CCM kitakufa mwaka 2015 na hakitarudi tena

CCM kitakufa mwaka 2015 na hakitarudi tena

yani hakuna watu wananifurahisha kama chadema... hivi kweli chadema saccoss ndo kipewe nchi ...yani ntatembea uchu ..chama hata makatibu wa wilaya hawana..... chadema mkumbuke mlishinda ubunge baadhi ya viti kwa sababu ya ccm wenyewe waligombana ndani kwa ndani;;lakini ukweli ccm ya sasa imekaa sawa kuna majimbo ya chadema 2015 yanarudi ccm najua povu litawatoka sana .... 2015 nimefanya vs ntafanya ... unawaza pata mtoto wakati hata uzazi huna chadema......................... ccm kaza buti kutekeleza sela za chama hawa waache waaendelea na porojo za fujo za m4c.... 2015 tumejenga usafiri wa bus yaendayo kasi dar, mikoa yote imeunganishwa kwa lami,kila kijiji kina zahanati na watalaamu, tumejenga daraja la kilombero muda wote wapogolo wanapita,daraja la maragarasi linapitika ,mikoa ya mtwara sasa inaumeme unaotokana na gas na kuunganisha umeme ni 99000/= tu etc ...sa sijui chadema mtaendelea na porojo serikali hajafanya kitu wakati wananchi wanaona. porojo za ufisadi zimechokwa mana ndo ilikuwa wimbo 2010 tafuteni wimbo mwingine........ kumbukeni ccm tayari wana kitu mkononi huku chadema kinawaza kuzaa wakati hakina kizazi

zipo nyakati za porojo labda kama huoni au husikii hata mtwara hawawtaki ccm na wao ni mabingwa wa kuvumilia
 
CCM Lazima ife kwani mifano hai ipo kabisaaaaaaaaa! Tazama wanapeana vyeo watoto wao na kutafuna tunu zet, BABA wa Taifa hili Yaani MWALIMU Nyerere alizilinda leo, Wanauza hadi Twiga nje ya Nchi, Richmond, Kagoda,Meremeta, Kashfa za Rada, na kupandisha Mafuta ya Taa ili wastu wa kima cha chini wasipate nafuu ili wao waendelee kula soseji.
Narudia mimi ni Mwaharakati wa asasi za kiraia Nimefanya tafiti Nchi nzima Nimegundua SINGIDA NDO NGOME KUBWA YA CHADEMA na CCM 2015 haitashinda kabisa hapo Singida,
pia nimegundua kuwa DR SLAA ndio Chaguo la wengi na wanyonge wote wa Taifa hili la Tanzania,
SLAA Mungu akulinde uje upambane nao hawa Mafisadi na Utashinda kwa Kishindo. IKURU NI CHADEMA 2015.
 
Ccm ni Chama cha watoto wa Vigogo, January makamba, Husen mwinyi, Ridhwani na watoto wa viongozi ambao ni wakuu wa Wilaya ni utitiri mwingi inatia hofu nchi hii Watawaweka hata wajukuu wao.
Mwisho wa ccm in 2015 Wanyonge wote hawaitaki.
 
Labda kuna CCM ITASHINDANA HUMUHUMU JF ns chadema. Lakini kwa kura uraiani kule. CCM ITASHINDA NUSU SAA TU BAADA YA VITUO KUFUNGULIWA. VITU AMBAVYO NINAUHAKIKA VITATOKEA 2015
1) CCM ITASHINDA
2) WANA JF wengine hata kura hamtapiga mtakuwa busy kutukana humu wakati wana CCM wakipiga kura
3) Wasio na kazi wataandamana
4) watakaopewa viroba watafanya vurugu na kutakuwa na watu wa kutosha tu kupambana nao walisomea kazi hiyo na wanalipwa kwa kazi hiyo.
UNAYEOTA ENDELEA KUOTA , NJOO NA MIFANO HATA YA KUZIMU. ILA CCM ITASHINDA 2015. HILI SIO LA MJADALA

Kuna watu wamejitoa kwa hali na mali kulinda Kura kama ww ulivyojitolea kwa hali na mali kumfurahisha aliekuteua kuwa katibu mkuu!huwa nakushangaa sana kuvaa bendera ya Taifa ukiaminisha watu unauchungu na Nchi yako ila dhamira yako huwa inakutesa sana"HUNA UCHUNGU NA NCHI HII" shida zetu starehe zenu,tukilia sisi nyie mnacheka,Mmeshindwa kuunganisha bomba tu linalotoka mwanza kuleta maji Dar kisa halina 10% mnakimbili bomba la Gesi mtwara mpk Bagamoyo? Brother nakumind
 
Nasema CCM itakufa mwaka 2015, kwa sababu kuu niitajayo hapa, Lushoto CCM WAANZA KUFANYA VITISHO KWA VIONGOZI CHADEMA WAKE HAPO NDIO MWISHO WA CCM.
 
Ccm ni taasisi, hakuna siku itakufa labda siku vyama vya siasa vikifutwa na nchi kutawaliwa kijeshi na mwana ccm. Ngo na vyama vya kufa na kuzikana kama chadema ndivyo vitakufa

Tusiandikie mate kaka wala maneno mengi hayasaidii,Watanzania wamechoka na ahadi hewa na kugeuzwa watoto.Lets wait 2015.
 
yani hakuna watu wananifurahisha kama chadema... hivi kweli chadema saccoss ndo kipewe nchi ...yani ntatembea uchu ..chama hata makatibu wa wilaya hawana..... chadema mkumbuke mlishinda ubunge baadhi ya viti kwa sababu ya ccm wenyewe waligombana ndani kwa ndani;;lakini ukweli ccm ya sasa imekaa sawa kuna majimbo ya chadema 2015 yanarudi ccm najua povu litawatoka sana .... 2015 nimefanya vs ntafanya ... unawaza pata mtoto wakati hata uzazi huna chadema......................... ccm kaza buti kutekeleza sela za chama hawa waache waaendelea na porojo za fujo za m4c.... 2015 tumejenga usafiri wa bus yaendayo kasi dar, mikoa yote imeunganishwa kwa lami,kila kijiji kina zahanati na watalaamu, tumejenga daraja la kilombero muda wote wapogolo wanapita,daraja la maragarasi linapitika ,mikoa ya mtwara sasa inaumeme unaotokana na gas na kuunganisha umeme ni 99000/= tu etc ...sa sijui chadema mtaendelea na porojo serikali hajafanya kitu wakati wananchi wanaona. porojo za ufisadi zimechokwa mana ndo ilikuwa wimbo 2010 tafuteni wimbo mwingine........ kumbukeni ccm tayari wana kitu mkononi huku chadema kinawaza kuzaa wakati hakina kizazi

Kalaga baho.
 
CCM ni mwisho wa kutawala taifa letu lenye tunu na asali mwaka 2015
 
CCM Mmechoka na mwisho wenu ni 2015 mmeanza kushusha bendera za CDM kwa nini ?
LUSHOTO WAMEANZA KUSHUSHA NA KESI IPO POLICE Tayari.
 
Mimi binafsi nilianza kugundua MWIGULU kichaa pale alipotupa chini bajeti mbadala ya upinzani mpaka leo nimempa sifuri,elimu yake haijamsaidia kama walivyo wasomi wengine. Mtu mwenye hekima na busara zake huwa hajitambulishi kwa vyeo na elimu yake,bali jamii humtambua kwa vitendo vyake ktk shughuli za maendeleo. Hakuna asiyejua kwamba yeye ni mwanauchumi daraja la kwanza kwa kuwa huwa analisema hilo kila kukicha. Na kama una mkanda wa video unaonesha mipango ya cdm ktk kufanya mauji,mbona mauaji ni ya kutumia bunduki? Rejea mauaji ya mwandishi wa habari wa ch10 na yale ya arusha bla kusahau ya mwuza magazeti pale moro. Mi nafikiri kwa kukusaidia,ujipange tu vizuri kuachia ngazi maana jimbo lako limepata mwenye nalo kutoka cdm. Kumbuka unapokuwa unatoa kauli zako ktk vyombo vya habari watu wanakuchukia kama nini na km unataka kujua unapendwa au la pita mitaani sehemu yoyote Tanzania kwa mguu km haujapigwa mawe. Jitafakari na uogope kubeba laani ya nchi kwani siku zote mwongo kama wewe hataiona mbingu bila toba
 
Kama kweli wanajiamin kwa nini sasa wanaanza kushusha bendera za chadema?
 
Sasa angalieni Eti huyo ni Mbunge mtetezi wa Watu tena anakodisha wahuni waje waue kweli? Tunaomba serikari itoe fundisho kwa Mwigulu nchema aende jela kwa kosa la kuua
 
Nani asiyefahamu kuwa sisi raia hatutakuwa tayari kutawaliwa na ccm. Kufikia 2015 itakuwani ultimatum ya ccm, whether kwa kura ama kwa nguvu ya uma. Na wakina Mwigulu na mafisadi wengine mkatafute pa kuishi baada ya cdm kuchukua nchi wehu wakubwa nyie, yenyewe yanaona raha kutetea matumbo yao hata ikibidi kwa uongo au kwa kumwaga damu. Yaani kama mnategemea cdm ife, hata ikifa leo msidhani mtaiongoza hii nchi tena. Tupo wengi tuliochoshwa na utawala wa ccm, na hivyo tupo tayari hata kwa uasi kuliko kuendelea kuongozwa na ccm. KAMA UNABISHA WEWE MWIGULU SUBIRI UJE UONE, ITS JUST A MATTER OF TIME.
 
Mwigulu....hivi kwako ccm nini hata uwe na kiburi kiasi hicho. Tzn haitataliwakijeshi na mwana ccm yeyote...japo ndio plan yenu ya mwisho baada ya kushindwa uchaguzi 2015. Of course tunajua mlijaribu kupitia Shimbo uchaguzi uliopita this time don' t try again. Tuachie nchi yetu na watu wetu wakiwa salama. Mliyoyafanya yanatosha..meno ya yatembo, epa, .....
 
Back
Top Bottom