Feedback
JF-Expert Member
- Mar 14, 2011
- 7,988
- 4,515
ccj ilizaliwa lini?
ccm ni kama FUTUHI
CCJ ilizaliwa February 2.
ccj ilizaliwa lini?
ccm ni kama FUTUHI
unasema nini wewe, mbona ametibua sana wakristo kwani tuna sali j.pili wala hatumwelewi mbona hajaweka ijumaa?Inawezekana hyo ni tarehe yakuzaliwa kwa ccj sasa Nepi kaona aziunganishe kwa pamoja.
CCJ ilizaliwa February 2.
unasema nini wewe, mbona ametibua sana wakristo kwani tuna sali j.pili wala hatumwelewi mbona hajaweka ijumaa?
vipi una joto?na wewe ulichoandika kimekusaidia nini????
Wadau nilikuwa namsikiliza nape akitangaza kuhamisha sherehe za kuzaliwa kwa ccm kutoka tar 5 kurudi 2 ili kuwapa watu muda wa kuhudhuria.tujadili kwa pamoja kuna shida mahali nimeiona.
AQQAS af Aa caSheikh mambo vipi? S umehA*! Sadimika sana jukwaani??