Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

ccm jangwani katika picha

Discussion in 'Jamii Photos' started by figganigga, Jun 9, 2012.

 1. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #1
  Jun 9, 2012
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 13,597
  Likes Received: 2,132
  Trophy Points: 280
  [​IMG]


  [​IMG]


  [​IMG]


  [​IMG]

  [​IMG]


  [​IMG]


  [​IMG]

  [​IMG]


  [​IMG]


  [​IMG]


  [​IMG]


  [​IMG]

  usafiri ulikuwepo wa kutosha. yaani magari yalikuwa mengi kuliko watu

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  wanaccm wakisikiliza mziki wa twanga pepeta

  [​IMG]

  wengine walikuwa wakiona aibu kupigwa picha.

  [​IMG]

  wanaccm wakimsikiliza nape


  [​IMG]

  [​IMG]

  wanaccm wakimsikiliza magembe na sera za maji.

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]
  walio kosa viti walisimama kwa nyuma

  [​IMG]

  watu walikuwa wengi kiasi kwamba nape alikuwa akirudia neno "wanaweza...???" kila dakika.
  [​IMG]
  chombo chao cha habari kilikuwepo.mia
   
 2. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #2
  Jun 9, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 10,967
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Yao ngumu kumeza!
   
 3. Janjaweed

  Janjaweed JF-Expert Member

  #3
  Jun 9, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 9,440
  Likes Received: 765
  Trophy Points: 280
  gloomy faces... expression za despair

  mbayaaa
   
 4. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #4
  Jun 9, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,107
  Likes Received: 791
  Trophy Points: 280
  Naomba kuuliza ulikuwa msibaaaaaaaaaaa au mkutano? maana watu wamekata tamaa utadhani utadhani msiba wa kijana mwenye umri wa chini ya miaka 20..........
   
 5. kadoda11

  kadoda11 JF-Expert Member

  #5
  Jun 9, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,585
  Likes Received: 1,510
  Trophy Points: 280
  duu ccm kweli kiboko.kwa speed hii lazima itashinda 2015 kwa kupata kura chache sana au kukosa kabisa.:A S 100:
   
 6. Suzie

  Suzie JF-Expert Member

  #6
  Jun 9, 2012
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 1,264
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Kwahiyo macho yako yalipoupelekea ubongo wako na wenyewe ukatafsiri hii ndo nyomi. Teh teh te teh nicheke niongeze siku miye
   
 7. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #7
  Jun 9, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 36,612
  Likes Received: 16,489
  Trophy Points: 280
  Dah
  once upon a time kulikuwa na a powerful political party called CCM...
   
 8. N

  Nicas Mtei JF-Expert Member

  #8
  Jun 9, 2012
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 11,547
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 145
  Umerejea tena mzee wa Mia? Karibu sana
   
 9. Bushloiaz

  Bushloiaz JF-Expert Member

  #9
  Jun 9, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 468
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Hivi hiki ndio kile chama numbro uno?kweli mbuzi yake kamba ukimuona na mnyororo huyo mbwa
   
 10. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #10
  Jun 9, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 28,687
  Likes Received: 3,564
  Trophy Points: 280
  aliyebuni kuweka viti mjanja sana, kaujaza uwanja
   
 11. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #11
  Jun 9, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 38,744
  Likes Received: 3,092
  Trophy Points: 280
  Ninakukubalia msemo wako Mkuu.. Bushloiaz wengi wa inzi hauwezi kumaliza Mavi hahahahahahahah kasheshe kweli chama cha magamba.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 12. k

  kitero JF-Expert Member

  #12
  Jun 9, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 563
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Uzuri wa kanga manyoya yake! kufa kwa chama ni matendo na sera zake
   
 13. S

  Senator p JF-Expert Member

  #13
  Jun 9, 2012
  Joined: Oct 27, 2011
  Messages: 283
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ulijuaje bc,chanel ya magamba na sio ya watanzania.
   
 14. The secretary

  The secretary JF-Expert Member

  #14
  Jun 9, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 4,158
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  na wasingeenda na magari kuwasomba wazee kwenye kata lingebaki jukwaa.hao wazee walifikiri kuna ubwabwa?
   
 15. Graph Theory

  Graph Theory JF-Expert Member

  #15
  Jun 9, 2012
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 3,481
  Likes Received: 477
  Trophy Points: 180
  Naona watu ambao bado hawajasoma ni mtaji wa sisiemu pamoja na maskini ambao hata hela ya kununulia nguo wanakosa so they see CCM as their father to provide clothes for them.
  The unseen is illustrated by the seen.
   
 16. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #16
  Jun 9, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 22,367
  Likes Received: 13,756
  Trophy Points: 280
  Kuibia darasani ni kujidanganya,
  Siku ya mtihani utaumbuka.

  [​IMG]s
   
 17. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #17
  Jun 9, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,049
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Kweli hili ndo nyomi la ki-nyinyiem!
   
 18. I

  IPECACUANHA JF-Expert Member

  #18
  Jun 9, 2012
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 1,628
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  KIKWETE chama kinamfia mikononi mwake. Uongozi wakufuata mtandao uliopo umegeuka sumu.
   
 19. Bosco Ntaganda

  Bosco Ntaganda JF-Expert Member

  #19
  Jun 9, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 547
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Hawa wajinga, masikini ndio wanatuchelewesha, lakini tutafika tu
   
 20. asigwa

  asigwa JF-Expert Member

  #20
  Jun 9, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 11,984
  Likes Received: 7,354
  Trophy Points: 280
  sisiem bwana.. na fujo zote zile za kujinadi ndo mkutano uko hivi nawapa pole ssana mwaka 2015 kitaeleweka tuu
   
Loading...