Hapo kwenye red Makwaia wa Kuhenga, umemweka hapa umenikumbusha makala zake nzuri pamoja na kitabu chake, cha ccm na mustakabali wa nchi yetu, jamaa japo ni mwanachama wa chama ambacho nami ni mwanachama, huwa anaandika kwa umakini na bila kumwangalia nyani usoni