CCM kitakufa mwaka 2015 na hakitarudi tena

CCM kitakufa mwaka 2015 na hakitarudi tena

Shomari hujui kwenye uchumi daraja la kwanza tunasoma nini ndio maana unapima kwenye thread za jf. Kuna thread tunayoijadili kwa kutumia Koutsoyiannis humu? La ngrangian?. Cob dougglus function?. Msikimbilie issues za kitaalamu kwenye vitu visivyo vya kitaalam. Kuna sehem gani ya kuweka uchumi hata wa form two wa demand and supply kwenye thread hii. Narudia, 2015 CCM ITASHINDA NUSU SAA TU BAADA YA VITUO KUFUNGULIWA .

huyu ni Lameki madelu nkumbo, mwigulu nchemba original anaakili sana namfahamu hawezi andika hivi
 
Ccm ni taasisi, hakuna siku itakufa labda siku vyama vya siasa vikifutwa na nchi kutawaliwa kijeshi na mwana ccm. Ngo na vyama vya kufa na kuzikana kama chadema ndivyo vitakufa

Tunaendelea kukusanya vielelezo, kama nchi itachafuka tutakutana the Hague..
 
Labda kuna CCM ITASHINDANA HUMUHUMU JF ns chadema. Lakini kwa kura uraiani kule. CCM ITASHINDA NUSU SAA TU BAADA YA VITUO KUFUNGULIWA. VITU AMBAVYO NINAUHAKIKA VITATOKEA 2015
1) CCM ITASHINDA
2) WANA JF wengine hata kura hamtapiga mtakuwa busy kutukana humu wakati wana CCM wakipiga kura
3) Wasio na kazi wataandamana
4) watakaopewa viroba watafanya vurugu na kutakuwa na watu wa kutosha tu kupambana nao walisomea kazi hiyo na wanalipwa kwa kazi hiyo.
UNAYEOTA ENDELEA KUOTA , NJOO NA MIFANO HATA YA KUZIMU. ILA CCM ITASHINDA 2015. HILI SIO LA MJADALA

Mwigulu zile bangi ulizokuwa unavuta std 7 hadi ukafell naona bado ziko kichwani mwako. kwa matamshi haya yaani wewe ni kenge kweli. Hawa unaowaona humu Jf wote wako uraiani huko walikowapiga kura wa ccm. ya kwamba mtadhibit maandamano! maandamano ya nn wakati CDM Itakuwa imeshinda. hao mliowandaa kudhibiti maandano waradhibiti CCM maake wao ndo hawatakubali matokeo. Utashangaa watakavyowageuka saa hizi mnaona wanawatii kwa vile mmeshika dola, ikiondoka hata mbwa mmoja hutamuona akichezesha mkia mbele yako kama ishara ya utii. Itakuwa ni kuuma tu na kurarua majezi yenu ya kijani hadi kufutika.
 
Ccm ni taasisi, hakuna siku itakufa labda siku vyama vya siasa vikifutwa na nchi kutawaliwa kijeshi na mwana ccm. Ngo na vyama vya kufa na kuzikana kama chadema ndivyo vitakufa
Hahahahaaa vp mwigulu WEKA MBALI NA TEMBO mzima?
 
Kashfa ya katibu wa chama cha demokrasia na maendeleo (Chadema),Dk Willibrod Slaa imewekwa hadharani kwamba kiongozi huyo alifukuzwa upadri baada ya kutafuna mamilioni ya fedha zilizochangwa kwa ajili ya ujio wa hapa nchini wa Kiongozi wa Kanisa katoliki nchini duniani papa katika miaka ya tisini
Tuhuma hizo zimemwagwa na Waziri Steven Wassira katika mikutano ya kampeni za ccm kumnadi mgombea wa chama hicho sioi Solomon sumari katika Jimbo la Arumeru mashariuki

Tuhuma hizo zinakuja wakati vyama hivyo viwili vikubwa nchini vikirusiana vijembe na makombora mazito mazito
kashfa hiyo imetolewa katika vijiji vya kata Kikwe katika Jimbo hilo la Arumeru Mshariki Mkoani Arusha.
Wassira alisema kwamba Dk Slaa ambaye pia aliwahi kuwa katibu mkuu wa baraza la maaskofu nchini(TEC) kabla ya kukumbwa na kashfa hizo za kutafuna mamilioni hayo ya fedha zilizochangwa na waumini wa katoliki kutoka vigango na parokia mbalimbali nchini ili kufaniKisha ujio wa Papa miaka ya tisini kitendo kilichopelekea kufukuzwa kazi ya upadri.
amesisitiza kwamba kiongozi huyo hana kifua cha kupambana na ufisadi kwa kuwa hata yeye alitafuna fedha za kanisa.
Aliwataka wakazi wa kata ya Kikwe kumuuliza Dk Slaa chanzo cha kufukuzwa upadri pindi atakapotia mguu ndani ya kata yao na kuwataka wakazi hao kutosikiliza sera za kiongozi huyo kwa kuwa si msafi wa kujipambanua kwamba anapambana na ufisadi nchini.
Alimtuhumu Dk Slaa Pia katika hatua nyingine anatuhumiwa kumfukuza kazi mhasibu wa chama hicho ngazi ya taifa kwa kosa la kukataa kutekeleza maagizo yake amlipe shilingi milioni 10 mchumba wake,Josephine Mushumbushi kitendo kinachotia mashaka ya uadilifu wa kiongozi huyo.
Hata hivyo,alishangaa kitendo cha Dk Slaa kuishi maisha ya uchumba wakati akiwa na umri wa miaka zaidi ya 60 na kudai kitendo hicho kinashangaza umma wa watanzania pamoja na wafuasi wa vyama vya siasa nchini.
Mtaenda kufukua recycle bin mpaka mkome! BTW: Hii ilipangwa kumpatia ubunge Siyoi...tafuteni kashfa mpya bwana hizi zimeshachuja. Chama tawala badala ya kujivunia rekodi yake ya uadilifu inatafuta vitu vya kipuuzi vya kutunga tunga, sishangai mmeligeuza hili taifa kuwa la watu wa kushabikia vitu vya kimbea ambavyo havina maana.
 
Hii ya Kipanya kali sana

ImageUploadedByJamiiForums1357934505.859823.jpg
 
Shomari hujui kwenye uchumi daraja la kwanza tunasoma nini ndio maana unapima kwenye thread za jf. Kuna thread tunayoijadili kwa kutumia Koutsoyiannis humu? La ngrangian?. Cob dougglus function?. Msikimbilie issues za kitaalamu kwenye vitu visivyo vya kitaalam. Kuna sehem gani ya kuweka uchumi hata wa form two wa demand and supply kwenye thread hii. Narudia, 2015 CCM ITASHINDA NUSU SAA TU BAADA YA VITUO KUFUNGULIWA .
Jifariji sana lakini mwisho wenu umefika. Na damu ya Mwangosi itawalaani popote mtakapo kua.
 
Ccm ni taasisi, hakuna siku itakufa labda siku vyama vya siasa vikifutwa na nchi kutawaliwa kijeshi na mwana ccm. Ngo na vyama vya kufa na kuzikana kama chadema ndivyo vitakufa

ww mwigulu ni yule uliyewabambika kesi makamanda wetu,ok naona hujui dhana ya political competition ndo maana unasema jeshi litatawala,je ni baada ya ccm kushindwa?maana kwa mwelekeo wa siasa za hapa tz ccm imeshakabwa roho na chadema.
 
Mwaka 2015 ni mwaka wa CHADEMA kuongoza Nchi hii, Nasema hivo baada ya kufanya tafiti za maeneao mbalimbali hapa Nchini na kugundua wengi wanaunga mkono jitihada za CHADEMA!

CHADEMA ni wembe wa kunyolea tena aina ya wembe unyoleao karatasi Ambao hupatikana viwandani tu na ambao huwa na Makari zaidi ya vipindi vi 4 baada ya kunyoa.

CHADEMA tuna jembe letu Dr SLAA.
CCM MTAMPA NANI? kwani wote wamechafuka na Richmond, Epa, Kagoda,Mapesa ya Uswis, Kutaka kuchakachua Gasi na kuileta Dar es salaam na Bagamoyo. Kwa nini Mnataka kupeleka Gasi Bagamoyo kwa Kikwete? je hao wananchi walopewa neema hiyo baada ya CCM kuaacha bila Barabara, Umeme, Maji na Afya hawafai? Hadi mtake Gasi iende Bagamoyo kwa Kikwete?

CCM mwisho wake ni 2015
Angalia wamepandisha Mafuta ya Taa ili wananchi washindwe kupika vyakula!!!!
Ndio maana nasema mwisho wa Kutawara kwa CCM ni 2015

kweli chadema mnaweweseka ulichokifahamu unakifahamu au umeendakia ili kumfurahi mbowe,slaa na lema???
mtwara hakuna umeme??? na umeme wa mtwara unajua unazalishwa na nini??? kama hujui basi ni hiyo gas ...kama hujui pia mtwara na lindi kuingiza umeme ni Tsh.99000??? sijui unajua hilo au unalopoka tu
 
Dalai Lama viroba sisi hatugawi wala pilau. Sisi tunatekeleza ilani. Ila kuhusu ushindi liko wazi CCM LAZIMA ITASHINDA hilo lazima likutishe tu. Hakuna wa kuisimamisha CCM. HIVI WEWE BARCELONA IKICHEZA NA POLISI MORO LIKO WAZI HATA KAMA REFA AMETOKEA MORO BARCA ITASHINDA TU. SASA 2015 HAKUNA MJADALA CCM ITASHINDA NA CHEDEMA MKICHEZA VIBAYA HATA VITI VYA UBUNGE VITAPUNGUA. TUMEDHAMIRIA.
Hivi nawe unajiita kiongozi? Kweli tz tumrudie Mungu kama watu wenye upeo mgando kama wewe nao ni viongozi wa tz mhh nadhan hii itakua laana.
 
Hizi ndoto za mchana baada ya kupiga viroba ni mbaya sana
 
Ccm ni taasisi, hakuna siku itakufa labda siku vyama vya siasa vikifutwa na nchi kutawaliwa kijeshi na mwana ccm. Ngo na vyama vya kufa na kuzikana kama chadema ndivyo vitakufa

hapo unajibu hoja namna hiyo as if ni mshabiki tu wa itikadi u try to show pipo how hopless u are.
 
Malaka unakataa ukweli? Kuna watu kwa kuandamana ni kazi inawapatia viroba siku hiyo na wengine 1000 ili wahamasishe maandamano. Lakini CCM ITASHINDA TU. UTANIAMBIA.
Jamani wana jf huyu wala sio Mwigulu ni kibaka tu kaamua kutumia hiyo id. Mwigulu ninae mwelewa hata kuandika shida. Anatuchanganya huyu. Wewe so mwigulu mbwa wee!
 
yani hakuna watu wananifurahisha kama chadema... hivi kweli chadema saccoss ndo kipewe nchi ...yani ntatembea uchu ..chama hata makatibu wa wilaya hawana..... chadema mkumbuke mlishinda ubunge baadhi ya viti kwa sababu ya ccm wenyewe waligombana ndani kwa ndani;;lakini ukweli ccm ya sasa imekaa sawa kuna majimbo ya chadema 2015 yanarudi ccm najua povu litawatoka sana .... 2015 nimefanya vs ntafanya ... unawaza pata mtoto wakati hata uzazi huna chadema......................... ccm kaza buti kutekeleza sela za chama hawa waache waaendelea na porojo za fujo za m4c.... 2015 tumejenga usafiri wa bus yaendayo kasi dar, mikoa yote imeunganishwa kwa lami,kila kijiji kina zahanati na watalaamu, tumejenga daraja la kilombero muda wote wapogolo wanapita,daraja la maragarasi linapitika ,mikoa ya mtwara sasa inaumeme unaotokana na gas na kuunganisha umeme ni 99000/= tu etc ...sa sijui chadema mtaendelea na porojo serikali hajafanya kitu wakati wananchi wanaona. porojo za ufisadi zimechokwa mana ndo ilikuwa wimbo 2010 tafuteni wimbo mwingine........ kumbukeni ccm tayari wana kitu mkononi huku chadema kinawaza kuzaa wakati hakina kizazi
 
kife tu maana wanaokuja likizo wakirudi hadithi ni moja usifanye mchezo na Tz kama una ndio una, sasa si hatari hiyo. i dont know what other reason Tanzanians needs not to vote CCM anymore.
 
Labda kuna CCM ITASHINDANA HUMUHUMU JF ns chadema. Lakini kwa kura uraiani kule. CCM ITASHINDA NUSU SAA TU BAADA YA VITUO KUFUNGULIWA. VITU AMBAVYO NINAUHAKIKA VITATOKEA 2015
1) CCM ITASHINDA
2) WANA JF wengine hata kura hamtapiga mtakuwa busy kutukana humu wakati wana CCM wakipiga kura
3) Wasio na kazi wataandamana
4) watakaopewa viroba watafanya vurugu na kutakuwa na watu wa kutosha tu kupambana nao walisomea kazi hiyo na wanalipwa kwa kazi hiyo.
UNAYEOTA ENDELEA KUOTA , NJOO NA MIFANO HATA YA KUZIMU. ILA CCM ITASHINDA 2015. HILI SIO LA MJADALA

Hivi hiki cheo ulichonacho hakina hadhi cku hizi? si umwachie Nape? wewe uafanye kazi zingine angalau ufiche huu ukame wako wa hoja. Nionavyo mm we ni muuaji na 1 wa ccm. NKM NEEDS TO BE SOBER!!!
 
kife tu maana wanaokuja likizo wakirudi hadithi ni moja usifanye mchezo na Tz kama una ndio una, sasa si hatari hiyo. i dont know what other reason Tanzanians needs not to vote CCM anymore.
 
profilepic10873_8.gif

Need I say more?
Okay, CCM bila dola haiwezi kudumu, wanna bet?
 
Pole sana kamanda kwa mawazo mgando na ndoto za kusadikika.Nasema hakuna chama kinachoweza kuishinda CCM iwe mwaka 2015 au 2025 au 2035 na kuendelea.Badilisha mawazo yako ili mwaka 2015 CDM itakapopoteza majimbo yake mengi iliyonayo sasa na kuwa kama NCCR usife kwa presha. CCM Jana-CCM Leo -CCM Kesho.

kwa lipi hasa lililo ccm,kama mtwara wamewachoka, mabingwa wa kuvumilia nania tawaweza:A S 11:
 
Back
Top Bottom