1. Lusinde (matusi fleva)Tuanze kuhesabu wenye vipaji waliopo ccm hakika mtaamin maneno yangu ni funika mbaya!
Vipaji gani hivyo?
Katika uchaguzi wa EALA leo CCM tumeonyesha vichwa vya maana upinzani longolongo tu
Akili ya viroba na ndumu tu ndo unaweza sema maneno haya!