Acha kupotosha watu... Hivi kuwanunua wagombea, kutumia hila za kuficha form za wagombea wa upinzani nao ni ushindi ambao Mbunge anaweza akasimama na kujitapa kwamba ni mwakilishi wa Jimbo husika kihalali??
Kwenye demokrasia pana.. hata kama unagombea peke yako.. utapigiwa kura ya ndiyo au hapana. Lengo ni sauti ya watu isikike..
Mkuu Musoma mjini Kuna kila dalili za CHADEMA kupoteza jimbo hilo. Kigoma pia ni territory ya ACT ya Zitto Kabwe.
Taarifa :Ikitokea Mgombea Ngazi ya Ubunge na Udiwani hana Mpinzani Mkurugenzi wa Halmashauri humtangaza Moja kwa moja kuwa Ni Mbunge /Diwani huwa hakuna utaratibu wa Kura za Ndio au Hapana. Rejea Majimbo 19 ya Ccm waliopita bila ya Kupingwa 2010
Sheria haisemi ipigwe kura ya ndiyo au hapana...mnapotosha.Mimi sijaongelea suala la wamefanikiwaje kusimama peke yako bila upinzani wa vyama vingine,,,nimeleta taarifa,,punguza hisia
Natambua kuwa kuna kupiga kura ya ndio au hapana siku ya uchaguzi,,ambazo ushindi ni obvious,,,nadhani unatambua hilo,,we both know that,,sioni unachobisha hapa,,kama unadhani watashindwa ni mawazo yako pia so sina tatizo nayo
kwa hila za mapingamizi na kutumia mwanya wa tume mbovu (WAKURUGENZI wa halmashauri). Kwanini kura zisipigwe uoga wa nini ??!!
Unayajua ya ccmtu kumbe wewe mnaficki kwakafulila nahuko arumelu kwana ssali husemi acha
Mithali.18:18/Hagai. 2:21-22
Chadema
- musoma mjini
- bukoba
- mwanza
- ushirombo
- ikungi
- kigoma mjini
- kibondo
andika taarifa iliyokamilika. kwa nini wamepita bila kupingwa?Mlalo, nanyamba, bumbuli, sengerema, peramiho, na ludewa wabunge wa CCM wamepita bila kupingwa.
Miaka 23 ya vyama vingi bado upinzani unashindwa kusimamisha mgombea wa ubunge?
Source kutoka CCM.
Mlalo, nanyamba, bumbuli, sengerema, peramiho, na ludewa wabunge wa CCM wamepita bila kupingwa.
Miaka 23 ya vyama vingi bado upinzani unashindwa kusimamisha mgombea wa ubunge?
Source kutoka CCM.
Mbona kubenea kamwekea pingamizi yule mama wa chausta hamsemiwamepita kwa mapingamizi ..na wagombea wamekata rufaa nec .....subirini na wote wanarudi haoooo