CCM kitakufa mwaka 2015 na hakitarudi tena

CCM kitakufa mwaka 2015 na hakitarudi tena

Shomari hujui kwenye uchumi daraja la kwanza tunasoma nini ndio maana unapima kwenye thread za jf. Kuna thread tunayoijadili kwa kutumia Koutsoyiannis humu? La ngrangian?. Cob dougglus function?. Msikimbilie issues za kitaalamu kwenye vitu visivyo vya kitaalam. Kuna sehem gani ya kuweka uchumi hata wa form two wa demand and supply kwenye thread hii. Narudia, 2015 CCM ITASHINDA NUSU SAA TU BAADA YA VITUO KUFUNGULIWA .
wewe kweli ziro.
 
Tanira napata tabu kujibizana na watu walioficha jina unaweza jibizana na jini. Pili napata tabu kuongelea majina maana sio hoja yenye kuongeza tija. Ninachoona umekaririshwa vitu usivyojua. Kinyumbani kuna majina ya ukoo ambayo hata usipotumia yapo tu mfano mwanangu yeyote wa kiume ni kitundu hata wawe kumi na wa kike msua kwa ukoo ila wanakuwa na majina yao hivi yuko Joshua na Gracoius. Mimi na kaka zangu wote ni shumbi, dada zetu ntulu halafu tunakuwa na majina yetu, halafu baba mkubwa, mdogo na baba wote ni mkumbo dada zao kilie halafu wanakuwa na majina yao. Sasa jina la machungani niliitwa mwigullu, au mgulo au mbaga nilipopelekwa cliniki nikapewa majina ya mganga wa zahanati ya mkulu aliyekuwa akiitwa Lameck. Kuna upuuzi umekuwa ukiaminishwa kuwa mimi sikufaulu badala yake nilinunua jina la mtu aliyefaulu. Si kweli. Nilifanya mtihani tena na picha nilipiga. Hii mkumbo unayotafuta haiwezionekana kama ilivyo kitundu ilivyo kwa mwanangu utasikia akiitwa tu Joshua. Ukirudi Meatu hawa wanangu wakike wataitwa Ng'washi kisukuma. Uliza kwa wanyiramba kabla ya kuona hii ni hoja.
nimekuelewa mkuu nimekosa kitufe cha like hii ndio inatakiwa na kama unalolieleza ni kweli basi nimekalilishwa kula like mkuu
 
Ccm ni taasisi,
hakuna siku itakufa labda siku vyama vya siasa vikifutwa na nchi
kutawaliwa kijeshi na mwana ccm. Ngo na vyama vya kufa na kuzikana kama
chadema ndivyo vitakufa

Bro, itakuchukua muda kuelewa. Kwa taarifa yako tajiri huwa hafahamu kuwa anafilisika.
 
kwa maoni yangu mimi naona kila dalili ya ccm kufuata kanu adui mkubwa wa kung'oa ccm ni umasikini wetu, ufisadi, kuficha fedha za kifisadi nje n.k
 
Mwigulu Nchemba huo ukasiri umeupata wapi kusema ccm watashinda nusu saa baada ya vituo kufunguliwa?
Au unataka kutuaminisha kuwa mpaka wakati huo hakutakuwa na independent electoral commossion?

Kumbe bado hujafanya tathmini kujua Tanzania ya 2010 haitakuwa ya 2015.
Hizi porojo zenu humu hazitaweza kusaidia badala yake watumikieni wananchi walio wengi, siwezi kusema wananchi waliowachagua kwakuwa mlichaguliwa na nec na mmewatumikia kweli.
Mwigulu unashindwa kufanya assessment hata ndogo kujua kuporomoka kwa umaarufu wa ccm?
Angalia mfano chaguzi ndogo zilozofanyika ukiangalia waliopoteza ni ccm. 2015 itakuwa ni pigo la kusikitisha kwa ccm, manake hata usalama wa taifa wamewachoka, wamewabeba lakini hambebeki
 
Last edited by a moderator:
Labda kuna CCM ITASHINDANA HUMUHUMU JF ns chadema. Lakini kwa kura uraiani kule. CCM ITASHINDA NUSU SAA TU BAADA YA VITUO KUFUNGULIWA. VITU AMBAVYO NINAUHAKIKA VITATOKEA 2015
1) CCM ITASHINDA
2) WANA JF wengine hata kura hamtapiga mtakuwa busy kutukana humu wakati wana CCM wakipiga kura
3) Wasio na kazi wataandamana
4) watakaopewa viroba watafanya vurugu na kutakuwa na watu wa kutosha tu kupambana nao walisomea kazi hiyo na wanalipwa kwa kazi hiyo.
UNAYEOTA ENDELEA KUOTA , NJOO NA MIFANO HATA YA KUZIMU. ILA CCM ITASHINDA 2015. HILI SIO LA MJADALA

Haya maneno yanatoka kwa Naibu Katibu Mkuu wa chama kilichoko madarakani!!kwamba kuna watu washaandaliwa kwa ajili ya kuwatuliza CHADEMA wasidai haki atakama watakuwa na sababu ya kudai haki hiyo?

Tuta refer hapa ikifika hiyo 2015 kwamba katibu mkuu alishasema....!
 
Tanira napata tabu kujibizana na watu walioficha jina unaweza jibizana na jini. Pili napata tabu kuongelea majina maana sio hoja yenye kuongeza tija. Ninachoona umekaririshwa vitu usivyojua. Kinyumbani kuna majina ya ukoo ambayo hata usipotumia yapo tu mfano mwanangu yeyote wa kiume ni kitundu hata wawe kumi na wa kike msua kwa ukoo ila wanakuwa na majina yao hivi yuko Joshua na Gracoius. Mimi na kaka zangu wote ni shumbi, dada zetu ntulu halafu tunakuwa na majina yetu, halafu baba mkubwa, mdogo na baba wote ni mkumbo dada zao kilie halafu wanakuwa na majina yao. Sasa jina la machungani niliitwa mwigullu, au mgulo au mbaga nilipopelekwa cliniki nikapewa majina ya mganga wa zahanati ya mkulu aliyekuwa akiitwa Lameck. Kuna upuuzi umekuwa ukiaminishwa kuwa mimi sikufaulu badala yake nilinunua jina la mtu aliyefaulu. Si kweli. Nilifanya mtihani tena na picha nilipiga. Hii mkumbo unayotafuta haiwezionekana kama ilivyo kitundu ilivyo kwa mwanangu utasikia akiitwa tu Joshua. Ukirudi Meatu hawa wanangu wakike wataitwa Ng'washi kisukuma. Uliza kwa wanyiramba kabla ya kuona hii ni hoja.

Ndugu Lameck Mkumbo Madelu naona leo umeamua kuingia JF kujibu mashambulizi ya ccm kufa 2015.
Tafadhali usiishie hapa, pitia na ile thread ya utata wa jina lako. Litakuwa jambo la heshma sana kama utaondoa huu utata unaokuzunguka.
Kwakuwa hapa umeamua kufungua parachuti basi ni vizuri haya majibu ukayapeleka kunako thread husika, vinginevyo ile thread unayodai inapotosha ikibaki vilevile watu wataendelea kujua kwamba ulikwiba jina la mtu na hukufaulu kama unavyojinasibu hapa.
 
Haya maneno yanatoka kwa Naibu Katibu Mkuu wa chama kilichoko madarakani!!kwamba kuna watu washaandaliwa kwa ajili ya kuwatuliza CHADEMA wasidai haki atakama watakuwa na sababu ya kudai haki hiyo?

Tuta refer hapa ikifika hiyo 2015 kwamba katibu mkuu alishasema....!

Wala usitie shaka hata kidogo na huu mkwara mbuzi wa lameck madelu a.k.a mwigulu nchemba.
Ukweli asioufahamu ni kwamba si JWTZ, Police, Tiss, Magereza, Immigration, Fire and rescue, Mgambo wanaiunga mkono Chadema sasa sijui huo muda wa kuiba kura wataipata wapi.

Tumejiandaa na tunaendelea kujiandaa kuhakikisha kwamba uchaguzi ujao wa 2015 hatutaibiwa hata kura 1.
 
Unajua kusoma? Hajui nilichoandika? As i said hapa unaweza kubishana na jini maana mtu makini huna haja ya kutumia id fake
 
Mwita uibiwe kura zitakwepo. Nani achague chama ambacho viongoz wake wa kitaifa wanapanga na kutekeleza mauaji
 
Mwita uibiwe kura zitakwepo. Nani achague chama ambacho viongoz wake wa kitaifa wanapanga na kutekeleza mauaji

kwa hiyo mwangosi kauawa na Dr slaa,kule ndago kuna uthibitisho kuwa umesomewa dua na Albadiri kwa kuwanywesha vijana Mbundi wakavamie mkutano wa cdm.LAMECK mwisho wako m'baya.
 
Shomari hujui kwenye uchumi daraja la kwanza tunasoma nini ndio maana unapima kwenye thread za jf. Kuna thread tunayoijadili kwa kutumia Koutsoyiannis humu? La ngrangian?. Cob dougglus function?. Msikimbilie issues za kitaalamu kwenye vitu visivyo vya kitaalam. Kuna sehem gani ya kuweka uchumi hata wa form two wa demand and supply kwenye thread hii. Narudia, 2015 CCM ITASHINDA NUSU SAA TU BAADA YA VITUO KUFUNGULIWA .

Ni hivi ndugu Mwigulu , kwa namna unavyo reason kwenye hii thread , huonyeshi hata kama ulihudhuria kozi yoyote , hatuhitaji u apply digrii yako ya daraja la kwanza hapa, bali hoja zako hazioani na uwezo wa elimu unaodai unao ! ndiyo maana Jf inatilia mashaka hiyo Elimu yako .
 
Mwita uibiwe kura zitakwepo. Nani achague chama ambacho viongoz wake wa kitaifa wanapanga na kutekeleza mauaji

Mwigulu umesahau jinsi ulivyotoka Arumeru kwa aibu pamoja na kumwaga rushwa hadi katika mikusanyiko ya kanisa? Tunajua mnapanga mipango mingi ya mauaji ili kulazimisha kubaki madarakani lakini nakupa onyo ndugu lameck mwaka 2015 hatutakubali kuibiwa hata kura moja, kama unadhani majeshi yatakuwa upande wenu basi ujue Mungu atakuwa upande wetu.
 
Pole sana Mwigulu Nchema.Hizo ni kauli tu za siku zote ambazo mtu akipata taarifa za msiba wa ndugu yake wa karibu hushikwa na putwa na kutaka kupinga taarifa hiyo kuonesha kuwa hafurahishwi wala hakuitegemea hiyo taarifa yaani hupatwa na Mshangao.Hivyo na wana Jf forum naomba Msimshangae Nchemba kutoa kauli hiyo.Maana anonesha hajaamini kama ccm imeshakufa na kuzikwa rasmi ni 2015.kaka Mwigulu ukweli ndo huo CCm itazikwa rasmi 2015.
 
Labda kuna CCM ITASHINDANA HUMUHUMU JF ns chadema. Lakini kwa kura uraiani kule. CCM ITASHINDA NUSU SAA TU BAADA YA VITUO KUFUNGULIWA. VITU AMBAVYO NINAUHAKIKA VITATOKEA 2015
1) CCM ITASHINDA
2) WANA JF wengine hata kura hamtapiga mtakuwa busy kutukana humu wakati wana CCM wakipiga kura
3) Wasio na kazi wataandamana
4) watakaopewa viroba watafanya vurugu na kutakuwa na watu wa kutosha tu kupambana nao walisomea kazi hiyo na wanalipwa kwa kazi hiyo.
UNAYEOTA ENDELEA KUOTA , NJOO NA MIFANO HATA YA KUZIMU. ILA CCM ITASHINDA 2015. HILI SIO LA MJADALA

migulu chemba hiyo reaction yako na kubwabwaja kwako hakitosaidia we kurudi bungeni, ebu anza kuaga bungeni make nasie chadema kwa garama yoyote tumeshakumaliza na kinachosubiriwa ni kumwapisha mbunge mpya tu wa wana iramba,
iwe kwa viloba au kwa kutopiga kula mwigu 2016 tarehe kama hizi utakua kama wengine waliobaki lumumba kuomba msaada
 
Back
Top Bottom