CCM kujivua ‘gamba’ Dodoma

Huyu binti/ mama sijui ni nani sitashangaa akipewa ukurugenzi wa manispaa!
 
jamaa anapenda kamera huyu SIFA ZAKIJINGA!
JK KWA TOTOOOOOZI SIFA ZA KIJINGA.
 
Baada ya kujivua gamba sasa kaanza kwa kasi zaidi!!!:A S 465:
 
Nasubiri orodha ya watakaoteuliwa ukuu wa wilaya !
 
MR, don't hate him maana jamaa kama angekuwa member humu na kutembelea lile jukwaa la kuleee lazima ungeukwaa unaibu waziri wa jinsia na .......

mbona jamaa yupo kwenye jamvi.......
 
Picha ya kwanza kwa jinsi binti alivyofurahi kaambiwa 'nimeshakuwekea milioni 20 kwenye akaunti yako tangulia Dodoma nina ziara huko keshokutwa. Alipokuwa waziri wa mambo ya nje mademu wengi walikuwa na namba yake 0744777777.
 
mtaalamu wa totozzzzz.......
ukitajiwa orodha yake ni noma
 

Hawa mabinti wawili wana movie yao mpya inaitwa LIFE FOR LIFE ina Story Nzuri sana na pia Wameicheza vema.

Kudo's Mabinti. Big Up sana, Mwanzo Mzuri!

Ya Mzee wa Kaya nawaachia wenyewe, mie simo.

Peace and Love

Respect
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…