CCM inaongoza uchaguzi wa majimbo mpaka sasa

CCM inaongoza uchaguzi wa majimbo mpaka sasa

hapa tarime nimekuja nina siku kila mtaa ni DR MAGHUFULI DUUH HUYU JAMAA NI TAYARI KASHAKUWA RAIS
 
Subir mwone kitacho wakuta kwenye pingamiz zenu bubu.ukawa sheria inaishi na kulala kwao.
 
Wacha utani Mjomba??? unaijuwa Mwanza ? Jimbo la Mwanza halipo......
Tuna Nyamagana CCM ----- Mabula Mwanaume
Na Ilemela CCM Mabula Mwanamke..... WANANZENGO hatutaki ujinga Mwaka huu LIBERATION kwa KISUKUMA

ukabila @work
 
Mwisho wa Reli wanazipiga huko Kila chama kimeweka Mgombea wake .....Hakuna Muungano wala Ukawawa!

UKAWA(Umoja na KAushirika ka WApinzani) kanawaka moto Rchuga kata 8 za maalim hahaa prof ye katuli uuwii oktoba haitafika watamalizana!
 
CCM tushawasha mashine zetu wanaotaka watufate

UTABIRI;
matokeo ya Kaumoja kao
uwezo wa kukusanya kura kutoka kwa wananchi 1.CD 34.5% (2)CU 3.5% (3) EL & Bros 2.%. jumla 40.%,wapinzani wengine(nje ya kaumoja) 0.5% ....
 
Hivyo ndivyo kushnei itakuwa sidhani kama flactuation itakuwa kubwa +/- 1.5%
 
Acha kupotosha watu... Hivi kuwanunua wagombea, kutumia hila za kuficha form za wagombea wa upinzani nao ni ushindi ambao Mbunge anaweza akasimama na kujitapa kwamba ni mwakilishi wa Jimbo husika kihalali??

Kwenye demokrasia pana.. hata kama unagombea peke yako.. utapigiwa kura ya ndiyo au hapana. Lengo ni sauti ya watu isikike..

Acha kua mpumbavu na lofa uliwanunua wewe ama unaushahidi kwa usemalo mpeleke baba ako basi akashindane na hao walikwisha kupita.Kwahiyo ulitaka NEC wawaache tu na wakati hawajatimiza masharti hivi kwann UPAWA mnakua kama taili la gari ukipelekwa mbele unaenda ukirudiswa nyuma unaenda mkitendewa mazuri kwenu kosa mkitendewa mabaya pia kwenu ni kosa acha uchawi bwana nenda kakojoe usubiri breakfast.
 
Subir mwone kitacho wakuta kwenye pingamiz zenu bubu.ukawa sheria inaishi na kulala kwao.

kama upawa sheria inaishi na kulala kwao CCM ndio wenye nyumba na funguo sasa sijui utalala wapi kama nikikunyima funguo acha uchawi wa mchana embu njoo tupige big support kwa upcoming president MAGUFULI #HAPAKAZITU
 
hapa tarime nimekuja nina siku kila mtaa ni DR MAGHUFULI DUUH HUYU JAMAA NI TAYARI KASHAKUWA RAIS

Tena huyu ndio kiongozi atakaewatia heshima hawa upawa na mafisadi wake maana wanazani sisi hatujitanbui #hapakazitu keep calm and vote for magufuli
 
Akina Filikunjombe makamba sasa ni kuja kuongeza nguvu kwenye majimbo mengine. Ukawa kwisha habari yake, Arusha mjini CHADEMA na CUF wote wamesimamisha wagombea. Njooni na choper zenu lakin mkumbuke askari wanaookoa nchi ni wale wa nchi kavu. go magufuri kijiji kwa kijiji wewe ni jembe huhitaji sindano kukuboost
 
Habari wakuu

Mpaka sasa chama tawala,chama cha mapinduzi(CCM)kinaongoza katika katika ubunge baada ya wagombea wake kupita bila kupingwa kwenye majimbo yafuatayo

1.LUDEWA (Filikunjombe)

2.MLALO

3.BUMBULI (January Makamba), inasubiria rufaa ya NEC iliyokatwa na mgombea wa CHADEMA

4.PERAMIHO (Jenesta Mhagama)

5.NANYAMBA

Kwa lugha nyingine wagombea wa CCM majimbo tajwa hapo juu wanasubiri kura ya ndio au hapana na kuapishwa since they are only option available,,,mpaka sasa tayari CCM ina mtaji wa majimbo matano kibindoni.

Lakini pia kuna kata kadhaa ambazo tayari CCM (labda na UKAWA) imeshapita bila kupingwa,hivvyo unaweza kushare kinachoendelea jimboni kwako au kwenye kata yako kama CCM au UKAWA wanepita bila kupingwa kwa kucomment hapo chini.

Tutaendelea kujuzana majimbo yatakayoendelea kuthibitishwa na CCM pamoja na UKAWA.

Ludewa Chadema imekata rufaa
 
Tume ingetengeneza utaratibu wa kuhakikisha hakuna kitu kinachoitwa kupita bila ya kupingwa.. Huu ni ujinga na kuwakosesha haki wananchi ya kupiga kura na kuwachagua wawapendao..

shida ni tume huru..kumbuka majimboni wakurugenzi wa halmashauri ndo maafisa wa nec...kwenye kata ni watendaji kata.....tume huru ni muhimu sana...ndo maana unaona hata watu wanajisifia kwamba watashinda tu hata iweje
 
ni mpumbavu na lofa wa demokrasia anaweza kushangilia ushindi wa zengwe bila kura za wananchi.
Hiyo domokrasia iko waapi. Mtu anajiunga na chama na anateuliwa kugombea bila kushindanishwa na wengine. Hiyo ndo demokrasia? Ndo maana mnaitwa wapumbavu
 
Back
Top Bottom