CCM kitakufa mwaka 2015 na hakitarudi tena

CCM kitakufa mwaka 2015 na hakitarudi tena

Maboksi tupu ya biskuti, Hot pots na Thermos sasa hivi zimeisha kabisa madukani na super markets. Hata machinga hawana. Zote zimenunuliwa na CCM kwa ajili ya kuibia kura 2015
 
Ccm ni taasisi, hakuna siku itakufa labda siku vyama vya siasa vikifutwa na nchi kutawaliwa kijeshi na mwana ccm. Ngo na vyama vya kufa na kuzikana kama chadema ndivyo vitakufa

CCM siyo taasisi ni Syndicate!! Kawatafute UNIP na KANu walikopotelea. Siku mkiondoka hakuna kurudi bro!!
 
Pole sana kamanda kwa mawazo mgando na ndoto za kusadikika.Nasema hakuna chama kinachoweza kuishinda CCM iwe mwaka 2015 au 2025 au 2035 na kuendelea.Badilisha mawazo yako ili mwaka 2015 CDM itakapopoteza majimbo yake mengi iliyonayo sasa na kuwa kama NCCR usife kwa presha. CCM Jana-CCM Leo -CCM Kesho.

umeongea utafikiri umetoka usingizini, hapo umetumia akili yako au ni ya kuazima, vigezo ulivyotumia kuwa ccm itatawala daima ni vipi ? wewe jibu ni nani msafi wa kuweza kusimama ndani ya ccm mbele ya umma wa watanzania kuomba ridhaa ya kuongoza !
 
Ccm ni taasisi, hakuna siku itakufa labda siku vyama vya siasa vikifutwa na nchi kutawaliwa kijeshi na mwana ccm. Ngo na vyama vya kufa na kuzikana kama chadema ndivyo vitakufa

tunayachukua maneno yako kama yalivyo na kusubiri wakati ufike maana hamtakubali nchi iende upinzani kwa uroho wenu wa madaraka. Kwa upande mwingine wa kauli yako ni kuwa ccm si taasisi bali ni kikundi cha wanamapinduzi ambao wako radhi kukaa madarakani kwa gharama yoyote ile. Ukweli ni kuwa nguvu ya umma ndio itakayoamua sasa na baadae na wala si hilo jeshi mnalolitegemea
 
Ccm ni taasisi, hakuna siku itakufa labda siku vyama vya siasa vikifutwa na nchi kutawaliwa kijeshi na mwana ccm. Ngo na vyama vya kufa na kuzikana kama chadema ndivyo vitakufa

mwigulu tunaanza na jimbo lako.lazima chadema iliyoasisiwa na shango pale kitumbili mbele ya kijiji cha uwanza,itakutoa madarakani. Na mimi nitagombea udiwani kwako kata ya kyengege,inayojumuisha vijiji 3.vya mugundu ,kwengege na kwenu makunda.ndipo utakula jeuri yakn .ndipo utajua kuwadanganya wana iramba magharib umefika mwisho wake.
 
Hakika wewe ni mbumbumbu, hujui usemalo. Nakujibu hivi: Iwapo UNIP ya Kaunda (Zambia), KANU ya Kenyatta/Moi (Kenya), UPC ya Obote (Uganda), kile cha Nkrumah (Ghana), UPRONA cha Rwagasore/Micombero (Burundi) na kile cha Habyarimana(Rwanda) vilirudi kutawala, basi na CCM nayo inaweza ikarudi kutawala. Ni kitu kisichowezekana kutokana na siasa za Kiafrika. Vyama vinapoondoka madarakani huwa vinatokomea nyikani.

silolote
 
kifo cha CCM.jpg hawa ndio wataipeleka CCM kaburini
 
Mwaka 2015 ni mwaka wa CHADEMA kuongoza Nchi hii, Nasema hivo baada ya kufanya tafiti za maeneao mbalimbali hapa Nchini na kugundua wengi wanaunga mkono jitihada za CHADEMA!

CHADEMA ni wembe wa kunyolea tena aina ya wembe unyoleao karatasi Ambao hupatikana viwandani tu na ambao huwa na Makari zaidi ya vipindi vi 4 baada ya kunyoa.

CHADEMA tuna jembe letu Dr SLAA.
CCM MTAMPA NANI? kwani wote wamechafuka na Richmond, Epa, Kagoda,Mapesa ya Uswis, Kutaka kuchakachua Gasi na kuileta Dar es salaam na Bagamoyo. Kwa nini Mnataka kupeleka Gasi Bagamoyo kwa Kikwete? je hao wananchi walopewa neema hiyo baada ya CCM kuaacha bila Barabara, Umeme, Maji na Afya hawafai? Hadi mtake Gasi iende Bagamoyo kwa Kikwete?

CCM mwisho wake ni 2015
Angalia wamepandisha Mafuta ya Taa ili wananchi washindwe kupika vyakula!!!!
Ndio maana nasema mwisho wa Kutawara kwa CCM ni 2015

Quote By Munyangaa View Post
Taarifa za ndani kutoka kwa viongozi wa juu wa chadema zinasema kuwa katibu mkuu mh. Dr Willbrod Slaa ndio chanzo cha migogoro mingi inayoendelea hivi sasa ndani ya chama. Kwa kiasi kikubwa migogoro hiyo inakiathiri chama japo kwa upande mwingine inakisaidia kujijenga.
Baadhi ya cases ambazo viongozi hao wametolea mfano ni hizi;
CDM ni chama kikubwa kwa sasa hivyo hayo unayoyasema yanaweza kuwepo. Ila napata wasiwasi mkubwa
1. Akiwa kwenye ziara za kuimarisha chama kwenye maeneo mbalimbali hapa Nchini, Dr Slaa amekuwa akiwafukuza viongozi mbalimbali kwenye mashina, hata wilaya. wanapofukuzwa viongozi hao huondoka na kundi la wanachama wanaowaunga mkono kitendo ambacho kinakigawa chama.
2. Dr Slaa anafanya mikakati ya chini chini kuandaa mazingira ya JOSEPHINE MUSHUMBUSI kugombea jimbo la kawe mwaka 2015, kwa maelezo kwamba mbunge wa sasa wa jimbo hilo Halima mdee ameshindwa kutekeleza ilani ya uchaguzi ya chama. Hali hii imesababisha mgogoro wa kiuongozi kati ya watajwa hao.
3.Uongozi wa chama ulipopata malalamiko haya ulimwandikia DR Slaa barua kumtaka asitishe ziara hizo badala yake atulie na kuandaa uchaguzi wa ndani ya chama baadae mwaka huu, lakini DR amekaidi agizo hilo na anaendelea na ziara hizo.
MY take; NAMSHAURI KATIBU WETU ASIWE ANAFANYA MAAMUZI YA HARAKA YA KUWAFUKUZA VIONGOZI HASA WALE WA MATAWI KWANI NDIO CHAMA KILIPO MANA WAO NDIO WANAISHI NA WANANCHI. NI VYEMA SANA DR SLAA AWE ANAPOKEA USHAURI KUTOKA KWA WAFAU MBALIMBALI WANAOKITAKIA MEMA CHAMA AMBACHO KINAJIANDAA KUSHIKA DOLA HAPO BAADAE.
 
Mwigulu habari yako kaka , ukweli ni kwamba Ccm , na wewe ukiwemo mnalindwa na Madaraka na hizo posho mnazogawana tu , huo mrija ukikatwa , yaani mkipigwa chini tu 2015 ( kumbuka kuwa hiyo haizuiliki ), wewe mwenyewe Mwigulu utakuwa miongoni mwa watu wa mwanzo kabisa kuingia mitini , yale majengo mliyoyapora na vile viwanja vya soka mlivyojimilikisha kwa njia haramu vikirejeshwa kwa wenyewe wananchi hamtaweza kusurvive , mmezoea vya bure tu , si unaikumbuka SUKITA ,marehemu Vijana jazz , hayati TOT ? Lakini mkikiri makosa yenu na kuweka wazi kila uchafu wenu wote hadharani , Mtasamehewa.
 
Kashfa ya katibu wa chama cha demokrasia na maendeleo (Chadema),Dk Willibrod Slaa imewekwa hadharani kwamba kiongozi huyo alifukuzwa upadri baada ya kutafuna mamilioni ya fedha zilizochangwa kwa ajili ya ujio wa hapa nchini wa Kiongozi wa Kanisa katoliki nchini duniani papa katika miaka ya tisini
Tuhuma hizo zimemwagwa na Waziri Steven Wassira katika mikutano ya kampeni za ccm kumnadi mgombea wa chama hicho sioi Solomon sumari katika Jimbo la Arumeru mashariuki

Tuhuma hizo zinakuja wakati vyama hivyo viwili vikubwa nchini vikirusiana vijembe na makombora mazito mazito
kashfa hiyo imetolewa katika vijiji vya kata Kikwe katika Jimbo hilo la Arumeru Mshariki Mkoani Arusha.
Wassira alisema kwamba Dk Slaa ambaye pia aliwahi kuwa katibu mkuu wa baraza la maaskofu nchini(TEC) kabla ya kukumbwa na kashfa hizo za kutafuna mamilioni hayo ya fedha zilizochangwa na waumini wa katoliki kutoka vigango na parokia mbalimbali nchini ili kufaniKisha ujio wa Papa miaka ya tisini kitendo kilichopelekea kufukuzwa kazi ya upadri.
amesisitiza kwamba kiongozi huyo hana kifua cha kupambana na ufisadi kwa kuwa hata yeye alitafuna fedha za kanisa.
Aliwataka wakazi wa kata ya Kikwe kumuuliza Dk Slaa chanzo cha kufukuzwa upadri pindi atakapotia mguu ndani ya kata yao na kuwataka wakazi hao kutosikiliza sera za kiongozi huyo kwa kuwa si msafi wa kujipambanua kwamba anapambana na ufisadi nchini.
Alimtuhumu Dk Slaa Pia katika hatua nyingine anatuhumiwa kumfukuza kazi mhasibu wa chama hicho ngazi ya taifa kwa kosa la kukataa kutekeleza maagizo yake amlipe shilingi milioni 10 mchumba wake,Josephine Mushumbushi kitendo kinachotia mashaka ya uadilifu wa kiongozi huyo.
Hata hivyo,alishangaa kitendo cha Dk Slaa kuishi maisha ya uchumba wakati akiwa na umri wa miaka zaidi ya 60 na kudai kitendo hicho kinashangaza umma wa watanzania pamoja na wafuasi wa vyama vya siasa nchini.
 
Ccm ni taasisi, hakuna siku itakufa labda siku vyama vya siasa vikifutwa na nchi kutawaliwa kijeshi na mwana ccm. Ngo na vyama vya kufa na kuzikana kama chadema ndivyo vitakufa
Subiri zahama inaanzia kwako Iramba magharibi japokuwa unagenge la wahuni hilo genge litakugeuka siku moja na wote itakuwa ni people's.
 
Si muda mrefu CCM itapotea WHAT IS CCM KWA VIJANA WA LEO? waliopinda na kupigika kwa sababu ya CCM
 
Umewaweza hao magambas kwa mifano hai kabisa. mimi nawachallenji wataje hata chama kimoja hapa barani Afrika kilichoondolewa madarakani na baadaye kikarudi kushika dola -- kwa njia ya kura. Qakitaje ni chama gani. Vyama vya wezi huwa havirudi.
Mkuu ccm lazima ifutike kwenye historia ya nchi hii hata majengo yake tutauza
 
Back
Top Bottom