Uchaguzi 2020 CCM imechokwa na Watanzania tuache utani kabisa

Ccm ingekuwa inakufa unadhani viongozi wenu matata wangehamia ccm kwenda kumuunga mkono Magufuli..isingetokea..ungesema chadema inakufa sababu viongozi wengi wameihama ningekuelewa..au ume confuse jombaa..!! Narudia tena..asilimia 90ya watanzania wapo nyuma ya Magufuli..wewe na mmeo na watoto ndio labda mpo kwenye asilimia 10iliyobaki..hapo mnajiona kama mko weeeengi vile..eti eeh..!! Hahahah

Kama takwimu ziko hivyo mlimpora Aidan Eyakuze passport kwanini? Mmedhibiti vyombo vya habari mkidhani mtaulisha umma taarifa za kupika?
 
Bora tuwekeze kwenye CCM ambako hakuna hoja za ukaguzi huko kwenye miradi ya maendeleo unakosema fedha haziliki tutatengeneza hoja za ukaguzi nyingi
 
CCM ishaondolewa madarakani kitambo sana ila inawatawala watanzania kwa mabavu.
 
IMG_5774.JPG

Kazi na Bata‍♂️
 
CCM ishaondolewa madarakani kitambo sana ila inawatawala watanzania kwa mabavu.
Huo ndiyo Ukweli mkuu, na kuna hatari hii nguvu kubwa wanayoitumia kulazimisha kutawala, Kuna Siku watakuja kukimbia na Pesa zote za Nchi Hii.
 
Vituko utaviona wakati wa Uchagizi Mkuu, Mara Maafisa wa tume wanatoweka ofisini, Mara Maafande wamekimbia na masanduku ya kura, Mara unakuta baadhi ya vituo kuna maaskari wengi kuliko wapiga kura huku wamebeba mitutu kutisha wapiga kura.Sasa Kama CCM Inapendwa kwanini hawataki uchaguzi wa haki ufanyike?. CCM Ilishachokwa kabisa.
 
sema mimi sio kutusemea we vipi
hiyo ni according to wewe ndio umeichoka sisi bado tunakipenda chama chetu cha mapinduzi (CCM).
 
CCM haiwezi kutoboa hata kwa dawa, vijana kuanzia 18-30 ambao ndio idadi kubwa ya wapiga kura wote wako CHADEMA, sasa CCM wanatoboaje?

CCM wanajipa matumaini kuwa sisi vijana hatuna kadi, ukweli ni kwamba mimi na vijana wenzangu wa miaka 20+ kadi tunazo vizuri. Leteni hoja zingine zenye mashiko.
 
Vijana wengi sasa hivi tunamkubali Magufuli, CHADEMA walijiua wenyewe.
 
Back
Top Bottom