CCM inaongoza uchaguzi wa majimbo mpaka sasa

Heshima Kwenu.Nimesomana Kuona Kwenye Media Kwamba Kuna Wagombea 'Wamepita Bila Kupingwa'.HawaHawajapigiwa Kura.Wamehonga Wagombea Wengine Au Wameweka Pingamizi Feki Wakakubaliwa.Wametangazw Washindi Na Kupewa Pongezi Mfano Filikunjombe WaLudewa.Amemshinda Nani? Wana Uhakika Hata Rufaa Watashinda?N EC Ni Janga!
 
ukishapita bila kupingwa hakuna haja tena ya kupigiwa kura, we ni kusubiri kuapishwa tu, ndio sheria ya uchaguzi inasema. Ndio maana wagombea huwa wanakuwa makini sana kutafuta mapungufu ya mwenzake.
 
nchi ya malofa hii.Bora tujiondoe kwenye mikono ya mkoloni mweusi maccm
 
Tatizo uongozi wa CHADEMA unamwangalia tu Lowasa huku majimboni mtajijua. Yaani mbunge wa kinondoni anakosea kujaza form wakati kazungukwa na wabunge wa zoefu wa kawe na Ubungo? si angepanda daladala kama Lowasa mpaka ubungo akapate mentorship ya kujaza na kuhakiki? pia mbunge wa jimbo ambalo ndio makao makuu ya chama anakosea kujaza form na bado chama kinajisifu kina wanasheria nguli? nawaambieni Lowasa ndo kawabadilisha na nyie hamna nguvu ya kumbadilisha Lowasa hakuna mabadiliko hapo. Mkiitwa malofa mnalia lia tu. mnastahili kabisa kuitwa malofa
 
Nimecheka sana Makao makuu Mtaa wa UFIPA hakuna Mgombea? Lowasa na Mbowe wameua Chama
 
Mgombea wa makao makuu ya chama unashindwa kujaza form? Pumbaaaaaaavuu (In Mkapa voice)
 
ukishapita bila kupingwa hakuna haja tena ya kupigiwa kura, we ni kusubiri kuapishwa tu, ndio sheria ya uchaguzi inasema. Ndio maana wagombea huwa wanakuwa makini sana kutafuta mapungufu ya mwenzake.
Uchochoro wa rushwa ni bora apigiwe kura za NDIO au HAPANA,kwa jinsi hii tunaruhusu hata baadhi ya wagombea kununuliwa wajitoe dakika za mwisho.Marekebisho yafanyike kwa chaguzi zijazo
 
Tatizo uongozi wa CHADEMA unamwangalia tu Lowasa huku majimboni mtajijua. Yaani mbunge wa kinondoni anakosea kujaza form wakati kazungukwa na wabunge wa zoefu wa kawe na Ubungo? si angepanda daladala kama Lowasa mpaka ubungo akapate mentorship ya kujaza na kuhakiki? pia mbunge wa jimbo ambalo ndio makao makuu ya chama anakosea kujaza form na bado chama kinajisifu kina wanasheria nguli? nawaambieni Lowasa ndo kawabadilisha na nyie hamna nguvu ya kumbadilisha Lowasa hakuna mabadiliko hapo. Mkiitwa malofa mnalia lia tu. mnastahili kabisa kuitwa malofa

Mkuu hii kitu inauma sana sema tu ukiwaambia hawatakuelewa?

Kwanini hawakuwapa hata cuf hilo jimbo?

_Haya mapingamizi nani alaumiwe?
_je sheria za tume zinasemaje?kwani lazima kurejeshe fomu SIKU.ZA MWISHO?

Watu tunapiga kampeni huku kitaa hadi mdomo unakauka mate leo mtu anapita bila kupingwa?????? Tumaini Makene njoo ujibu maswali yetu
 
Last edited by a moderator:
Chadema imeshiriki uchaguzi toka 1995 hawajapata uzoefu??
 
Akili na nguvu zote wamezielekeza kwa Lowasa. wakileta mchezo watapoteza hata yale majimbo ya zamani. This tyme ilitakiwa kuwekeza nguvu nyingi sana kwenye ubunge na udiwani.
 
Habari wakuu

Mpaka sasa chama tawala,chama cha mapinduzi(CCM)kinaongoza katika katika ubunge baada ya wagombea wake kupita bila kupingwa kwenye majimbo yafuatayo

1.LUDEWA (Filikunjombe)

2.MLALO

3.BUMBULI (January Makamba), inasubiria rufaa ya NEC iliyokatwa na mgombea wa CHADEMA

4.PERAMIHO (Jenesta Mhagama)

5.NANYAMBA

Kwa lugha nyingine wagombea wa CCM majimbo tajwa hapo juu wanasubiri kura ya ndio au hapana na kuapishwa since they are only option available,,,mpaka sasa tayari CCM ina mtaji wa majimbo matano kibindoni.

Lakini pia kuna kata kadhaa ambazo tayari CCM (labda na UKAWA) imeshapita bila kupingwa,hivvyo unaweza kushare kinachoendelea jimboni kwako au kwenye kata yako kama CCM au UKAWA wanepita bila kupingwa kwa kucomment hapo chini.

Tutaendelea kujuzana majimbo yatakayoendelea kuthibitishwa na CCM pamoja na UKAWA.

Bumbuli, Kinondoni na Ludewa UKAWA wameshinda rufaa, Hakuna ccm kupita bila kupingwa. Tunasubiri hayo majimbo mengine.
 
mkuu ni kweli? Kama ndivyo naahidi kunywa soda baridi usiku huu

Hizi habari nimezipata toka kwa reliable source kwa hiyo tukae mkao wa matumaini kwamba majimbo yaliyo bakia mambo yatakuwa sawa pia.
 
Back
Top Bottom