CCM imemaliza kazi - Chadema imeisha!!

CCM imemaliza kazi - Chadema imeisha!!

Wanajf, salaam!!
Chama cha MAPINDUZI kwa ufupi kimemaliza kazi ya kampeni kwa mwaka 2015 - 2020. Chadema hata wafanyeje hawawezi kuipiku CCM kwa turufu ya kisiasa.

Kumbukumbu ni:-
1. Ununuzi wa ndege,
2. Ujenzi wa bomba la mafuta,
3. Ujenzi wa reli (standard gauge),
4. Mikataba ya madini mipya,
5. Kuwabana mafisadi papa,
6. Mapato ya ndani,
7. Nidhamu sekta za umma na ndani ya CCM
8. Matumizi ya fedha za umma n.k

Chadema hamna piku ya mambo haya maybe jiandaeni next season ya 2020 - 2025.
Hivyo vyote ni upuuzi tu kama maisha yetu bado ni juu.
Unga kilo 2200
Sukari kilo 2800
Maharage kilo 2700
Mimi hiyo standard gauge, barabara za juu zinanosaidia nini ?
Amka wewe house girl wa lumumba.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama Chadema imeisha mbona mnawanyima platforms za kufanyia mikutano??

Kama imeisha mbona viongozi wake mnawaweka Rumande kila Sikh??

JPM hajafanya chochote sana miradi anayofungua ni miradi iliyotafutwa na JK.JPM hajapata hata mradi mmoja miaka mitatu sasa.

Kama miradi mwingine anafungua mara mbili mbili maana hana alichofanya zaidi ya kuwafunga wapinzani wake.

In short hatuna kiongozi kwa sasa
Mi nakushangaa. Chadema wanataka platform ili wazungumzie nini sasa. Ajenda zote ikishazizika zamani zile mara tu baada ya kupokelewa kwa lile kundi la watuhumiwa wa ufisadi. wakaamua kuua na kuzika ajenda muhimu na kubadikishia gia angani. Baada ya hapo wakageuza mwelekeo wa sera na kuwa na ajenda ya kutetea wafanya biashara wakwepakodi, watumishi hewa, makontena hewa, waiba madini na makanikia, na mengi mengiii. Ndio hawa unaozungumzia
 
Hivyo vyote ni upuuzi tu kama maisha yetu bado ni juu.
Unga kilo 2200
Sukari kilo 2800
Maharage kilo 2700
Mimi hiyo standard gauge, barabara za juu zinanosaidia nini ?
Amka wewe house girl wa lumumba.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo unataka kutuambia anaye sababisha haya ni nani.. na unashauri nini kifanyike kuepuka haya
 
JPM ni material president!! Amehimiza pia kila mmoja wetu kufanya kazi - CDM mmewajenga vijana kisaikolojia kuwa mkipata kushika dora kila mwananchi atagawiwa fedha, atapata pembejeo, atasafiri bure

Matokeo yake tulikuwa tunaelekea kuwa na taifa bwetefu na lisilotumia muda - mshindwe!!
 
Dk 15 za lisu tu jana,zimemmaliza sizonje,je akitumia siku 30 tu za kampeni itakuaje?
 
Mi nakushangaa. Chadema wanataka platform ili wazungumzie nini sasa. Ajenda zote ikishazizika zamani zile mara tu baada ya kupokelewa kwa lile kundi la watuhumiwa wa ufisadi. wakaamua kuua na kuzika ajenda muhimu na kubadikishia gia angani. Baada ya hapo wakageuza mwelekeo wa sera na kuwa na ajenda ya kutetea wafanya biashara wakwepakodi, watumishi hewa, makontena hewa, waiba madini na makanikia, na mengi mengiii. Ndio hawa unaozungumzia

Hao wakwepa kodi mnaowaita ni zao la CCM wengine mlijidai mnawafunga hao mmewatoa wenyewe kwa kukosa ushahidi na bado wako CCM.

Hao mnaowapigia makofi ndiyo hao hao waliotuletea Kivuko kibovu wakajipigia pesa zao bilioni nane na ushee,ndiyo hao mnaojidai nao ati wazalendo.Hao mnaowapigia makofi ndiyo hao waliopitisha sera za kishenzi za kuliibia Taifa.

Wapeni hao Chadema Platform hiyo muone na kusikia watakachoongea.!Mlichobakiza ni kuligawa Taifa kwa chuki,visasi na ubaguzi hamna cha viwanda wala maendeleo mpo mpo tu mnasubiria kuliibia Taifa ,huku mkijifanya mnajenga Chattle na kufufua Shirika la ndege.

Unafufua shirika without strategy,halafu mnakimbilia kusema mnamkosoa,acheni kupandikiza chuki na visasi havijengi viwanda.!Msidanganye watu,wale wadanganyika hawapo kwa sasa.
 
JPM ni material president!! Amehimiza pia kila mmoja wetu kufanya kazi - CDM mmewajenga vijana kisaikolojia kuwa mkipata kushika dora kila mwananchi atagawiwa fedha, atapata pembejeo, atasafiri bure

Matokeo yake tulikuwa tunaelekea kuwa na taifa bwetefu na lisilotumia muda - mshindwe!!

Hayo ni maneno ambayo ungependa Chadema waongee lakini sivyo ndugu mmebaki kuligawa Taifa kwenu badala ya Ujinga,umasikini na maradhi kuwa adui wa mtanzania,imekuwa Chadema na upinzani kwa ujumla ndiyo adui wa mtanzania.

Kwa sasa adui number moja wa Mtanzania ni Chama Cha Makinikia aka CCM
 
Wanajf, salaam!!
Chama cha MAPINDUZI kwa ufupi kimemaliza kazi ya kampeni kwa mwaka 2015 - 2020. Chadema hata wafanyeje hawawezi kuipiku CCM kwa turufu ya kisiasa.

Kumbukumbu ni:-
1. Ununuzi wa ndege,
2. Ujenzi wa bomba la mafuta,
3. Ujenzi wa reli (standard gauge),
4. Mikataba ya madini mipya,
5. Kuwabana mafisadi papa,
6. Mapato ya ndani,
7. Nidhamu sekta za umma na ndani ya CCM
8. Matumizi ya fedha za umma n.k

Chadema hamna piku ya mambo haya maybe jiandaeni next season ya 2020 - 2025.
Kwa kweli bado kuna watu na viatu duniani nikuambie kitu wewe MUNGU atupe uhai mpaka mwaka 2019 kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa hapo ndipo mtakapojua chama chenu kimekufa huu upuuzi wa kusema Chadema wameshindwa hutauandika tena hapa,kifupi ni kwamba watu wamekata tamaa huku mitaani hawana hamu na Ccm yako,hayo ya ndege kununuliwa Na Rais bila kufuata taratibu za serikali mtu anachukua pesa utafikri zake na ananunua kihuni tutaamini vipi? kanunua kwa bei ipi?? Maswali ni mengi sana,halafu haya mambo yalitakiwa yawe yamefanywa siku nyingi serikali mbovu ya ccm ndio iliyotufikisha hapa so hakuna jipya lolote hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanajf, salaam!!
Chama cha MAPINDUZI kwa ufupi kimemaliza kazi ya kampeni kwa mwaka 2015 - 2020. Chadema hata wafanyeje hawawezi kuipiku CCM kwa turufu ya kisiasa.

Kumbukumbu ni:-
1. Ununuzi wa ndege,
2. Ujenzi wa bomba la mafuta,
3. Ujenzi wa reli (standard gauge),
4. Mikataba ya madini mipya,
5. Kuwabana mafisadi papa,
6. Mapato ya ndani,
7. Nidhamu sekta za umma na ndani ya CCM
8. Matumizi ya fedha za umma n.k

Chadema hamna piku ya mambo haya maybe jiandaeni next season ya 2020 - 2025.

Sijaona hata moja hapo ambalo CCM imelifanya.Hao mafisadi papa ndiyo hao wamejaa huko CCM.Tuletee wote waliohusika na Richmond,Escrow,IPTL,Sera na sheria mbovu za madini,nyumba za serikali kupewa nyumba ndogo na ndugu,bilioni nane za kivuko kibovu.

Hao UDA,Lugumi na Masamaki wako uraiani wanapeta bila hata wasiwasi.Madini yanapita bila hata shida mnapiga kelele makinikia wakati wanaondoka na minara ya dhahabu.

Kawadanganye Lumumba
 
Kazi kivipi wamemaliza

Sent from my SM-N910C using JamiiForums mobile app
 
Wanajf, salaam!!
Chama cha MAPINDUZI kwa ufupi kimemaliza kazi ya kampeni kwa mwaka 2015 - 2020. Chadema hata wafanyeje hawawezi kuipiku CCM kwa turufu ya kisiasa.

Kumbukumbu ni:-
1. Ununuzi wa ndege,
2. Ujenzi wa bomba la mafuta,
3. Ujenzi wa reli (standard gauge),
4. Mikataba ya madini mipya,
5. Kuwabana mafisadi papa,
6. Mapato ya ndani,
7. Nidhamu sekta za umma na ndani ya CCM
8. Matumizi ya fedha za umma n.k

Chadema hamna piku ya mambo haya maybe jiandaeni next season ya 2020 - 2025.
Mi nachokifahamu kwenye madini tunapigwa changa la macho kwa kuongezwa vi % viwili wakati Rais Na yeye kaingizwa kwenye mgawo we unapiga kelele tu hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Upumbavu mwingine bwana, eti "CCM imemaliza kazi- Chadema imeisha!"".
Iruhusu iongee uone, unapigana na aliyefungwa kamba unajigamba!
 
Back
Top Bottom