CCM imemaliza kazi - Chadema imeisha!!

CCM imemaliza kazi - Chadema imeisha!!

Ndio maana mm hujikalia nyumbani kwangu na kufanya yangu sio kwenda kuhangaika kupiga kura

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Hili pepo la watu kutokupiga kura life..2020 pigeni kura ..watawala watambue Kuna nguvu ya umma
 
Wanajf, salaam!!
Chama cha MAPINDUZI kwa ufupi kimemaliza kazi ya kampeni kwa mwaka 2015 - 2020. Chadema hata wafanyeje hawawezi kuipiku CCM kwa turufu ya kisiasa.

Kumbukumbu ni:-
1. Ununuzi wa ndege,
2. Ujenzi wa bomba la mafuta,
3. Ujenzi wa reli (standard gauge),
4. Mikataba ya madini mipya,
5. Kuwabana mafisadi papa,
6. Mapato ya ndani,
7. Nidhamu sekta za umma na ndani ya CCM
8. Matumizi ya fedha za umma n.k

Chadema hamna piku ya mambo haya maybe jiandaeni next season ya 2020 - 2025.
Ni kweli ccm imemaliza kazi Arumeru Mashariki na Ukerewe kwa kuwanunua madiwani ila huwezi kujipumbaza kwa upumbavu wako ukadhani unawapumbaza watu wenye akili zao zilizotmia.
Jiulize ni kwanini CCM ihangaike na madiwani waliochaguliwa kidemokrasia? Inajijenga au inabomoa demokrasia nchini? Aibu!
 
Mnachelewa kujitambua sbb ya kukariri upinzani - JPM kamaliza kazi nchini - asiyeiona kazi zake aombewe
 
Naona unatamani upate Noa ya burebure

Kiongozi, Cresta inanitosha - hata nimepaki naendesha baiskeli yangu. Kwa issue ya kisiasa hakika JPM kwa upande wa uchaguzi wa rais amemaliza kazi. Hata majimboni mtapotea maeneo mengi - AMINI MANENO HAYA
 
Msijidanganye, wapiga kura wapo kwenye mateso makubwa na wanajuta.
• watoto wao wamefukuzwa chuoni eti hawana sifa awamu ya 5 ila kwa awamu ya JK sifa walikuwa nazo na Ccm ni ile ile - chuki 1
• zaidi ya 70% ya Ma RC, DC, RAS, DAS, DEDs nk. walocheza michezo michafu ya uchaguzi kusaidia ushindi, Leo nao wanaisoma namba na wategemezi wao. Chuki 2
• Watumishi wengi tena chapakazi wamepoteza Kazi zao, maslahi yao na ni chukizo pamoja na wategemezi na wafuasi wao. - Chuki 3
• Zaidi ya 60% ya MANEC mmewapiga chini na wamepoteza Kazi na maslahi na watu wao - chuki 4
• wafanyabiashara wa kubwa walijitoa muhali kwa Mali na hali kusaidia ushindi, Leo ni wahanga wa utawala huu na wanafilisika. Hawa wana wategemezi na wafuasi ambao wanaisoma. - Chuki 5
• Wananchi wanaumizwa na Bei kubwa za kila kitu. - Chuki 6
• Wakulima wananyimwa kuuza mazao hao kwa Bei nzuri watakako. - chuki 7
• Kodi kubwa za majengo bila kujali hali za wananchi - Chuki 8
• Utawala unaoelemea kanda moja - Chuki 9
• Uonevu kwa wapizani katika bunge, Nje ya bunge, kiuchumi, na nyanja zote - Chuki 10
• Mihimili kutokuwa huru na kutenda kwa maelekezo - Chuki 11
• mambo ya bombardier, SGR uwanja wa ndege chato, si mambo muhimu kwa wapiga kura wa kijijini. Chuki - 12
• Leo kuna uhaba bandia wa mafuta Tanzania nzima kwa mambo ambayo TRA ingeweza kusuluhisha bila kuwapa walipa kodi adha hii na lawama ni kwa Ccm/serikali. - Chuki 13
• uonevu wa dola kwa wananchi wanyonge - chuki 14.
∆ All in all tujisahihishe tusijidanganye eti kila kitu ni safi. Mnamdanganya Mzee mpeni ushauri wa kweli na sahihi na mbinu endelevu za kufuta makosa.

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Wanajf, salaam!!
Chama cha MAPINDUZI kwa ufupi kimemaliza kazi ya kampeni kwa mwaka 2015 - 2020. Chadema hata wafanyeje hawawezi kuipiku CCM kwa turufu ya kisiasa.

Kumbukumbu ni:-
1. Ununuzi wa ndege,
2. Ujenzi wa bomba la mafuta,
3. Ujenzi wa reli (standard gauge),
4. Mikataba ya madini mipya,
5. Kuwabana mafisadi papa,
6. Mapato ya ndani,
7. Nidhamu sekta za umma na ndani ya CCM
8. Matumizi ya fedha za umma n.k

Chadema hamna piku ya mambo haya maybe jiandaeni next season ya 2020 - 2025.
imesaidia nini kwenye maisha ya kawaida ya mtanzania wa sikonge?kila kukicha afadhali ya jana.
 
Bunge live

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Kiongozi, Cresta inanitosha - hata nimepaki naendesha baiskeli yangu. Kwa issue ya kisiasa hakika JPM kwa upande wa uchaguzi wa rais amemaliza kazi. Hata majimboni mtapotea maeneo mengi - AMINI MANENO HAYA
Hebu soma post #88 labda utaelewa kidogo. Btw unaweza kulifahamisha jukwaa unaishi wapi? Maana hilo ni la msingi sana, yawezekana huko unakoishi kunaweza kuchangia kutokujua nini kinaendelea nchi hii hivyo ukisoma gazeti la Uhuru au kumsikiliza katibu kata wako ndio mwisho wako.
 
Naona unatamani upate Noa ya burebure. Safi.
Lakini labda nikuulize. Upinzani hivi kwa sasa unapinga nini... na una faida yoyote kwa sasa. Labda mimi ningependekeza... upinzani uwe wa vipindi vipindi tuu... ni waste of time and resources kama katika mazingira kama ya sasa kuwa na upinzani
Muulizie polepole serikali tatu ziko wapi, katiba mpya iko wap au ndio ule msemo "hurusiwi kuongea ukiwa unakula"
 
Wanajf, salaam!!
Chama cha MAPINDUZI kwa ufupi kimemaliza kazi ya kampeni kwa mwaka 2015 - 2020. Chadema hata wafanyeje hawawezi kuipiku CCM kwa turufu ya kisiasa.

Kumbukumbu ni:-
1. Ununuzi wa ndege,
2. Ujenzi wa bomba la mafuta,
3. Ujenzi wa reli (standard gauge),
4. Mikataba ya madini mipya,
5. Kuwabana mafisadi papa,
6. Mapato ya ndani,
7. Nidhamu sekta za umma na ndani ya CCM
8. Matumizi ya fedha za umma n.k

Chadema hamna piku ya mambo haya maybe jiandaeni next season ya 2020 - 2025.
9. Tume ya uchaguzi ya taifa ya ccm (lubuva 2)
10. IGP kada la CCM
 
Hakuna lolote, tume sio huru, ingekua huru 2015 tusingewasikia, endeleeni kuiba kura

Sent from my TECNO Camon CX using JamiiForums mobile app
 
Wanajf, salaam!!
Chama cha MAPINDUZI kwa ufupi kimemaliza kazi ya kampeni kwa mwaka 2015 - 2020. Chadema hata wafanyeje hawawezi kuipiku CCM kwa turufu ya kisiasa.

Kumbukumbu ni:-
1. Ununuzi wa ndege,
2. Ujenzi wa bomba la mafuta,
3. Ujenzi wa reli (standard gauge),
4. Mikataba ya madini mipya,
5. Kuwabana mafisadi papa,
6. Mapato ya ndani,
7. Nidhamu sekta za umma na ndani ya CCM
8. Matumizi ya fedha za umma n.k

Chadema hamna piku ya mambo haya maybe jiandaeni next season ya 2020 - 2025.
mkuu, sasa haya mambo mbona hayajatusaidia sisi wa huku Kwamtogore? bei ya sukari, unga na mchele vimepanda maradufu!

imebidi wengi wetu sasa tuwe tunapiga deshi 2 - breakfast na lunch - tunakutana home saa 12 jioni. baada ya hapo ni saa 12 jioni kesho yake!
 
Jamani kwani hamuwezi kupinga kwa hoja bila kutoa lugha za matusi - nchi ni ya watu wastaarabu ndugu zangu
 
Ukitaka kupima upepo basi kuwe na mazingira fair kwa wote halafu ulete kejeli zako!!. Watu wana hali ngumu we unaleta ngojera?!
1. Waulize wanachuo kuhusu mikopo watakusimulia
2. Wafanyakazi hawana hamu si mishahara wala madaraja yalioangaliwa.
3. Wakulima ndiyo usiseme wamepigwa njaa wanapokea kejeli!! Na hawa wote ni wananchi wapiga kura.

Kwenye madini nini kimebadilika?! Labda maneno

Cairo's
Acha kudanganya watu,kila kitu kilishatolewa maelezo na kinafanyiwa kazi,usiangalie upande mmoja tu

Post sent using JamiiForums mobile app
 
chadema wako busy wana fly to KIA na kamanda Wema
 
Ulishawahi kumuona simba akiwa anavizia nyumbuuu huwa hanaga hats shida,hata wakiwa mia lakini kati yao mmoja lazima aliwe ,I min nyumbu hawana ujanja kwa ccm,full stop.

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Wanajf, salaam!!
Chama cha MAPINDUZI kwa ufupi kimemaliza kazi ya kampeni kwa mwaka 2015 - 2020. Chadema hata wafanyeje hawawezi kuipiku CCM kwa turufu ya kisiasa.

Kumbukumbu ni:-
1. Ununuzi wa ndege,
2. Ujenzi wa bomba la mafuta,
3. Ujenzi wa reli (standard gauge),
4. Mikataba ya madini mipya,
5. Kuwabana mafisadi papa,
6. Mapato ya ndani,
7. Nidhamu sekta za umma na ndani ya CCM
8. Matumizi ya fedha za umma n.k

Chadema hamna piku ya mambo haya maybe jiandaeni next season ya 2020 - 2025.

Kama Chadema imeisha mbona mnawanyima platforms za kufanyia mikutano??

Kama imeisha mbona viongozi wake mnawaweka Rumande kila Sikh??

JPM hajafanya chochote sana miradi anayofungua ni miradi iliyotafutwa na JK.JPM hajapata hata mradi mmoja miaka mitatu sasa.

Kama miradi mwingine anafungua mara mbili mbili maana hana alichofanya zaidi ya kuwafunga wapinzani wake.

In short hatuna kiongozi kwa sasa
 
Ulishawahi kumuona simba akiwa anavizia nyumbuuu huwa hanaga hats shida,hata wakiwa mia lakini kati yao mmoja lazima aliwe ,I min nyumbu hawana ujanja kwa ccm,full stop.

Post sent using JamiiForums mobile app

Ujanja wa kutumia nguvu za dola??Au ujanja upi walionao Hawa Wa Chama Cha Makinikia?
 
Back
Top Bottom