ARIUS MZUSHI
JF-Expert Member
- Jun 18, 2017
- 272
- 111
Wanajf, salaam!!
Chama cha MAPINDUZI kwa ufupi kimemaliza kazi ya kampeni kwa mwaka 2015 - 2020. Chadema hata wafanyeje hawawezi kuipiku CCM kwa turufu ya kisiasa.
Kumbukumbu ni:-
1. Ununuzi wa ndege,
2. Ujenzi wa bomba la mafuta,
3. Ujenzi wa reli (standard gauge),
4. Mikataba ya madini mipya,
5. Kuwabana mafisadi papa,
6. Mapato ya ndani,
7. Nidhamu sekta za umma na ndani ya CCM
8. Matumizi ya fedha za umma n.k
Chadema hamna piku ya mambo haya maybe jiandaeni next season ya 2020 - 2025.
Unaposema mmemaliza kazi una maana huku hamtaleta maji au?? Huku kwetu huku tunakoishi huku. Tunatumia run off kama maji ya kawaida kwa matumizi yote. Sasa unasemaje mmemaliza kazi jamani mbona mnatutisha????? Yaani mara hii mnataka kuanza kubweteka??