CCM imemaliza kazi - Chadema imeisha!!

CCM imemaliza kazi - Chadema imeisha!!

Eti reli ipi mikataba ipi ww ndege zipi na zimebadilisha maisha ya watu kwa kiasi gani

Sent from my HUAWEI Y330-U01 using JamiiForums mobile app
 
Si bora hii ya kutisha. Uliza China na nchi nyingine zilizofanya mapinduzi ya kiuchumi watu wajinga wajinga walikuwa wanafanywaje.. uliza tuu.... wacha bana

Mkuu huko china wakina mkapa, ligumi,chenge, Ngeleja na wengine wengi wangekuwa washanyongwa china bashite angekuwa gerezani
 
Ukitaka kupima upepo basi kuwe na mazingira fair kwa wote halafu ulete kejeli zako!!. Watu wana hali ngumu we unaleta ngojera?!
1. Waulize wanachuo kuhusu mikopo watakusimulia
2. Wafanyakazi hawana hamu si mishahara wala madaraja yalioangaliwa.
3. Wakulima ndiyo usiseme wamepigwa njaa wanapokea kejeli!! Na hawa wote ni wananchi wapiga kura.

Kwenye madini nini kimebadilika?! Labda maneno

Cairo's
Hao wanajulikana, walishangilia kupitisha sheria mbovu na mikataba michafu illloleta makinikia. Leo "bila ya mafanikio" wanajitahidi kujitoa fahamu na kusukumia shutuma walewale walokuwa wakiwaelimisha juu athari. Nadhani tatizo liko kwenye uwezo wa kutafakari. Watz wamekua na wameishawaelewa.
 
Wanajf, salaam!!
Chama cha MAPINDUZI kwa ufupi kimemaliza kazi ya kampeni kwa mwaka 2015 - 2020. Chadema hata wafanyeje hawawezi kuipiku CCM kwa turufu ya kisiasa.

Kumbukumbu ni:-
1. Ununuzi wa ndege,
2. Ujenzi wa bomba la mafuta,
3. Ujenzi wa reli (standard gauge),
4. Mikataba ya madini mipya,
5. Kuwabana mafisadi papa,
6. Mapato ya ndani,
7. Nidhamu sekta za umma na ndani ya CCM
8. Matumizi ya fedha za umma n.k

Chadema hamna piku ya mambo haya maybe jiandaeni next season ya 2020 - 2025.

Hivi ujenzi wa Standard gauge umeanza? Progress yake ikoje?!
 
upinzani uliisha 2015 na ndio maana sasa hivi wanagombana wenyewe kwa wenyewe

upinzani ungekuwepo kama lowasa asingekuwa chadema.
 
nafikiri mleta mada ni either BASHITE au ametumia sarcasm kufikisha ujumbe

fumbo mfumbie mjinga
 
Tusubiri mda ufike useme wenyewe ni ahad ngapi zimetekelezwa na ngapi bado

Sent from my TECNO-L8Plus using JamiiForums mobile app
 
Anayefurahia upinzani kufa hajitambui

Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
 
Haya kamwambie afungulie vyama vianze kuzungunga kutafuta wanachama wapya,,,,aache woga.
 
Ifike kipindi muache ULOFA nyie vijana wa ccm.
CCM inachokifanya si kwa ajili ya kushindana na CDM.
Ipo madarakani ili iwaletee maendeleo wananchi.
Sasa inashangaza unavyogeuza wajibu wa chama kilichopo madarakani kua LIGI.
Hata CDM ingeshika dola ingeyafanya hayo au zaidi ya hayo.
Bwege wa kijani wewe.
[emoji1] [emoji1] CDM ingekua madarakani ingeyafanya hayo? Kwa uongozi wa nani labda? Yule DJ na wale Mafisadi papa. Chama kinawashinda matawi kila kukicha yanafungwa mikoani ndo wangeweza kuongoza nchi. Hebu wakati mwingine tuacheni masikhara wakati tunapoongelea vitu serious.

Sent from my SM-A310F using JamiiForums mobile app
 
CCM huwa nawafananisha na maiti, hawana uwezo wa kudadisi wala kuhoji kwa kutumia literature reviews na intellectual iq. Swali dogo, hayo waliofanikiwa kma wanavojidanganya, zimepunguza kwa kiasi gn ugumu wa maisha kwa watanzania?

Sent from my TECNO-L8Plus using JamiiForums mobile app
 
Ukitaka kupima upepo basi kuwe na mazingira fair kwa wote halafu ulete kejeli zako!!. Watu wana hali ngumu we unaleta ngojera?!
1. Waulize wanachuo kuhusu mikopo watakusimulia
2. Wafanyakazi hawana hamu si mishahara wala madaraja yalioangaliwa.
3. Wakulima ndiyo usiseme wamepigwa njaa wanapokea kejeli!! Na hawa wote ni wananchi wapiga kura.

Kwenye madini nini kimebadilika?! Labda maneno

Cairo's
Wanachuo wapi hao? Wakulima mbona wanapeta siku hizi? fanya 'homework' yako vizuri...
 
Wanajf, salaam!!
Chama cha MAPINDUZI kwa ufupi kimemaliza kazi ya kampeni kwa mwaka 2015 - 2020. Chadema hata wafanyeje hawawezi kuipiku CCM kwa turufu ya kisiasa.

Kumbukumbu ni:-
1. Ununuzi wa ndege,
2. Ujenzi wa bomba la mafuta,
3. Ujenzi wa reli (standard gauge),
4. Mikataba ya madini mipya,
5. Kuwabana mafisadi papa,
6. Mapato ya ndani,
7. Nidhamu sekta za umma na ndani ya CCM
8. Matumizi ya fedha za umma n.k

Chadema hamna piku ya mambo haya maybe jiandaeni next season ya 2020 - 2025.
Kamuulize mtanzania wa kawaida maisha yake yamebadilika kwa kiwango gani!Muulize gharama za maisha zikoje!Muulize hiyo 5000 anayoingiza inatumikaje!
 
Hayo uliyoyaorodhesha hapa yana mchango gani kwa mwananchi wa kawaida?
Mkuu, mwananchi wa kawaida ni yupi? Mi huwa sielewagi sawa na wale wanaosema damu itamwagika sijui wanakuwa wanamaana ya damu ya nani. Utakuta lema au mbowe anakwambia damu itamwagika sasabsijui wao ndo wanakuwa wanataka waimwage au wanategeshea wananchi wawe chambo na wao Wachekelee
 
Wanachuo wapi hao? Wakulima mbona wanapeta siku hizi? fanya 'homework' yako vizuri...
Acha ushabiki uliza mfano Law school kati ya 600 wamepata 16 unasemaje hapo?!

Njoo kanda ya ziwa mfano Mara hali walionayo hasa mwambao wa ziwa !!! Halafu unawaambia walime na kiangazi??

Cairo's
 
Acha ushabiki uliza mfano Law school kati ya 600 wamepata 16 unasemaje hapo?!

Njoo kanda ya ziwa mfano Mara hali walionayo hasa mwambao wa ziwa !!! Halafu unawaambia walime na kiangazi??

Cairo's
Hiyo Law school sio basic kwani angalau ana degree ya sheria anaweza kufanya kibarua akajiendeleza ni sawa na CPA kwa wahasibu, CPB kwa bankers na CSSP kwa Wagavi. Sasa huko Rorya serikali italea mvua Omela?
 
Vipi wale wenye degree fresh from school unawazungumziaje ?! Na kote walikopitiwa ukame wanahitaji kufarijiwa na kusaidiwa na siyo dhihaka za kuwaambia walime kwenye jua kali as if anawasaidia kulima kila mwaka

Ukweli ni kuwa mnajitahidi sana kusifia lakini hakuna lolote. Pili mtu anayejiamini kama mnavyodai anaruhusu tume HURU siyo hii ya ma DED, DC, RCS

Cairo's
 
Rekodi ya utendaji wa awamu hii, umeifuta kabisa Ukawa
 
Back
Top Bottom