemo Rais Kikwete. Profesa Lipumba aliyasema hayo jana jijini Dar es Salaam alipozungumza na waandishi wa habari makao makuu ya CUF.

Mbali na ufisadi wa Kikwete uliotajwa na Dk. Willibrod Slaa Septemba 2007, jana Profesa Lipumba aliongeza mali za Kikwete. Alisema Rais Kikwete aligoma kutangaza mali zake alipoingia madarakani na hata sasa hataki kufanya hivyo kwa sababu kuna harufu ya ufisadi katika mali hizo.

Profesa Lipumba alidai kuwa Rais Kikwete, kama angekuwa mtu safi angetangaza mali zake kabla hajaingia Ikulu kama alivyofanya mtangulizi wake, Rais Mstaafu Benjamin Mkapa, ili wananchi wapime uadilifu wake. “Kama kweli Rais Kikwete ana nia ya kupambana na ufisadi atangaze mali zake na wale wote wanaotuhumiwa wafunguliwe mashtaka na wafikishwe mahakamani. “Najua katika hili, Rais Kikwete hawezi, kwani anahofia wale waliopewa siku 90 watatoa siri kubwa pamoja na kuwataja vigogo walionufaika na ufisadi wao. Hiki ni kipimo kuwa CCM haina uwezo wa kupambana na ufisadi ila inachofanya ni usanii dhidi ya ufisadi,” alisema Profesa Lipumba.

Hata hivyo alisema kamwe CCM haiwezi kuwachukulia hatua watuhumiwa hao wa ufisadi kwa kile alichodai kuwa tuhuma hizo zinawagusa vigogo wengi wa CCM ambao kama walivyoshindwa kuchukua hatua dhidi ya kampuni ya Kagoda na mafisadi wa EPA, haiwezi kuwagusa hata hawa.

Kuhusu ununuzi wa rada, alisema kama kweli serikali ina nia ya kupambana na ufisadi, itumie ushahidi ulioletwa na Ofisi ya Upelelezi wa Makosa Makubwa ya Uingereza (SFO) kuwafikisha mahakamani vigogo wote waliohusika na sakata la ununuzi wa rada kwani hadi sasa hakuna ofisa yeyote aliyekamatwa.

Kuhusu mchakato wa kubinafsishwa kwa mashirika ya umma hasa kampuni ya sigara na kampuni ya simu, Lipumba alisema makampuni hayo yaliuzwa kwa bei ndogo kuliko thamani yake.

Kutoka Mwanza, Heche aliweka wazi kwamba kauli zinazotolewa na Nape ni tambo na hadaa kwa wananchi kwa vile amekubali kuwa vuvuzela la mafisadi.
Heche alisema hayo katika mkutano wake na vyombo vya habari, huku akitangaza nia yake ya kuwania uenyekiti wa Baraza la Vijana la CHADEMA (BAVICHA).
Alisema Nape anatoa kauli za kitoto za kudai kuwa Dk. Willbrod Slaa anatumiwa na mafisadi ili amshambulie Rais Kikwete na familia yake, kwa kuwa Dk. Slaa ndiye aliyewataja hao mafisadi, Kikwete akiwamo; na kwamba vita ya ufisadi ni ya CHADEMA si ya CCM. “Nape anadiriki kusema hayo kwa sababu badala ya kueneza itikadi za CCM anajigeuza vuvuzela la mafisadi. Ameamua kuwa mweneza propaganda badala ya itikadi. Hatuwezi kumsikiliza hata kidogo.

“Ingawa kwa juujuu anajifanya kupambana na ufisadi, Nape hana uwezo wala uadilifu wa kukemea mafisadi kwa sababu hata Rais Kikwete anayemtetea ametajwa kwenye orodha ya mafisadi kule Mwembeyanga. “…Ningependa kumuuliza Nape katika orodha ya mafisadi 16 waliotajwa na Dk. Slaa, yeye anamtetea fisadi yupi? Anajua kwamba hata Rais Kikwete alitajwa? Ni lini Nape amepewa ajira ya kutetea udhaifu binafsi wa Rais na familia yake?” alihoji Heche kupitia taarifa hiyo.
“Tumeushtukia mpango wa CCM kuidhoofisha hoja ya CHADEMA inayolenga kupambana na mafisadi wanaotafuna fedha za Watanzania na hatuko tayari kuukubali,” alieleza Heche.

Alisema wote wanaotaka kuondoa ufisadi nchini lazima wautazame kwa marefu na mapana, wajue na wakubali kusema wazi kwamba Rais Kikwete mwenyewe ni zao la ufisadi. Pesa za EPA zilizoibwa Benki Kuu zilitumika kununua urais wake.
“Tunaamini kwamba Watanzania walishagundua ukweli huu, ndiyo maana mwaka 2010 hawakumpa Rais Kikwete kura za kutosha kama mwaka 2005 wakati anaingia. Hivyo, wote wanaomtetea akiwemo Nape, wanatetea ufisadi. Wanahujumu Watanzania.

“Enzi za CCM kuendelea kuongoza Watanzania zimekwisha. Hii ni zamu ya Watanzania wanaotafuta matumaini mapya kupitia CHADEMA,” alisisitiza Heche.
Akizungumzia azima yake ya kusaka uongozi wa BAVICHA, Heche alisema: “Kwa kuwa mimi ni mwanachama makini wa CHADEMA na kwa kuwa nimewahi kuwa kiongozi sasa nawania uongozi tena, naona ni vema nitumie fursa hii kuzungumzia masuala kadhaa ninayoshuhudia yakisemwa au yakifanywa na chama tawala kinachokaribia kumaliza muda wake.”

Aidha, aliwaomba vijana wote kuwa makini zaidi katika kuitengeneza Tanzania mpya kwa mustakabali wa vizazi vijavyo na kubainisha kwamba kazi ya BAVICHA ijayo chini ya uongozi wowote utakaochaguliwa ni kuwainua vijana katika kuwamulika mafisadi wote hata kama wapo madarakani. CHADEMA kinatarajiwa kufanya uchaguzi wa BAVICHA uliofutwa miaka miwili iliyopita baada ya uongozi wa chama kuridhika kwamba taratibu za uchaguzi zilikosewa.

Heche anakuwa mwanachama wa kwanza kutangaza nia hiyo. Alitaja sababu tisa za kugombea uongozi BAVICHA. Alisema:“Kwanza mimi ni mwana CHADEMA kijana. Nafasi inayogombewa ni ya vijana. Hii ni fursa kwangu kuitumia vema haki yangu ya kugombea uongozi wa vijana ndani ya chama. “Dhamira yangu ni kuifanya BAVICHA kuwa taasisi imara, ambayo itakuwa tanuru la viongozi makini katika ngazi mbalimbali, kichama na kitaifa. BAVICHA ni chombo kipya. Uchaguzi huu ni sehemu ya mchakato wa kukianzisha, kukijenga na kukiimarisha, ili kiwe kimbilio la vijana wengi wa taifa hili wanaotaka mabadiliko.

“Katika kuisuka BAVICHA kutoka ngazi ya kata hadi taifa, tutakuwa tumeunganisha nguvu za vijana wa Tanzania katika kudai uhuru wa kweli, usawa na haki.
“Nataka kuendeleza jitihada za viongozi na makada wetu za kupigania ushiriki wa vijana katika siasa za Tanzania na uongozi. “Nataka kuijenga BAVICHA iwe daraja la kuwafikia, kuwainua na kuwajenga vijana wasomi walio vyuoni na waliohitimu waweze kushiriki siasa za ukombozi wa taifa lao.

“Ningependa, kupitia BAVICHA, kusimika mapambano ya ukombozi ya aina yake Tanzania Visiwani, kwa kuanzisha kanda maalumu ya BAVICHA visiwani, kama moja ya mikakati ya chama ya kukikuza CHADEMA miongoni mwa vijana na jamii ya Zanzibar. “Nataka kuifanya BAVICHA kuwa chachu ya mafunzo kwa vijana juu ya falsafa na itikadi za chama katika ngazi za majimbo, wilaya na mikoa.
“Nataka kuongoza taasisi itakayosaidiana na taasisi nyingine rasmi na zisizo rasmi katika kusimamia, kuwajibisha na kuihoji serikali kuhusu masuala muhimu yanayohusu maisha ya Watanzania. “Nataka kuongoza vijana, kupitia BAVICHA, kuendelea kudai serikali ianzishe Baraza la Vijana la Taifa.”

Tanzania Daima
 
haya bwana mura henche nakukubali jinsi ulivyo wapeleka peleka matajiri pale tarime hasa aliyekuwa mpinzani wako peter zakari ukujali pesa zake ulipambana sana
 
Hii rasimu ya kutangaza mali viongozi wa umma waingiapo madarakani haimgusi kiongozi wa nchi? Msukumo wa watumishi wa umma kutangaza mali zao utatoka wapi wakati mkuu wa nchi anaficha mali na source za mali zake?
 
acheni fitina za mitaani. Professor Ibrahim lipumba ni muona mbali musijidanganye kabisa na kuwa na serikali ya GNU/SUK ni kusalimu amri kwa CUF. Kila chama kinaangalia "interest" za wananchi. Na kuungana ni kwasababu ya usalama wa wazanzibari. wizi wa kura umezidi na nafasi ya kurekebisha utawala inakuwa na ndogo na uapande wa zanzibar maonevu yamezidi. Nyinyi ndugu zetu wa chadema munaona choyo tu kwa sababu Zanzibar hamukupata kitu tunawaambia tushirikiane, hamutaki. Basi mujue chama cha upinzani kinacho wakilisha sehemu mbili za muungano ni CUF. Na Prof. Ibrahim Lipumba ndio kiongozi halali.
 
Walio wengi wanaCCM anafurahia kujivua gamba bila kujua maana halisi ya kitendo hicho ambacho kwa lugha ya kitaalamu huitwa Ecdysis. Nyoka na jamii ya mijusi (reptiles) na baadhi ya wadudu (Arthropods) hutoa magamba ya juu na kubakiza ngozi angavu. I will use simple terms to educate JF readers why the snakes shed their skin and how the process work and will link this with CCM na Kujitoa Magamba.

090223pb.jpg


OKey, snakes will shed its skin to allow for continued growth, snake skin has a limited capacity for growth and enlargement, thus when snakes outgrows the skin it's in it simply shed the outer layer to start fresh!!!! A snake will shed its skin as long as it's growing, and snakes grow all through their lives. Thus, a snake will never stop shedding until death.....mind you CCM is 34 yrs old....Younger snakes grow at a faster rate than mature snakes, this is a common sense scenario. So a young, fast-growing snake will shed more frequently than an adult snake of the same species.

snake%2Bskin.jpg


Wakati mwingine nyoka hutoa gamba kama ameumia ama kama kuna vilemea vinavyoweza mletea magonjwa kwenye ngozi (Parasites), basi nyoka hutoa gamba hilo. Kitendo cha kujivua gamba wakati mwingine huwa si kirahisi, Nyoka hulazimisha kujisugua kwenye mawe ama sehemu nyingine ngumu, na kama gamba likibakia kwenye macho basi nyoka huyo huwa kipofu kwa muda hadi gamba lile la kwenye macho (eye cap) litoke. Lakini Nyoka anavyozidi kukuwa sumu huwa inaongezeka ukali. Kujivua magamba hakuna uhusiano na ukali wa sumu. Sumu hubaki ile ile kama nyoka atapendeza kuwa na ngozi mwororo na kuongezeka hubakia na sumu ile ile.

Shida ya watanzania ni sumu aliyonayo huyu Nyoka CCM, hata akititoa magamba bado ataendelea kutugonga na kutuachia ulemavu wa umasikini na maisha duni. Hizi sanaa na maigizo ya watu kupongeza nadhani wangeelewa maana halisi ya Ecdysis. Kujitoa gamba na nyoka akabakia na "venom" ile ile Kichwani (Jakaya Kikwete) hakuna maana CCM is the most venomous snake regardless of kujitoa kwake Magamba.

Lets unite kwa mitego, mawe na pinde tuuwe joka hili linakuwa kwa kutoa magamba.

Rev Fr Masanilo
 
Back
Top Bottom