CCM imemaliza kazi - Chadema imeisha!!

mkafrend

JF-Expert Member
May 12, 2014
3,047
1,503
Wanajf, salaam!!
Chama cha MAPINDUZI kwa ufupi kimemaliza kazi ya kampeni kwa mwaka 2015 - 2020. Chadema hata wafanyeje hawawezi kuipiku CCM kwa turufu ya kisiasa.

Kumbukumbu ni:-
1. Ununuzi wa ndege,
2. Ujenzi wa bomba la mafuta,
3. Ujenzi wa reli (standard gauge),
4. Mikataba ya madini mipya,
5. Kuwabana mafisadi papa,
6. Mapato ya ndani,
7. Nidhamu sekta za umma na ndani ya CCM
8. Matumizi ya fedha za umma n.k

Chadema hamna piku ya mambo haya maybe jiandaeni next season ya 2020 - 2025.
 
Ukitaka kupima upepo basi kuwe na mazingira fair kwa wote halafu ulete kejeli zako!!. Watu wana hali ngumu we unaleta ngojera?!
1. Waulize wanachuo kuhusu mikopo watakusimulia
2. Wafanyakazi hawana hamu si mishahara wala madaraja yalioangaliwa.
3. Wakulima ndiyo usiseme wamepigwa njaa wanapokea kejeli!! Na hawa wote ni wananchi wapiga kura.

Kwenye madini nini kimebadilika?! Labda maneno

Cairo's
 
Inawezekana muda ndio hakimu mzuri kwenye siasa.
Siku zinavyokwenda watu wanajitambua na hawana haja ya kuambiwa hiki ni kijiko kikubwa wakati wanajua kuwa ni beleshi/Chepeo.

Sent from my Y4 using JamiiForums mobile app
 
Wanajf, salaam!!
Chama cha MAPINDUZI kwa ufupi kimemaliza kazi ya kampeni kwa mwaka 2015 - 2020. Chadema hata wafanyeje hawawezi kuipiku CCM kwa turufu ya kisiasa.

Kumbukumbu ni:-
1. Ununuzi wa ndege,
2. Ujenzi wa bomba la mafuta,
3. Ujenzi wa reli (standard gauge),
4. Mikataba ya madini mipya,
5. Kuwabana mafisadi papa,
6. Mapato ya ndani,
7. Nidhamu sekta za umma na ndani ya CCM
8. Matumizi ya fedha za umma n.k

Chadema hamna piku ya mambo haya maybe jiandaeni next season ya 2020 - 2025.

Hayo uliyoyaorodhesha hapa yana mchango gani kwa mwananchi wa kawaida?
 
Sasa kama Chadema imekufa woga wa kupitisha katiba mpya ya rasimu ya Warioba na Tume huru ya uchaguzi unatoka wapi!? KULIKONI?

Wanajf, salaam!!
Chama cha MAPINDUZI kwa ufupi kimemaliza kazi ya kampeni kwa mwaka 2015 - 2020. Chadema hata wafanyeje hawawezi kuipiku CCM kwa turufu ya kisiasa.

Kumbukumbu ni:-
1. Ununuzi wa ndege,
2. Ujenzi wa bomba la mafuta,
3. Ujenzi wa reli (standard gauge),
4. Mikataba ya madini mipya,
5. Kuwabana mafisadi papa,
6. Mapato ya ndani,
7. Nidhamu sekta za umma na ndani ya CCM
8. Matumizi ya fedha za umma n.k

Chadema hamna piku ya mambo haya maybe jiandaeni next season ya 2020 - 2025.
 
CCM inachokifanya si kwa ajili ya kushindana na CDM.
Ipo madarakani ili iwaletee maendeleo wananchi.
Sasa inashangaza unavyogeuza wajibu wa chama kilichopo madarakani kua LIGI.
Hata CDM ingeshika dola ingeyafanya hayo au zaidi ya hayo.
Bwege wa kijani wewe.
 
Ndege ziko wapi now??
Hiyo mikataba inasemaje??? Noah mpaka leo hamjapewa mnasifia mikataba!!! Mxiuuuuu
Mafisadi papa kama nani wengine wanaachiwa na dpp hana kesi ya kuhoji.
Nidhamu ipi unayoiongelea wewe?? Labda huko huko ccm.
Matumizi ya fedha za umma imenunua nini???

Hamnaga akili nyinyi... Endeleeni kuukandamiza upinzani ndicho mnachoweza
 
Ndio maana mm hujikalia nyumbani kwangu na kufanya yangu sio kwenda kuhangaika kupiga kura

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Wanajf, salaam!!
Chama cha MAPINDUZI kwa ufupi kimemaliza kazi ya kampeni kwa mwaka 2015 - 2020. Chadema hata wafanyeje hawawezi kuipiku CCM kwa turufu ya kisiasa.

Kumbukumbu ni:-
1. Ununuzi wa ndege,
2. Ujenzi wa bomba la mafuta,
3. Ujenzi wa reli (standard gauge),
4. Mikataba ya madini mipya,
5. Kuwabana mafisadi papa,
6. Mapato ya ndani,
7. Nidhamu sekta za umma na ndani ya CCM
8. Matumizi ya fedha za umma n.k

Chadema hamna piku ya mambo haya maybe jiandaeni next season ya 2020 - 2025.
Kazi zinazofanywa nusu nusu na wewe unaanza kujisifia?
 
Heshimuni Katiba ili mikutano ya hadhara ya kisiasa ifanyike, halafu ndio useme habari ya turufu yako.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Wanajf, salaam!!
Chama cha MAPINDUZI kwa ufupi kimemaliza kazi ya kampeni kwa mwaka 2015 - 2020. Chadema hata wafanyeje hawawezi kuipiku CCM kwa turufu ya kisiasa.

Kumbukumbu ni:-
1. Ununuzi wa ndege,
2. Ujenzi wa bomba la mafuta,
3. Ujenzi wa reli (standard gauge),
4. Mikataba ya madini mipya,
5. Kuwabana mafisadi papa,
6. Mapato ya ndani,
7. Nidhamu sekta za umma na ndani ya CCM
8. Matumizi ya fedha za umma n.k

Chadema hamna piku ya mambo haya maybe jiandaeni next season ya 2020 - 2025.

Nidhamu sekta ya umma? Kwanza unapaswa uelewe kwamba style ya uncle ni kutishia. Hii haileti nidhamu kwa watu wazima; labda watoto wa primary. Nina uhakika morali imeshuka sana sekta ya umma.
 
Nidhamu sekta ya umma? Kwanza unapaswa uelewe kwamba style ya uncle ni kutishia. Hii haileti nidhamu kwa watu wazima; labda watoto wa primary. Nina uhakika morali imeshuka sana sekta ya umma.
Si bora hii ya kutisha. Uliza China na nchi nyingine zilizofanya mapinduzi ya kiuchumi watu wajinga wajinga walikuwa wanafanywaje.. uliza tuu.... wacha bana
 
Hivi we una akili timamu kweli???
Ndege ziko wapi now??
Hiyo mikataba inasemaje??? Noah mpaka leo hamjapewa mnasifia mikataba!!! Mxiuuuuu
Mafisadi papa kama nani wengine wanaachiwa na dpp hana kesi ya kuhoji.
Nidhamu ipi unayoiongelea wewe?? Labda huko huko ccm.
Matumizi ya fedha za umma imenunua nini???

Hamnaga akili nyinyi... Endeleeni kuukandamiza upinzani ndicho mnachoweza
Naona unatamani upate Noa ya burebure. Safi.
Lakini labda nikuulize. Upinzani hivi kwa sasa unapinga nini... na una faida yoyote kwa sasa. Labda mimi ningependekeza... upinzani uwe wa vipindi vipindi tuu... ni waste of time and resources kama katika mazingira kama ya sasa kuwa na upinzani
 
Back
Top Bottom