CCM inapitisha bakuli (Tone tone) kwa makampuni

Ubaya Ubwela

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2024
Posts
2,711
Reaction score
6,474
Nakusogezea hii habari toka kwa Mange kimambi kama iivyo

(This is nothing but uhujumu uchumi, ufisadi, uonevu, rushwa, udhulumat etc. CCM inatuma barua hizi za kuomba pesa za uchaguzi kwa makampuni binafsi, hivi kuna kampuni itakayodhubutu kutokutoa michango? Hivi kuna kampuni itayo dhubutu kukataa kutoa michango kwa CCM?? Alafu wakishawapora wafanyabiashara pesa kama hivi then wanacheka upinzani kuchangisha wananchi kwenye tone tone.)
20250519_091019.jpg
 
View attachment 3338644
Chama Cha Mafisadi
 
Ni kawaida sana.
 
Watadai ni FAKE.

Anyway, hiyo pesa kuna watu watsipiga juu kwa juu. Mother tsyari ana mafungu ya kufa mtu kutoka kwa Wajomba.
 
Kuchangia kampeni ni vitu vya kawaida kabisa.
Hata Upinzani si unaona kuna tone tone
 
Mapesa yote wanayojichotea hayatoshi tu kugharamia uchaguzi?
 
Nakusogezea hii habari toka kwa Mange kimambi kama iivyo

(This is nothing but uhujumu uchumi, ufisadi, uonevu, rushwa, udhulumat etc. CCM inatuma barua hizi za kuomba pesa za uchaguzi kwa makampuni binafsi, hivi kuna kampuni itakayodhubutu kutokutoa michango? Hivi kuna kampuni itayo dhubutu kukataa kutoa michango kwa CCM?? Alafu wakishawapora wafanyabiashara pesa kama hivi then wanacheka upinzani kuchangisha wananchi kwenye tone tone.)
View attachment 3338644
Hii ni michango au mikopo?
 
Back
Top Bottom