GE2025 CCM kujenga barabarani ya chini ( Subway road ), kutokea Posta mpaka Mbezi

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

torosi

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2020
Posts
1,114
Reaction score
2,088
JF

Nasikiliza hapa mpoto anawaelekezea wana Dar es Salaam, kuwa katika Ilani mpya ya CCM, chama kinatarajia kujenga barabara ya chini ( subway road ) kutokea Posta kuibukia Mbezi

Yaani unadumbukia Posta, unajikuta Mbezi

Kwa kweli MAMA mitano tena , nani kama CCM

Muwe na jioni njema
 
Another silly season😂😂😂😂
 
😂😂😂 wakuu mnatuonaje lakini embu toeni hoja ambazo ni realistic wazee
 
Ni ilani mkuu, Mama anaweza mpeni kura, mdumbukie Posta muibuke Mbezi
Nyie endeleeni kuwa mashabiki tu uchawa sio kazi jamani mambo ni magumu mtaani… ata mwendokasi haijaisha unasema barabara za chini 😂😂
 
JF

Nasikiliza hapa mpoto anawaelekezea wana Dar es Salaam, kuwa katika Ilani mpya ya CCM, chama kinatarajia kujenga barabara ya chini ( subway road ) kutokea Posta kuibukia Mbezi

Yaani unadumbukia Posta, unajikuta Mbezi

Kwa kweli MAMA mitano tena , nani kama CCM

Muwe na jioni njema
Naye amekuwa mshika Ilani?
 
Hana tofauti na hawa wakaa vijiweni.
downloadfile.png
 
Ilani ya CCM ni development oriented, focused on growth, progress and positive change!
 
Back
Top Bottom