CCM kitakufa mwaka 2015 na hakitarudi tena

CCM kitakufa mwaka 2015 na hakitarudi tena

Ccm ni taasisi, hakuna siku itakufa labda siku vyama vya siasa vikifutwa na nchi kutawaliwa kijeshi na mwana ccm. Ngo na vyama vya kufa na kuzikana kama chadema ndivyo vitakufa

Mwigulu acha kujidanganya, CCM hana hati miliki ya hii nchi, note me "IT JUST A MATTER OF TIME" kama unabisha waulize KANU na UNIP cha Kaunda
 
Labda kuna CCM ITASHINDANA HUMUHUMU JF ns chadema. Lakini kwa kura uraiani kule. CCM ITASHINDA NUSU SAA TU BAADA YA VITUO KUFUNGULIWA. VITU AMBAVYO NINAUHAKIKA VITATOKEA 2015
1) CCM ITASHINDA
2) WANA JF wengine hata kura hamtapiga mtakuwa busy kutukana humu wakati wana CCM wakipiga kura
3) Wasio na kazi wataandamana
4) watakaopewa viroba watafanya vurugu na kutakuwa na watu wa kutosha tu kupambana nao walisomea kazi hiyo na wanalipwa kwa kazi hiyo.
UNAYEOTA ENDELEA KUOTA , NJOO NA MIFANO HATA YA KUZIMU. ILA CCM ITASHINDA 2015. HILI SIO LA MJADALA
 
Mkuu unamaanisha nini kusema ccm watashinda nusu saa baada ya vituo kufunguliwa?
 
Ccm ni taasisi, hakuna siku itakufa labda siku vyama vya siasa vikifutwa na nchi kutawaliwa kijeshi na mwana ccm. Ngo na vyama vya kufa na kuzikana kama chadema ndivyo vitakufa

na wewe unajiita mchumi daraja la kwanza?!!! elimu yako lazima itakuwa ni ya kuchakachua tu haki ya mungu natema mate chini ptuu!
 
Labda kuna CCM ITASHINDANA HUMUHUMU JF ns chadema. Lakini kwa kura uraiani kule. CCM ITASHINDA NUSU SAA TU BAADA YA VITUO KUFUNGULIWA. VITU AMBAVYO NINAUHAKIKA VITATOKEA 2015
1) CCM ITASHINDA
2) WANA JF wengine hata kura hamtapiga mtakuwa busy kutukana humu wakati wana CCM wakipiga kura
3) Wasio na kazi wataandamana
4) watakaopewa viroba watafanya vurugu na kutakuwa na watu wa kutosha tu kupambana nao walisomea kazi hiyo na wanalipwa kwa kazi hiyo.
UNAYEOTA ENDELEA KUOTA , NJOO NA MIFANO HATA YA KUZIMU. ILA CCM ITASHINDA 2015. HILI SIO LA MJADALA

dah ... hii mada imekuchoma kweli kweli

from your reaction .... i can read fear and worry persist
 
.....labda siku vyama vya siasa vikifutwa na nchi kutawaliwa kijeshi na mwana ccm...
Kabla ya kusema au kuandika watu huwaza sana. Lakini utofauti wao ni kwamba wakiisha sema au kuandika hubainika mhusika katumia ubungo upi?. Mwigulu Nchemba naye hapa kawaza na kututhibitishia peupe kuwa Jeshi nalo ni mali ya ccm na lina wana ccm! Kawaza!
 
  • Thanks
Reactions: FJM
CCM ITASHINDA NUSU SAA TU BAADA YA VITUO KUFUNGULIWA. VITU AMBAVYO NINAUHAKIKA VITATOKEA 2015

4) watakaopewa viroba watafanya vurugu na kutakuwa na watu wa kutosha tu kupambana nao walisomea kazi hiyo na wanalipwa kwa kazi hiyo.

mmmm....! So its true!
 
Nchema unaudhi sana, unadiriki kusema chadema ni chama cha kufa na kuzikana? Kwa hoja zako inaonyesha elimu ya Tz imeshuka sana, kama wewe una first class una argue hivyo, sijui wenye pass wata argue vipi. Huna hoja una argue kama mtu wa mtaani, eti wewe ndie naibu katibu mkuu, kama viongozi ndio nyie sioni kwanini ccm isife

First Class ya C.h.u..p1
 
Ccm ni taasisi, hakuna siku itakufa labda siku vyama vya siasa vikifutwa na nchi kutawaliwa kijeshi na mwana ccm. Ngo na vyama vya kufa na kuzikana kama chadema ndivyo vitakufa
we bwana unanishangaza sana likiletwa swala la lameck mkumbo ​huchangii na wala utaki kulisikia sasa ni amri kabla ujachangia chochote kuhusu ccm hebu fafanua swala la lameck mkumbo nakwambia tena hii ni amri
 
....Kwa hoja zako inaonyesha elimu ya Tz imeshuka sana, kama wewe una first class una argue hivyo, sijui wenye pass wata argue vipi. Huna hoja una argue kama mtu wa mtaani, eti wewe ndie naibu katibu mkuu, kama viongozi ndio nyie sioni kwanini ccm isife
Kwa ridhaa ya Mzee Mwanakijiji
Kuna tatizo katika uwezo wa watu wetu kujenga hoja zenye mantiki. Nadhani ipo haja ya kutoa semina ya bure tu juu ya Effective Arguing or something similar kwa sababu wakati mwingine nikiangalia TV n.k nashangaa watu wanaweza kushawishi watu wengine kwa hoja dhaifu zinazotolewa. Natamani LOGIC liwe somo la lazima kwa vyuo vyetu vikuu vyote.
 
Last edited by a moderator:
Shomari hujui kwenye uchumi daraja la kwanza tunasoma nini ndio maana unapima kwenye thread za jf. Kuna thread tunayoijadili kwa kutumia Koutsoyiannis humu? La ngrangian?. Cob dougglus function?. Msikimbilie issues za kitaalamu kwenye vitu visivyo vya kitaalam. Kuna sehem gani ya kuweka uchumi hata wa form two wa demand and supply kwenye thread hii. Narudia, 2015 CCM ITASHINDA NUSU SAA TU BAADA YA VITUO KUFUNGULIWA .
 
Kashfa ya katibu wa chama cha demokrasia na maendeleo (Chadema),Dk Willibrod Slaa imewekwa hadharani kwamba kiongozi huyo alifukuzwa upadri baada ya kutafuna mamilioni ya fedha zilizochangwa kwa ajili ya ujio wa hapa nchini wa Kiongozi wa Kanisa katoliki nchini duniani papa katika miaka ya tisini
Tuhuma hizo zimemwagwa na Waziri Steven Wassira katika mikutano ya kampeni za ccm kumnadi mgombea wa chama hicho sioi Solomon sumari katika Jimbo la Arumeru mashariuki

Tuhuma hizo zinakuja wakati vyama hivyo viwili vikubwa nchini vikirusiana vijembe na makombora mazito mazito
kashfa hiyo imetolewa katika vijiji vya kata Kikwe katika Jimbo hilo la Arumeru Mshariki Mkoani Arusha.
Wassira alisema kwamba Dk Slaa ambaye pia aliwahi kuwa katibu mkuu wa baraza la maaskofu nchini(TEC) kabla ya kukumbwa na kashfa hizo za kutafuna mamilioni hayo ya fedha zilizochangwa na waumini wa katoliki kutoka vigango na parokia mbalimbali nchini ili kufaniKisha ujio wa Papa miaka ya tisini kitendo kilichopelekea kufukuzwa kazi ya upadri.
amesisitiza kwamba kiongozi huyo hana kifua cha kupambana na ufisadi kwa kuwa hata yeye alitafuna fedha za kanisa.
Aliwataka wakazi wa kata ya Kikwe kumuuliza Dk Slaa chanzo cha kufukuzwa upadri pindi atakapotia mguu ndani ya kata yao na kuwataka wakazi hao kutosikiliza sera za kiongozi huyo kwa kuwa si msafi wa kujipambanua kwamba anapambana na ufisadi nchini.
Alimtuhumu Dk Slaa Pia katika hatua nyingine anatuhumiwa kumfukuza kazi mhasibu wa chama hicho ngazi ya taifa kwa kosa la kukataa kutekeleza maagizo yake amlipe shilingi milioni 10 mchumba wake,Josephine Mushumbushi kitendo kinachotia mashaka ya uadilifu wa kiongozi huyo.
Hata hivyo,alishangaa kitendo cha Dk Slaa kuishi maisha ya uchumba wakati akiwa na umri wa miaka zaidi ya 60 na kudai kitendo hicho kinashangaza umma wa watanzania pamoja na wafuasi wa vyama vya siasa nchini.
baada ya habari hiyo nzuri ya kuchonga kilitokea nini? wananchi wakasemaaa sio mzee kwa kuwa walishaachana na ile corus ya zamani ya ndio mzee ndivyo itakavyokuwa mkuu
 
Tanira napata tabu kujibizana na watu walioficha jina unaweza jibizana na jini. Pili napata tabu kuongelea majina maana sio hoja yenye kuongeza tija. Ninachoona umekaririshwa vitu usivyojua. Kinyumbani kuna majina ya ukoo ambayo hata usipotumia yapo tu mfano mwanangu yeyote wa kiume ni kitundu hata wawe kumi na wa kike msua kwa ukoo ila wanakuwa na majina yao hivi yuko Joshua na Gracoius. Mimi na kaka zangu wote ni shumbi, dada zetu ntulu halafu tunakuwa na majina yetu, halafu baba mkubwa, mdogo na baba wote ni mkumbo dada zao kilie halafu wanakuwa na majina yao. Sasa jina la machungani niliitwa mwigullu, au mgulo au mbaga nilipopelekwa cliniki nikapewa majina ya mganga wa zahanati ya mkulu aliyekuwa akiitwa Lameck. Kuna upuuzi umekuwa ukiaminishwa kuwa mimi sikufaulu badala yake nilinunua jina la mtu aliyefaulu. Si kweli. Nilifanya mtihani tena na picha nilipiga. Hii mkumbo unayotafuta haiwezionekana kama ilivyo kitundu ilivyo kwa mwanangu utasikia akiitwa tu Joshua. Ukirudi Meatu hawa wanangu wakike wataitwa Ng'washi kisukuma. Uliza kwa wanyiramba kabla ya kuona hii ni hoja.
 
Labda kuna CCM ITASHINDANA HUMUHUMU JF ns chadema. Lakini kwa kura uraiani kule. CCM ITASHINDA NUSU SAA TU BAADA YA VITUO KUFUNGULIWA. VITU AMBAVYO NINAUHAKIKA VITATOKEA 2015
1) CCM ITASHINDA
2) WANA JF wengine hata kura hamtapiga mtakuwa busy kutukana humu wakati wana CCM wakipiga kura
3) Wasio na kazi wataandamana
4) watakaopewa viroba watafanya vurugu na kutakuwa na watu wa kutosha tu kupambana nao walisomea kazi hiyo na wanalipwa kwa kazi hiyo.
UNAYEOTA ENDELEA KUOTA , NJOO NA MIFANO HATA YA KUZIMU. ILA CCM ITASHINDA 2015. HILI SIO LA MJADALA

ivi wagawa viroba na pilau si ndo nyie,Utaamini ikifika siku iyo ambayo badala ya kuweka bendera ya taifa shingoni UTAVAA PI..CHU KICHWANI.halafu mwigulu siasa za kizee za kutishana eti LAZIMA CCM ITASHINDA tushazoea..mtawatishia mabwege tu
 
Labda kuna CCM ITASHINDANA HUMUHUMU JF ns chadema. Lakini kwa kura uraiani kule. CCM ITASHINDA NUSU SAA TU BAADA YA VITUO KUFUNGULIWA. VITU AMBAVYO NINAUHAKIKA VITATOKEA 2015
1) CCM ITASHINDA
2) WANA JF wengine hata kura hamtapiga mtakuwa busy kutukana humu wakati wana CCM wakipiga kura
3) Wasio na kazi wataandamana
4) watakaopewa viroba watafanya vurugu na kutakuwa na watu wa kutosha tu kupambana nao walisomea kazi hiyo na wanalipwa kwa kazi hiyo.
UNAYEOTA ENDELEA KUOTA , NJOO NA MIFANO HATA YA KUZIMU. ILA CCM ITASHINDA 2015. HILI SIO LA MJADALA
Du siamini kama we ndio naibu katibu mkuu wa ccm. Embu angalia mwenyewe hapo kwenye namba 3. Hilo si tusi kwa watanzania au sion vizuri? We kweli una laana sio bure.
 
Mkuu Mwigulu,huu sio wakati wa kutishana Ati Lazima Magamba Yashinde,USIJEKUTA BADALA YA KUVAA BENDERA Shingoni UTAVAA PI..CHU YA MAMAPOROJO KICHWANI..hakuna ----- tena nchi hii
 
Dalai Lama viroba sisi hatugawi wala pilau. Sisi tunatekeleza ilani. Ila kuhusu ushindi liko wazi CCM LAZIMA ITASHINDA hilo lazima likutishe tu. Hakuna wa kuisimamisha CCM. HIVI WEWE BARCELONA IKICHEZA NA POLISI MORO LIKO WAZI HATA KAMA REFA AMETOKEA MORO BARCA ITASHINDA TU. SASA 2015 HAKUNA MJADALA CCM ITASHINDA NA CHEDEMA MKICHEZA VIBAYA HATA VITI VYA UBUNGE VITAPUNGUA. TUMEDHAMIRIA.
 
Malaka unakataa ukweli? Kuna watu kwa kuandamana ni kazi inawapatia viroba siku hiyo na wengine 1000 ili wahamasishe maandamano. Lakini CCM ITASHINDA TU. UTANIAMBIA.
 
Shomari hujui kwenye uchumi daraja la kwanza tunasoma nini ndio maana unapima kwenye thread za jf. Kuna thread tunayoijadili kwa kutumia Koutsoyiannis humu? La ngrangian?. Cob dougglus function?. Msikimbilie issues za kitaalamu kwenye vitu visivyo vya kitaalam. Kuna sehem gani ya kuweka uchumi hata wa form two wa demand and supply kwenye thread hii. Narudia, 2015 CCM ITASHINDA NUSU SAA TU BAADA YA VITUO KUFUNGULIWA .
mkuu unajua hapa tz tuna phd. za kutosha za uchumi? lakini kwa nini sisi masikini? ni kwa sababu tumekariri au tumesomea mitihani ''Dr.kitila mkumbo" kwa hiyo wewe ututishi na hizo term zako za kiuchumi kwa kuwa huna msaada wowote zaidi ya kutufirisi kifisadi you know y kwa sababu ulikariri kwa ajili ya mtihani. nilitegemea uchumi wako daraja I kama unavyojinadi ungeliflect hali yetu ya uchumi hapa tanzania ambapo kila mtanzania mpaka mimba anadaiwa "Mch.peter msigwa" so as I told you in my previous post, you have no right to discuss any issue here unless you emphasize to us about the name so called lameck mkumbo full stop
 
Back
Top Bottom