CCM kuhamisha happy birthday ni dalili ya nini?

Ringo Edmund

JF-Expert Member
May 10, 2010
4,879
1,125
Wadau nilikuwa namsikiliza nape akitangaza kuhamisha sherehe za kuzaliwa kwa ccm kutoka tar 5 kurudi 2 ili kuwapa watu muda wa kuhudhuria.tujadili kwa pamoja kuna shida mahali nimeiona.
 
Tarehe 5 ni siku ya kazi na si unajua chama chetu husomba wafanyakazi kujazia mikutano yao.
 
Nyie wafuasi wa LEMA hamna JEMA. wangefanya siku ya kazi mngelalamika, wamefanya jumapili mnalalamika.
Mwatakaje basi?
 
Wadau nilikuwa namsikiliza nape akitangaza kuhamisha sherehe za kuzaliwa kwa ccm kutoka tar 5 kurudi 2 ili kuwapa watu muda wa kuhudhuria.tujadili kwa pamoja kuna shida mahali nimeiona.
ukishajadili itakusaidia nini?
 
Mada hii ni dalili ya kwa nini umaskini wako wa maisha haukuishi,maana jitu zima,badala uwaze dalili za jambo la maana,eti una waza kwa nini ccm. Wahamishe sherehe zao,hizo ni dalili za ujinga wako
 
Na hii kama ni kweli ni VITUKO SHOW.
Hiki chama kimekuwa cha comedy for all season.
Imefikia mahali mimi nikikosa kipindi cha
Joti na Mpoki basi natafuta cd ya mkutano au hotuba ya gambaz mmoja, naburudika na kujistukia nimesinzia, mara ni asubuhi ingine, naamka na kuelekea kunako rizki.
 
Si unajuwa tena watafunga shule hospitali na ofisi za halmashauri mkoani na vituo vya polisi mahakamamka mzima namikoa jirani ya Njombe,Iringa,Ruvuma,na Rukwa the only option ya kujiokoa ni kuwaita jumapili
 
Nyie wafuasi wa LEMA hamna JEMA. wangefanya siku ya kazi mngelalamika, wamefanya jumapili mnalalamika.
Mwatakaje basi?

Mkuu kwani unadhani sherehe ya CCM ni ya kiserikali hadi iathiri wafanyakazi?

Think big !!!!!!
 
Na hii kama ni kweli ni VITUKO SHOW.
Hiki chama kimekuwa cha comedy for all season.
Imefikia mahali mimi nikikosa kipindi cha
Joti na Mpoki basi natafuta cd ya mkutano au hotuba ya gambaz mmoja, naburudika na kujistukia nimesinzia, mara ni asubuhi ingine, naamka na kuelekea kunako rizki.

Uzee unakujia vibaya! Kwanini usitafute CD ya LEMA akitetea Posho bungeni ili uburudike vizuri?
 
Back
Top Bottom