Yataje
Acha kupotosha watu... Hivi kuwanunua wagombea, kutumia hila za kuficha form za wagombea wa upinzani nao ni ushindi ambao Mbunge anaweza akasimama na kujitapa kwamba ni mwakilishi wa Jimbo husika kihalali??
Kwenye demokrasia pana.. hata kama unagombea peke yako.. utapigiwa kura ya ndiyo au hapana. Lengo ni sauti ya watu isikike..
mossad usisahau mkapa alipowaambia kuwa watu wengine ni wapumbavu ukafikiri alikosea. huyo inaonekana ni mmojawapo. yaelekea hata mada hajaielewa amekimbilia ku-comment tu. ilimuradi kaandika na kupost.Mimi sijaongelea suala la wamefanikiwaje kusimama peke yako bila upinzani wa vyama vingine,,,nimeleta taarifa,,punguza hisia
Natambua kuwa kuna kupiga kura ya ndio au hapana siku ya uchaguzi,,ambazo ushindi ni obvious,,,nadhani unatambua hilo,,we both know that,,sioni unachobisha hapa,,kama unadhani watashindwa ni mawazo yako pia so sina tatizo nayo
Chadema
- musoma mjini
- bukoba
- mwanza
- ushirombo
- ikungi
- kigoma mjini
- kibondo
safi sana ! umemuumbua vibaya mno !Sio kweli Bumbuli yupo Bwana Chanyeghea baada ya Mgombea wa CUF kuingia mitini.
Mgombea wa Chadema Sengerema Kamanda Tabasamu ameshinda rufaa aliyokatiwa na Ngereja, Sasa ni dhahiri Ngereja atausikia tu ubunge