CCM inaongoza uchaguzi wa majimbo mpaka sasa

CCM inaongoza uchaguzi wa majimbo mpaka sasa

mossad 03

JF-Expert Member
Joined
May 15, 2013
Posts
523
Reaction score
449
Habari wakuu

Mpaka sasa chama tawala,chama cha mapinduzi(CCM)kinaongoza katika katika ubunge baada ya wagombea wake kupita bila kupingwa kwenye majimbo yafuatayo

1.LUDEWA (Filikunjombe)

2.MLALO

3.BUMBULI (January Makamba), inasubiria rufaa ya NEC iliyokatwa na mgombea wa CHADEMA

4.PERAMIHO (Jenesta Mhagama)

5.NANYAMBA

Kwa lugha nyingine wagombea wa CCM majimbo tajwa hapo juu wanasubiri kura ya ndio au hapana na kuapishwa since they are only option available,,,mpaka sasa tayari CCM ina mtaji wa majimbo matano kibindoni.

Lakini pia kuna kata kadhaa ambazo tayari CCM (labda na UKAWA) imeshapita bila kupingwa,hivvyo unaweza kushare kinachoendelea jimboni kwako au kwenye kata yako kama CCM au UKAWA wanepita bila kupingwa kwa kucomment hapo chini.

Tutaendelea kujuzana majimbo yatakayoendelea kuthibitishwa na CCM pamoja na UKAWA.

Update;

UKAWA wameshinda rufaa baadhi ya Majimbo, habari zaidi soma=>
UKAWA wameshinda Rufaa NEC Majimbo haya

Acha kupotosha watu... Hivi kuwanunua wagombea, kutumia hila za kuficha form za wagombea wa upinzani nao ni ushindi ambao Mbunge anaweza akasimama na kujitapa kwamba ni mwakilishi wa Jimbo husika kihalali??

Kwenye demokrasia pana.. hata kama unagombea peke yako.. utapigiwa kura ya ndiyo au hapana. Lengo ni sauti ya watu isikike..
 
Mimi sijaongelea suala la wamefanikiwaje kusimama peke yako bila upinzani wa vyama vingine,,,nimeleta taarifa,,punguza hisia
Natambua kuwa kuna kupiga kura ya ndio au hapana siku ya uchaguzi,,ambazo ushindi ni obvious,,,nadhani unatambua hilo,,we both know that,,sioni unachobisha hapa,,kama unadhani watashindwa ni mawazo yako pia so sina tatizo nayo
 
Kama una ushahidi wa hayo unayoyasema yafikishe kunakostahili
 
Mwisho wa Reli wanazipiga huko Kila chama kimeweka Mgombea wake .....Hakuna Muungano wala Ukawawa!
 
Chadema
  • musoma mjini
  • bukoba
  • mwanza
  • ushirombo
  • ikungi
  • kigoma mjini
  • kibondo

Taratibu mkuu,,,vuta pumzi ndefu,,exhale,alafu relax then uandike taratibu,,,naona umetaja majimbo almost 7 hapo juu,,chadema imepita katika majimbo hayo bila kupingwa?una uhakika?unaelewa maana ya kupitwa bila kupingwa?

Kwa mfano kigoma mjini najua kuwa zitto anagombea kupitia act na ccm kabourou(kama sijalikosea jina),,chadema wamepita vipi bila kupingwa?
 
CCM tushawasha mashine zetu wanaotaka watufate
 
kwa hila za mapingamizi na kutumia mwanya wa tume mbovu (WAKURUGENZI wa halmashauri). Kwanini kura zisipigwe uoga wa nini ??!!

Haya malalamiko yatakuwa mengi baada ya Oct 25, Kila siku tunawashauri hapa msidanganywe na mafuriko yenu, ccm wana mbinu zote wanatumia mradi washinde, mwisho mtakuja kulialia hapa kutaka huruma, vp utaingiza timu uwanjani wakati unajua refa hayuko fair?
 
ni mpumbavu na lofa wa demokrasia anaweza kushangilia ushindi wa zengwe bila kura za wananchi.
 
Haya malalamiko yatakuwa mengi baada ya Oct 25, Kila siku tunawashauri hapa msidanganywe na mafuriko yenu, ccm wana mbinu zote wanatumia mradi washinde, mwisho mtakuja kulialia hapa kutaka huruma, vp utaingiza timu uwanjani wakati unajua refa hayuko fair?

Kwa hali hiyo wanajivuna nini kwa ushindi wa hila ???. Jivunie ushindi wa fair play na ktk neutral ground. Mfano mwz zipo hila za wazi kutaka kutangaza majimbo haya kwa nguvu. Sasa uchaguzi wa nini????!
 
Taarifa :Ikitokea Mgombea Ngazi ya Ubunge na Udiwani hana Mpinzani Mkurugenzi wa Halmashauri humtangaza Moja kwa moja kuwa Ni Mbunge /Diwani huwa hakuna utaratibu wa Kura za Ndio au Hapana. Rejea Majimbo 19 ya Ccm waliopita bila ya Kupingwa 2010
 
Unayajua ya ccmtu kumbe wewe mnaficki kwakafulila nahuko arumelu kwana ssali husemi acha
 
11905379_870684089653060_7904210184924301461_n.jpg
 
Back
Top Bottom