Pia Jk anapaswa kutueleza ni wapi alipoutoa ujasiri wa kumnadi jukwaani ilhali alifahamu kuwa ana kashfa ya ufisadi,akishindwa kufanya hivyo naye awajibishwe!Kama anabusara anatakiwa hadi uo ubunge ajiuzuru ili kulinda chama chake,
Je aliyemsifu kwamba ni mchapa kazi wa ajabu hajawahi kuona achukuliweje? Ni gamba au gome?Suala la Lowasa litafuata mtiririko ufuatao:-
1. Kupokea barua ya Katibu Mkuu wa CCM;
2. Kujiuzulu nyadhifa zote ndani ya CCM
3. Kupoteza ubunge
4. Kutokuwa mwenyekiti wa kamati
5. Kurudi Monduli
Hivyo Mr. Mamvi amekaa pabaya! hesabu zake tofauti na matarajio yake LABDA CDM mumpe hifadhi
Pia Jk anapaswa kutueleza ni wapi alipoutoa ujasiri wa kumnadi jukwaani ilhali alifahamu kuwa ana kashfa ya ufisadi,akishindwa kufanya hivyo naye awajibishwe!
Suala la Lowasa litafuata mtiririko ufuatao:-
1. Kupokea barua ya Katibu Mkuu wa CCM;
2. Kujiuzulu nyadhifa zote ndani ya CCM
3. Kupoteza ubunge
4. Kutokuwa mwenyekiti wa kamati
5. Kurudi Monduli
Hivyo Mr. Mamvi amekaa pabaya! hesabu zake tofauti na matarajio yake LABDA CDM mumpe hifadhi
Je aliyemsifu kwamba ni mchapa kazi wa ajabu hajawahi kuona achukuliweje? Ni gamba au gome?
Nionacho uvumilivu sasa umemfika ukomo mh.mamvi, lazima mara hii AUMBUE YOTE NA KUMWAGA MCHELE.