CCM inatisha kwa vipaji

CCM inatisha kwa vipaji

Chama kipya cha JK ni UPDP cha ustaadh Yammy Nassoro Dovutwa.
 
Tuanze kuhesabu wenye vipaji waliopo ccm hakika mtaamin maneno yangu ni funika mbaya!
 
Ahhh mambo mengine sio hata ya kusema
Ungenyamaza kimya tuu bila kutoa sifa za ajabu ambazo zitakufanya uonekane kituko
 
CCM hivyo vipaji vyenu ndo vimeizamisha nchi hii wabunge wenu wanasinzia hovyo tu..ndo vipaji vyenyewe hivyo.
 
Katika uchaguzi wa EALA leo CCM tumeonyesha vichwa vya maana upinzani longolongo tu

Hakika vipaji mnavyo CCM:


  1. Kuimba kwaya (John Komba)
  2. Kuganga na kuchawia (Maji Marefu)
  3. Kutukana (Lusinde)
  4. Kuiba Kura (Karibu Wote)
 
Back
Top Bottom