CCM inaongoza uchaguzi wa majimbo mpaka sasa

Kuna taarifa kuwa CCM Mpaka sasa wamepita majimbo 6 bila kupingwa,kupitia ukura wa Twitter wa CCM wameyataja majimbo hayo kuwa ni:-
1.Bumbuli
2.Ludewa
3.Sengerema
4.Mlalo
5.Peramio na
6.Nanyamba

Je hii ni uzembe kutoka upinzani na kutojua taratibu za uchaguzi?

hakuna kitu kama hicho. kajipange upya
 
Mlalo, nanyamba, bumbuli, sengerema, peramiho, na ludewa wabunge wa CCM wamepita bila kupingwa.

Miaka 23 ya vyama vingi bado upinzani unashindwa kusimamisha mgombea wa ubunge?

Source kutoka CCM.

Mgombea wa Chadema Sengerema Kamanda Tabasamu ameshinda rufaa aliyokatiwa na Ngereja, Sasa ni dhahiri Ngereja atausikia tu ubunge
 
Kuna taarifa kuwa CCM Mpaka sasa wamepita majimbo 6 bila kupingwa,kupitia ukura wa Twitter wa CCM wameyataja majimbo hayo kuwa ni:-
1.Bumbuli
2.Ludewa
3.Sengerema
4.Mlalo
5.Peramio na
6.Nanyamba

Je hii ni uzembe kutoka upinzani na kutojua taratibu za uchaguzi?
Ukawa is to blame, vyama vyote vinne hawawezi kosa mtu wa kugombea.
 
Vijana wa ccm hawajuwi kuunganisha za kusikia na zawako ni mazuzu!
 
Hivi mbona unashindwa kuhangaisha ubongo wako kufikiria? Kwenye uhakika ni nanyamba huko kwingine kote rufaa zipo nec
Kubenea huwa hakurupuki ni mtaalamu wa masuala la tafiti!
 
Mlalo, nanyamba, bumbuli, sengerema, peramiho, na ludewa wabunge wa CCM wamepita bila kupingwa.

Miaka 23 ya vyama vingi bado upinzani unashindwa kusimamisha mgombea wa ubunge?

Source kutoka CCM.
Tatizo ni kukurupuka . Ukawa ni Umoja wa Katiba ya Wananchi. Umri wake Ni less than a year. Wakafanya uwe Umoja wa vyama vinne vya siasa kama kawaida ya waafrika kushindwa ku plan Umoja huo kila chama kita benefit vipi, nani agombee wapi na kwa nini, gharama zitakuwaje na zitachangiwa vipi, ushindi ukipatikana serikali inagawanyaje vyeo kwa uwiano upi, walisipopata urais ruzuku zinazotokana na kura za urais zitagawanywa vipi kwa vyama shirikisho la ukawa n.k sijui hata kama wanajua objectives na goals za UKAWA na wanachama sidhani kama wameelimishwa faida na hasara za Umoja huo ni maamuzi tu ya viongozi wa JUU kwenda chini baada ya kuingizwa mkenge na Mbowe . Chadema ndiye atakayefaidi kwa kila aina ya vigezo
 
Tuliya wewe zuzu sisi wanaukawa tunataka huduma za afya ziwe bora na viongozi magojwa ya kawaida watibiwe hapa hapa siyo maleria waende uk na india !!
Ruzuku siyo mipango kazi ya ukawa na shida za wana ukawa siyo ruzuku ndooooooorobo wewe!
 
hata mgombea wa jimbo la Hai kupitia ccm aliweka pingamizi kwa Mbowe lakini pingamizi lake limeferi. ccm mnapenda kitonga sana.
 
Kwanini fomu zirejeshwe kwa mkurugenzi wa jiji na sio tume??
 
Tume ingetengeneza utaratibu wa kuhakikisha hakuna kitu kinachoitwa kupita bila ya kupingwa.. Huu ni ujinga na kuwakosesha haki wananchi ya kupiga kura na kuwachagua wawapendao..
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
CCM wanapenda sana kupita kwa Dezo, UKAWA inabidi wajiangalie sana, ya sie kuwa mambo ya serikali za mitaa!!
 
Tatizo ni kukurupuka . Ukawa ni Umoja wa Katiba ya Wananchi. Umri wake Ni less than a year. Wakafanya uwe Umoja wa vyama vinne vya siasa kama kawaida ya waafrika kushindwa ku plan Umoja huo kila chama kita benefit vipi, nani agombee wapi na kwa nini, gharama zitakuwaje na zitachangiwa vipi, ushindi ukipatikana serikali inagawanyaje vyeo kwa uwiano upi, walisipopata urais ruzuku zinazotokana na kura za urais zitagawanywa vipi kwa vyama shirikisho la ukawa n.k sijui hata kama wanajua objectives na goals za UKAWA na wanachama sidhani kama wameelimishwa faida na hasara za Umoja huo ni maamuzi tu ya viongozi wa JUU kwenda chini baada ya kuingizwa mkenge na Mbowe . Chadema ndiye atakayefaidi kwa kila aina ya vigezo

Naona bado unaishi chini ya dola moja wewe gamba
 
Huo ni umalaya wa mdomo. Umekaa nyumbani kwako, huna title yoyote kwenye siasa na hata jamii inayokuzunguka. Leo unajifanya unajua, unataka kuwaelekeza cha kufanya viongozi wa Ukawa? Narudia, huo ni umalaya wa mdomo!!!!!!!!¡¡¡¡¡
 
Back
Top Bottom