CCM imemaliza kazi - Chadema imeisha!!

CCM imemaliza kazi - Chadema imeisha!!

Walianza kutangaza kuwa watatoa ajira 52000, mimi sikuona mtu hata mmoja aliyeajiriwa.

Wakasema wanaajiri watumishi 15000, pia ikaishia hewani.

Then wamekuja kusema kuwa wanataka kutoa ajira 10832,hizo pia zitaishia hewani.

Vinginevyo uniambie kuwa wanawaajiri ndugu zao tu!

Sent from my TECNO-Y4 using JamiiForums mobile app
 
Wanajf, salaam!!
Chama cha MAPINDUZI kwa ufupi kimemaliza kazi ya kampeni kwa mwaka 2015 - 2020. Chadema hata wafanyeje hawawezi kuipiku CCM kwa turufu ya kisiasa.

Kumbukumbu ni:-
1. Ununuzi wa ndege,
2. Ujenzi wa bomba la mafuta,
3. Ujenzi wa reli (standard gauge),
4. Mikataba ya madini mipya,
5. Kuwabana mafisadi papa,
6. Mapato ya ndani,
7. Nidhamu sekta za umma na ndani ya CCM
8. Matumizi ya fedha za umma n.k

Chadema hamna piku ya mambo haya maybe jiandaeni next season ya 2020 - 2025.
Ongezea hapo ujenz wa flyover ya kupitia baharin

flyover ya ubungo

Sent from my Exclusive Y30-U00 using JamiiForums mobile app
 
Wanajf, salaam!!
Chama cha MAPINDUZI kwa ufupi kimemaliza kazi ya kampeni kwa mwaka 2015 - 2020. Chadema hata wafanyeje hawawezi kuipiku CCM kwa turufu ya kisiasa.

Kumbukumbu ni:-
1. Ununuzi wa ndege,
2. Ujenzi wa bomba la mafuta,
3. Ujenzi wa reli (standard gauge),
4. Mikataba ya madini mipya,
5. Kuwabana mafisadi papa,
6. Mapato ya ndani,
7. Nidhamu sekta za umma na ndani ya CCM
8. Matumizi ya fedha za umma n.k

Chadema hamna piku ya mambo haya maybe jiandaeni next season ya 2020 - 2025.
9. Kuondoa wafanyakazi hewa
10. Kuondoa wanafunzi hewa
11. Kuondoa wazee hewa
12.kuondoa wenye vyeti fake
13. Ndege nyingine mbili zinaingia August2017
14.barabara ya bagamoyo kutoka Moroco baada ya kusimamisha sherehe za uhuru
15. Bomba la mafuta kutoka Uganda kwenda Tanga
16. Mahakama ya mafisadi
17. Ongezea hapo basi......
 
Kuna tofauti kati ya jpm na ccm! Rais amesema hasñeshi wasichana waliopata mimba ILANI ya CCM kifungu cha 52 (ïi) inasema wasiähana wanaopata mimba shulenï wataruhusiwa kusña baada ya kujïfungua! Sasa hamna tofauti?? Jpm aanzishe chama makini zaidi au awe mgombea huru mafisadi na wezi wasijifiche kwenye kivuli cha chama !

Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
 
Mtaji wa wahuni wa MACCM ni wapumbavu ndiyo sababu kuna mikakati mizito ya kuongeza idadi yao nchini na kauli kama "sisomishi wazazi ila nina furaha kubwa ya kuongeza MAZUZU nchini"

Ifike kipindi muache ULOFA nyie vijana wa ccm.
CCM inachokifanya si kwa ajili ya kushindana na CDM.
Ipo madarakani ili iwaletee maendeleo wananchi.
Sasa inashangaza unavyogeuza wajibu wa chama kilichopo madarakani kua LIGI.
Hata CDM ingeshika dola ingeyafanya hayo au zaidi ya hayo.
Bwege wa kijani wewe.
Hivi we una akili timamu kweli???
Ndege ziko wapi now??
Hiyo mikataba inasemaje??? Noah mpaka leo hamjapewa mnasifia mikataba!!! Mxiuuuuu
Mafisadi papa kama nani wengine wanaachiwa na dpp hana kesi ya kuhoji.
Nidhamu ipi unayoiongelea wewe?? Labda huko huko ccm.
Matumizi ya fedha za umma imenunua nini???

Hamnaga akili nyinyi... Endeleeni kuukandamiza upinzani ndicho mnachoweza
 
Wanajf, salaam!!
Chama cha MAPINDUZI kwa ufupi kimemaliza kazi ya kampeni kwa mwaka 2015 - 2020. Chadema hata wafanyeje hawawezi kuipiku CCM kwa turufu ya kisiasa.

Kumbukumbu ni:-
1. Ununuzi wa ndege,
2. Ujenzi wa bomba la mafuta,
3. Ujenzi wa reli (standard gauge),
4. Mikataba ya madini mipya,
5. Kuwabana mafisadi papa,
6. Mapato ya ndani,
7. Nidhamu sekta za umma na ndani ya CCM
8. Matumizi ya fedha za umma n.k

Chadema hamna piku ya mambo haya maybe jiandaeni next season ya 2020 - 2025.
Njaa jee ? Kazi hamna na biashara hamna
kama utakula reli sawa

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
 
Katiba mpya je?

Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
 
Naona unatamani upate Noa ya burebure. Safi.
Lakini labda nikuulize. Upinzani hivi kwa sasa unapinga nini... na una faida yoyote kwa sasa. Labda mimi ningependekeza... upinzani uwe wa vipindi vipindi tuu... ni waste of time and resources kama katika mazingira kama ya sasa kuwa na upinzani
Mnauogopa hivyo kumbe?
 
Mtaji wa wahuni wa MACCM ni wapumbavu ndiyo sababu kuna mikakati mizito ya kuongeza idadi yao nchini na kauli kama "sisomishi wazazi ila nina furaha kubwa ya kuongeza MAZUZU nchini"
"Enendeni mkafyatue tu"
 
Walianza kutangaza kuwa watatoa ajira 52000, mimi sikuona mtu hata mmoja aliyeajiriwa.

Wakasema wanaajiri watumishi 15000, pia ikaishia hewani.

Then wamekuja kusema kuwa wanataka kutoa ajira 10832,hizo pia zitaishia hewani.

Vinginevyo uniambie kuwa wanawaajiri ndugu zao tu!

Sent from my TECNO-Y4 using JamiiForums mobile app
umesahau 50 milioni kila kijiji, walipoulizwa wakasema wataoa mwezi wa 4 na wa 5 mwaka 2017, sasa mwezi wa 7 hakuma kitu kama hicho,

nitakuunga mkono pale utakapoacha chuki, ubaguzi na visasi
 
Ccm ni ile ile, hongera Jpm

Sent from my TECNO-Y6 using JamiiForums mobile app
 
Hata masamaki na wenzake, waliitwa mafisadi papa.

Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
 
imemaliza kazi ya kutoa ajira 52000

imemaliza kazi ya kupandisha mishahara
Kwasababu naamini haitafika 2020 hayajafanyika ni heri ukaanza kufikiria kuhusu mengine
 
Siasa za chama kimoja ndio Siasa?

Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
 
Wanajf, salaam!!
Chama cha MAPINDUZI kwa ufupi kimemaliza kazi ya kampeni kwa mwaka 2015 - 2020. Chadema hata wafanyeje hawawezi kuipiku CCM kwa turufu ya kisiasa.

Kumbukumbu ni:-
1. Ununuzi wa ndege,
2. Ujenzi wa bomba la mafuta,
3. Ujenzi wa reli (standard gauge),
4. Mikataba ya madini mipya,
5. Kuwabana mafisadi papa,
6. Mapato ya ndani,
7. Nidhamu sekta za umma na ndani ya CCM
8. Matumizi ya fedha za umma n.k

Chadema hamna piku ya mambo haya maybe jiandaeni next season ya 2020 - 2025.

hebu jikumbushe alichoongea huyu mpiganaji wa SISIEM alitabiri nini juu ya CHADEMA
wasira.jpg
 
Back
Top Bottom